Kesi ya Lukuvi haikuwa ya pesa za wizi alizoibia mrusi kaluwa ile Ilikuwa kesi ya rushwa kuwa kalua alitaka kumhonga Lukuvi pesa usichanganye mambo.Ndio tabu yenu Jana mlisusa kusikiliza kinachoendelea sasa ona mnavyoingia Chaka kila Kona hamko well informedLukuvi alishindwa kesi Mahakamani na wala hakukata rufaa , wewe ni nani hata kutushawishi tuipinge mahakama ?
Mrusi alishitaki Mahakama gani ? unajua mkiruhusu viongozi wahukumu watu wengine kwa utashi wao mtapoteza sana , mimi simtetei Kiluwa lakini hakuna asiyejua kwamba Lukuvi ana conflict of interest kwenye mambo ya Kiluwa baada ya kumshinda Mahakamani , kwahiyo hata kama ungesema lukuvi asuluhishe mgogoro wa ndoa ya kiluwa bado angekuwa upande wa mwanamke tuKesi ya Lukuvi haikuwa ya pesa za wizi alizoibia mrusi kaluwa ile Ilikuwa kesi ya rushwa kuwa kalua alitaka kumhonga Lukuvi pesa usichanganye mambo.Ndio tabi yenu Jana mlisusa kusikiliza kinachoendelea sasa ona mnavyoingia Chaka kila Kona hanko well informed
Kazi ipo 😁We are selling to the willing buyer at the current market price
Aliyefuta hivyo wiwanja Sio Lukuvi wewe Jana hukusikiliza ndio Maana unapata shida aliyefuta Ni raisi mwenyewe kwa sahihi yake tapeli wenu mwanachama wenu was chadema Kiluwa Hilo limemburungukia mrusi anataka hela yake bilioni nne toka kwa kaluaMrusi alishitaki Mahakama gani ? unajua mkiruhusu viongozi wahukumu watu wengine kwa utashi wao mtapoteza sana , mimi simtetei Kiluwa lakini hakuna asiyejua kwamba Lukuvi ana conflict of interest kwenye mambo ya Kiluwa baada ya kumshinda Mahakamani , kwahiyo hata kama ungesema lukuvi asuluhishe mgogoro wa ndoa ya kiluwa bado angekuwa upande wa mwanamke tu
Nakuunga mkono jamaa ni kichwa lukuvi kamharibia sana ni wivu tuila Jamaa anaakili
sasa kama mtu katengeneza mipango yake vizur kawalainisha na wakalainika leo wanataka kupokonya wamrudishie b yakeMrudishieni hela yake aliyotoa kununua!!!
Sijadandia nimefuatilia kwa umakini tangy mwanzo had mwisho. Kama unahisi kaonewa mwambie akafungue kesi mahakamaniHahahahahaaaa,sasa kumbe wewe hujui tatizo ni nini!Umedandia tu mjadala!
Inashangaza sana.... Pia vipi mkurugenzi ameze rushwa ya safari Hadi China na wenzie wote waliotajwa bado wapo ofisini mpaka leo?Inakuaje mkuu wa mkoa wa pwani kaachwa
Jamani huh umbumbu wetu watanzania utaisha lini, hakuna mtu anawekeza bila joint venture, hiyo airtel au vodacom sii sawa tuu na kiluwa na warusi? Tofauti yake nini, makampuni yote makubwa yanayo hitaji mitaji mkubwa wao wanaleta technology, wewe u awekeza kwenye local knowledge n know how, kosa ni lipi? , mnasikiliza sana upande mmojaSiyo siri tena ujasiriamali wa Kiluwa kuweza kukusanya rasilimali pesa kwa wageni huku akitumia udhaifu wa mfuko wa Halmashauri zetu na Serikali ya mkoa wa Pwani umegota rasmi leo pale magogoni kutokana na Rais Magufuli kuungana na Lukuvi kupingana na aina ya fursa anazochangamkia Kiluwa.
Mfano kakusanya bilioni 5 kutoka kwa wawekezaji wenziwe huku yeye kafanikiwa kupata eneo la ekari 1,000 kwa bilioni 1
Hongera Rais Magufuli kwa kuwaumbua watanzania kama hawa waliozoea kutumbua zama zilizopita.
Kiendacho kwa mganga......!Mrudishieni bilioni 1 yake ndio mchukue hizo hekari 1000 mlizomuuzia!!!Yaani mtu kapiga sound,akauziwa kihalali na mamlaka za Serikali halafu ananyang'nywa bila kurejeshewa fedha yake,si sawa!
Mrudishieni hela yake aliyotoa kununua!!!
Mfano wa kijinga huu kuwahi kutokea! Kwani kilo moja ya miwa inazalisha kilo moja ya sukari!Apa ndo utajua unafiki wa watanganyika? Miwa tunauza kwa shilingi 350 kilo ila sukari tunanua shilingi 2500 kwa kilo..basi viwanda vinatuibia.
Ebu mrudishie pesa yake...watakao nielewa niwachache.
Mm mkosoaji lkn kwa ishu ya kiluwa kuna shida upande wakeNakuunga mkono jamaa ni kichwa lukuvi kamharibia sana ni wivu tu
Ndio hapo,kapiga sound wakaingia kingi!Sasa iweje wamtapeli bilioni yake?Wampe tu!sasa kama mtu katengeneza mipango yake vizur kawalainisha na wakalainika leo wanataka kupokonya wamrudishie b yake
Kama mwenyekiti wa chadema alivyoitapeli National Housing na NSSFNdiyo tabia iliyo jaa ndani ya wana ccm
We unapewa bln 4 akanunulie ardhiAliyefuta hivyo wiwanja Sio Lukuvi wewe Jana hukusikiliza ndio Maana unapata shida aliyefuta Ni raisi mwenyewe kwa sahihi yake tapeli wenu mwanachama wenu was chadema Kiluwa Hilo limemburungukia mrusi anataka hela yake bilioni nne toka kwa kalua
[emoji91][emoji91][emoji91]Mrusi alishitaki Mahakama gani ? unajua mkiruhusu viongozi wahukumu watu wengine kwa utashi wao mtapoteza sana , mimi simtetei Kiluwa lakini hakuna asiyejua kwamba Lukuvi ana conflict of interest kwenye mambo ya Kiluwa baada ya kumshinda Mahakamani , kwahiyo hata kama ungesema lukuvi asuluhishe mgogoro wa ndoa ya kiluwa bado angekuwa upande wa mwanamke tu
Katembeza sumu sana juu ya Lukuvi, pale kamalizwa, imekula kwake (amenyea pembeni)Daaa jamaa anaconfidence ile mbaya kumbe tapeli!
Aiseee nchi ngumu sana hii
Akisema anabezwa ! Amekula vichwa tayari vya kamishna wa TRA na waziri wa viwanda.Kazi ya urais ni ngumu, inhihiiiiiiiiii