Yaani tapeli hata haya wala woga anatapeli mbele ya Raisi macho makavu utafikiri ni genuine investor .LaaaHii nchi kuwamaliza wapiga dili ni kazi kubwa sana!
Mwizi mwingine huyuMrudishieni bilioni 1 yake ndio mchukue hizo hekari 1000 mlizomuuzia!!!Yaani mtu kapiga sound,akauziwa kihalali na mamlaka za serikali halafu ananyang'nywa bila kurejeshewa fedha yake,si sawa!
Mrudishieni hela yake aliyotoa kununua!!!Mwizi mwingine huyu
John Ndege atasema kiluwa ni wa Chadema
Yaani tapeli hata haya wala woga anatapeli mbele ya Raisi macho makavu utafikiri ni genuine investor .Laaa
Yaani tapeli hata haya wala woga anatapeli mbele ya Raisi macho makavu utafikiri ni genuine investor .Laaa
Siyo siri tena ujasiriamali wa Kiluwa kuweza kukusanya rasilimali pesa kwa wageni huku akitumia udhaifu wa mfuko wa Halmashauri zetu na Serikali ya mkoa wa Pwani umegota rasmi leo pale magogoni kutokana na Rais Magufuli kuungana na Lukuvi kupingana na aina ya fursa anazochangamkia Kiluwa.
Mfano kakusanya bilioni 5 kutoka kwa wawekezaji wenziwe huku yeye kafanikiwa kupata eneo la ekari 1,000 kwa bilioni 1
Hongera Rais Magufuli kwa kuwaumbua watanzania kama hawa waliozoea kutumbua zama zilizopita.