Mohamed Mwameja: Siwezi kumsamehe Muhidin Ndolanga

Mashabiki wa Simba mpaka leo hawataki kumsikia Bolizozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba ako amepata hasara sana kuzaa Toto km Wew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Tanzania one. Binadamu wana roho za Korosho.
 
Kitu gani Unashindwa kuelewa hapo? Ndolanga na Rage ni Simba, Mwameja alikua Mchezaji tegemeo Simba, so hawakutaka kumwachia, Ukizingatia Mechi ya Simba na Yanga Ilikua jirani.
 
Una ujumbe mzuri wa kutovunja Madaraja ila Nina Mashaka kama Unaijua ITC, sio cheti kama cha Shule kusema unakuwa nacho tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una ujumbe mzuri wa kutovunja Madaraja ila Nina Mashaka kama Unaijua ITC, sio cheti kama cha Shule kusema unakuwa nacho tu

Sawa, basi tusaidie tafadhali:

International Training Certificate ni nini, barua ya utambulisho ?
 
Lazima uumie roho ndugu yangu mwameja maana ukiwacheki akina kaseja wanadaka kibongo bongo wanatembelea athlete wewe hats passo huna lzm uumie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mwameja ni kati ya wachezaji wa kibongo ambao wanamiliki malori makubwa na majumba kibao. Anaweza kuwa anazidiwa pesa na Samata tu na jamaa mmoja wa Kihaya aliwahi kucheza Simba somobody Rubibira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unazungumziaje suala la Moses Odhiambo kukosa kushindwa kusafiri na timu kwenda Nigeria wakati alikuwa mchezaji tegemezi wa Simba?

Hii nayo haikuwa hujuma ya kina Wambura kweli ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…