Mohamed Kiluwa kashindwa kuendana na zama hizi

Mohamed Kiluwa kashindwa kuendana na zama hizi

Kiluwa ni binge la kichwa, ningekuwa rais ningemteua kuwa mkurugenzi Wa TIC
 
Alitakiwa amuulize Manji na ufukwe wa COCO BEACH. Magufuli hapendi kuchezewa akili. Jamaa alivyoanza kujenga hoja nikajua leo Lukuvi atakuwa kwwnye hatari kumbe jambazi kama majambazi wengine wa ardhi. Cha kushangaza jana TBC taarifa yao ya habari picha iliyotawala ilikuwa ya Kiluwa.
 
Hahahaa........ Ingekuwa uchina yule asingerudi nyumbani jana, kitendo cha kujaribu kumlaghai mkuu wa nchi hakivumiliki!
Hivi kweli hamna kifungu chochote Cha Sheria mahali Cha kumdaka nacho.Hebu wanasheria watizame hicho kitu Ni serious.Imagine Kama Waziri Lukuvi asingeliibua na kulianzisha mkutano ukaisha bila Hilo swala kuongelea wafanyabiashara waliokiwepo si wangeenda na picha mbaya ya serikali.La iliniuma sijawahi ona tapeli jasiri kiasi kile
 
Bora hajafikishwa mahakamani maana hilo ni kosa kisheria...ukikutwa na madawa ya kulevya hats gari yako inataifishwa haurudishiwi
Kwani amekutwa na madawa ya kulevya?Si amenunua ardhi kutoka serikalini?Waliomuuzia wamechukuliwa hatua gani?Huo ni utapeli wa serikali kwa huyu mwananchi!
 
Mmempiga mtama mkapora pesa zake bado mnataka kumwibia na ardhi yake !
Nyie chadema mna tatizo Sio Siri hizo pesa kaiba kwa mrusi kwa hiyo arudishiwe pesa alizoiba kununua hiyo ardhi? Chadema siku hizi mnajua mna matatizo makubwa ni kutetea wezi na mafisadi.Chama kilichokuwa Kiko fit kupinga wizi na ufisadi sasa hivi watetezi wa wezi na mafisadi aiseer
 
Hela ile ya wizi kamwibia mrusi kwa hiyo arudishiwe hela aliyoiba? Nyie chadema vipi
Mimi sina kadi ya chama chochote!!!!!Jikite kwenye hoja,hata kama kamwibia Mrusi,hiyo pesa aliitoa yeye!Mrudishieni kwani kwenye ununuzi hao warusi hawakuwepo bali yeye!
 
Kiluwa ni Pro tapeli imagine amemuingiza mkenge hadi Mkuu wa nchi kaenda kufungua kiwanda cha wachina kwa mgongo wake. Kiluwa ni broker na Tapeli hata vyanzo vya intelligence vya Rais vinatia ukakasi asee
 
Vile jamaa alivyoongea asubuhi akajua ameua, kumbe lukuvi akamvutia pumzi...nadhani hata msosi wa mchana haukuteremka akisubiri apewe kinasa sauti ammalize Mtu.
 
Nyie chadema mna tatizo Sio Siri hizo pesa kaiba kwa mrusi kwa hiyo arudishiwe pesa alizoiba kununua hiyo ardhi? Chadema siku hizi mnajua mna matatizo makubwa ni kutetea wezi na mafisadi.Chama kilichokuwa Kiko fit kupinga wizi na ufisadi sasa hivi watetezi wa wezi na mafisadi aiseer
Lukuvi alishindwa kesi Mahakamani na wala hakukata rufaa , wewe ni nani hata kutushawishi tuipinge mahakama ?
 
Kwani amekutwa na madawa ya kulevya?Si amenunua ardhi kutoka serikalini?Waliomuuzia wamechukuliwa hatua gani?Huo ni utapeli wa serikali kwa huyu mwananchi!
Kuuziwa sio tatizo, tatizo ni kukodisha kwa wawekezaji kinyume na utaratibu.
 
Back
Top Bottom