Mohamed Kiluwa kashindwa kuendana na zama hizi

Mrudishieni bilioni 1 yake ndio mchukue hizo hekari 1000 mlizomuuzia!!!Yaani mtu kapiga sound,akauziwa kihalali na mamlaka za Serikali halafu ananyang'nywa bila kurejeshewa fedha yake,si sawa!
Alipiga sound.. kapigishwa sound... Ngoma droo 😅 😅
 
Mkuu umemkumbuka Maalim kuhusu muungano. Yeye ni mpinzani jikumbushe ya spika wa Baraza la Wawakilishi ambaye ni CCM kindakindaki. Inapokuja maswala ya nchi huwa hakuna chama kule upande wa pili. Nawasilisha
 
Anzisha thread ya huu uzushi wako tukwambie, acha kujificha kwa wenye akili.
 
Kama TIC Inalala yeye afanyaje? Je Kuna kazi isiyo na faida? Ni definition tu
 
We are selling to the willing buyer at the current market price
 
Mrudishieni bilioni 1 yake ndio mchukue hizo hekari 1000 mlizomuuzia!!!Yaani mtu kapiga sound,akauziwa kihalali na mamlaka za Serikali halafu ananyang'nywa bila kurejeshewa fedha yake,si sawa!
Bora hajafikishwa mahakamani maana hilo ni kosa kisheria...ukikutwa na madawa ya kulevya hats gari yako inataifishwa haurudishiwi
 
Mrudishieni bilioni 1 yake ndio mchukue hizo hekari 1000 mlizomuuzia!!!Yaani mtu kapiga sound,akauziwa kihalali na mamlaka za Serikali halafu ananyang'nywa bila kurejeshewa fedha yake,si sawa!

Huyu ni mujumu uchumi..
Tena ameingia hadi ikulu kujaribu kumpiga sound mtukufu Rais..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…