Alikuwa na nia ya wizi na udanganyifu, imefia ndani !Apa ndo utajua unafiki wa watanganyika? Miwa tunauza kwa shilingi 350 kilo ila sukari tunanua shilingi 2500 kwa kilo..basi viwanda vinatuibia.
Ebu mrudishie pesa yake...watakao nielewa niwachache.
Nikweli ndiyo maana sasa hivi yupo gerezani anatumikia kifungoKama mwenyekiti wa chadema alivyoitapeli National Housing na NSSF
....wanasema imefia ndani !Alipiga sound.. kapigishwa sound... Ngoma droo [emoji28] [emoji28]
Takukuru walipewa jukumu la kufuatilia, kimewaka hukoInashangaza sana.... Pia vipi mkurugenzi ameze rushwa ya safari Hadi China na wenzie wote waliotajwa bado wapo ofisini mpaka leo?
Nikweli ndiyo maana sasa hivi yupo gerezani anatumikia kifungo
Nilishangaa rais anamuacha tu lukuvi amwage tu data kuhusu jamaa kumbe walikuwa wanajua mchezo wake!Katembeza sumu sana juu ya Lukuvi, pale kamalizwa, imekula kwake (amenyea pembeni)
Yule ni mwana ccm kindakindaki
Na pamba kilo moja ni shilingi ngapi? Na hiyo kilo inatoa shati ngapi?Apa ndo utajua unafiki wa watanganyika? Miwa tunauza kwa shilingi 350 kilo ila sukari tunanua shilingi 2500 kwa kilo..basi viwanda vinatuibia.
Ebu mrudishie pesa yake...watakao nielewa niwachache.
Kweli Kiluwa ni CCM kindakindaki hivyo alipewa msaada kutoka CCM wilaya ya Kibaha na mkoani Pwani. Ikumbukwe mwaka 2005 wakati wa kampeni alikuwa sambamba na MstaafuHow do you know??? Wako wengi wanajifanya ni CCM lakini kumbe walikuwa wanatumia Chama (CCM) kujinufaisha tu...
Hapana, elimu yake ni darasa la saba, baba naima ni darasa la saba tuHatahivyo Kiluwa anastahili pongezi kutokana na ujasiri na uthubutu alionao, ikumbukwe ana elimu ya kidato cha NNE aliyioipatia huko Lindi. Chinga ana akili ya ziada pia hutumia fursa kikamilifu
πππππππDu mbavu zangu....Wamepiga chini Bilicanas, kitu kimesimama na DJ anazungusha makengeza tu.
Wamepiga chini Bilicanas, kitu kimesimama na DJ anazungusha makengeza tu.
How do you know??? Wako wengi wanajifanya ni CCM lakini kumbe walikuwa wanatumia Chama (CCM) kujinufaisha tu...
Mkuu wa mkoa wa pwani naye cdmWamepiga chini Bilicanas, kitu kimesimama na DJ anazungusha makengeza tu.
Mpaka sasa sijaona kosa lolote la bwana kiluwa,huyu bwana si mtendaji wa serikali alifuta taratibu zote za serikali katika kulifanikisha hili,wala hakumchukua mtu yeyote mateka ili asaini documents,kama kuna japo lilikiukwa ,ilikuwa wajibu wa watendaji kulijua.Huyu ni mujumu uchumi..
Tena ameingia hadi ikulu kujaribu kumpiga sound mtukufu Rais..
Tatizo naona ana share ndogo kulinganisha na wamiliki wenza. Anakuwa hana mamlaka na Maamuzi ya kampuni.ila hata mimi sioni tatizo la Partnership, kosa lingine wanadai alinunua ardhi kwa 1m badala ya 5.8mJamani huh umbumbu wetu watanzania utaisha lini, hakuna mtu anawekeza bila joint venture, hiyo airtel au vodacom sii sawa tuu na kiluwa na warusi? Tofauti yake nini, makampuni yote makubwa yanayo hitaji mitaji mkubwa wao wanaleta technology, wewe u awekeza kwenye local knowledge n know how, kosa ni lipi? , mnasikiliza sana upande mmoja