Mohamed Mokhbar ateuliwa kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Iran Rais ni mtekelezaji tu wa maamuzi. Kiongozi mkuu Ayatollah ndio mwisho wa maamuzi. Kwahiyo msijipe matumaini sana kwamba sasa mambo yatapoa huko Gaza. Moto ni uleule
Akileta za kuleta naye anapelekewa moto hata huyo Ayatollah naye ajiangalie sana,ule mziki waliotaka kuushusha kwenye ardhi ya Israel na kuigeuza kuwa majivu hauwezi kuwaacha salama.
 
Akileta za kuleta naye anapelekewa moto hata huyo Ayatollah naye ajiangalie sana,ule mziki waliotaka kuushusha kwenye ardhi ya Israel na kuigeuza kuwa majivu hauwezi kuwaacha salama.
Nyie wacheni ujinga kama sio Amri ya Mungu ilifika ndio iwe ajali yao, basi huyu Rais wa Iran hakuliwa na America wala Israel huyu kauliwa na mtoto wa Khomen ili achukue nafasi ya baba yake, sababu huyo Rais Ibrahim, Khomen ndio alikuwa anamtaka awe mrithi wake.

Tazameni kwanini Iran wamezua uongo mara Rais katoka salama, mara sijui ndege hainekani sa zile Helicopter mbili zilikuwa zina mfata Rais kwanini zisi simame zikaendelea na safari?

Iran ana technology kwanini ababaishe aombe ndege ya Turkey ije iwasaidie, na kabla ya hapo drone ya Iran ilisha iona ndege ikakiri wameiona, mara wakageuza habari kuwa hawajaiona.

Iran walipo fika kwenye ndege wakasema hawakukuta mwili wa mtu yoyote pale kwenye ndege, mara wakaleta habari wamewakuta wamekufa?

Mimi naona kauliwa na wafuasi wa mtoto wa Khomen tu ili yeye awe Ayatollah bada ya baba yake.
 
Taja sababu unayohisi ni sahihi
 
Kuna sababu nyingi mno za utatanishi kiasi tunaweza kusema labda wa irani hawakuwa na haja nae tena!
 
Hiyo theory yako inaweza kuwa sahihi au kosa,sasa kumuona mwenye theory tofauti na kwako ni mjinga huo ni upumbavu.
 
asipande chopa. akaishi kwenye handaki kama ayatola. ushauri tu.
 
Akileta za kuleta naye anapelekewa moto hata huyo Ayatollah naye ajiangalie sana,ule mziki waliotaka kuushusha kwenye ardhi ya Israel na kuigeuza kuwa majivu hauwezi kuwaacha salama.
Mnasahau mapema sana kile kipigo israeli ikalindwa na mataifa kumi na bado wakatandikwa bado tu hamjasahau eeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…