Mohamed Said ana siasa za kulialia

Kwahio ni Tranny of the Majority ?

Kwasababu tupo wachache na hatukupigania Uhuru mlio wengi na kupigania uhuru matakwa yenu yatuingilie? Kwanini kila mtu asifanye vyake kivyake..., na tufanye wote yale tu yanayotuunganisha wote ?
 
Kilembwe,
Mimi huwa sifanyi mabishano ubishi hauna maana yeyote.
Wewe hujaelewa lakini kuna wengi wameelewa hali ilivyo.

Tusonge mbele tujifunze mengine.
 
Anamwambia ostazad

Ila waisalum waliosoma n wachache na wanaojua kuchambua vt n wachache


Weng maongez yao huusish iman,/din zao

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Lombo,
Hakika shule zilitaifishwa lakini hakuna lililobadilika.
 
Mkuu hataa masimuliizi ya Nyerere alichokuwa anafanyiwa kule Bagamoyo na WazeewaKiaaslam' (kama anavyotaka Mzeee Mohamed Siadtuwatambue) yalikiwa no matambiko ya Dini Asili!
Lombo,
Kwanza nikusahihishe kuhusu ''matambiko,'' ya Bagamoyo.

Wewe unakusudia dua aliyofanyiwa Mwalimu Nyerere nyumbani kwa Mzee Jumbe Tambaza.

Haya Mwalimu kaeleza mwenyewe katika ile hotuba yake maarufu ya Diamond Jubilee Hall mwaka wa 1985.

Unajua Mwalimu kuna mambo mengi labda hakuwa anayajua kwa undani na alipoyaeleza yakawa yamekosa ithibati ya ushahidi wa historia yenyewe.

Nimeifanyia mapitio ile hotuba ya Mwalimu na kuweka sawasawa baadhi ya mambo.
Ikiwa unataka kusoma nifahamishe nitakuwekea hapa maana ni ndefu kidogo kuwekwa hapa.

Kwanza Nyerere si mzalendo wa kwanza katika TANU kufanyiwa dua kama ile.
Mtu wa kwanza alikuwa Rashid Ali Meli.

Rashid Ali Meli nitaweka link yake.
Mtu wa pili alikuwa Abdul Sykes.

Hawa wote walijikuta katika matatizo na serikali na ikaamuliwa wafanyiwe dua.

Katika dua hii kwa Jumbe Tambaza Nyerere anazunguza kuhusu tambiko kwa kuwa alichinjwa mnyama.

Katika Uislam mnyama anachinjwa kwa katika dua kama sehemu ya maombi kwa Allah.
Muislam kufanya tambiko ni shirki na hii ni kufru.

Jumbe Tambaza na wale masheikh hawawezi kutambika ila Mwalimu kwa kuona kachinjwa mnyama yeye kadhani ile ni tambiko.

Dua nyingine Mwalimu alifanyiwa na Sheikh Yusuf Badi Lindi mwaka wa 1956 na alichinjwa mnyama.

Dua hii ilifanyika nyumbani kwa Suleiman Masudi Mnonji.


 
Ndio Maana siku ya jpili sisi twapumzika ili Tuabudu vizuri, Hata Mkoloni alitusaidia sana kuiua ile kilwa otherwise ingekuwa islamic state ya East Africa ' ni bora kuwabagua wakisimama nchi Haitotawalika
Mungu wangu
 
Unadhani anasema hivyo au kulalamika kwa bahati mbaya???
Ni mkakati wa muda mrefu wa Waislamu nchini Kama ilivyo kwa wazanzibar kulalamika ili ionekane wanaonewa wazidi kuneemeka na nchi hii.
Sio bahati mbaya hiyo chunguza kwa makini hiyo agenda wanayo miaka nenda rudi.
Wazanzibar nao hulalama hivyo ili ionekane wanaonewa wapewe nafasi na rasilimali zetu bure....

Nchi hii tuna tatizo la CCM, uislam na uchaga.
 
Hii kitu ya kusema waislam wanabaguliwa nchi hii huwa inadhoofisha sana waislam, huo ubaguzi uko kwenye nyanja ipi...wakati mwingine inafanya ndugu zetu wakristo watuone watu wa kulia lia wakati wote!
Kwa taarifa yako haiwadhoofishi Bali inawapa nafasi zaidi kuhurumiwa na kuneemeka huku wengine wakiwa wanyonge.
Matajiri wote nchi hii ni Waislamu Kuna waliowalalamikia?
Hebu weka sensa ya viongozi ndio utajua hii dini wanaitumia kimkakati, akiwekwa boss muislam hasa wa Pwani kwenye sekta na idara yoyote haina kificho watajazwa dini yake pekee
Wakristo na watanganyika mfike mahali mgundue hizi hila za waislam na wazanzibar kutaka kujiliza muwahurumie.
 
Ubaguzi uliopo bongo ni wa kisiasa tu. Upo waziwazi, Ila ubaguzi wa kidini haupo.
Wa kidini upo Sana tu.
Miaka 6 nyuma nssf ilikuwa tawi la Msikiti wa sheikh DAU na Assad plus UDOM kwa sheikh idriss kikula..
 
Ni agenda ya Waislamu wote wanapopata nafasi kuhakikisha wanalalamika vilivyo ili waonewe huruma...sawa na wazanzibar huku wanainyonya Tanganyika
 
Kafiri la Gambosh lile, lililokuwa likiamini uchawi.
Kwani uchawi ni Nini?
Unawalaumu waislam nawe umejibu Nini hapa?
Kuamini uchawi ni Imani Kama ambavyo wewe unaamini katika unachoamini
 
Ni kweli kabisa RIP JPM aliwajengea msikiti wa bei kubwa pale Kinondoni kama zawadi yake kwao. Wakisimama na kudai kuonewa watakuwa ni kichekesho cha karne.
Una uhakika ule msikiti alijenga JPM? OK turudi kwenye mada je waislam wanabaguliwa? Nikiwaza masuala ya UDOM na NSSF nabaki kimya
 
Wacha kujipakazia kama vile hamshangai
 
Ni agenda ya Waislamu wote wanapopata nafasi kuhakikisha wanalalamika vilivyo ili waonewe huruma...sawa na wazanzibar huku wanainyonya Tanganyika

Kwa Wazanzibar ni afadhali kutunyonya kuliko kutuuwa kwani kila mtaa mumeweka kambi za kijeshi mnasubiri Uchaguzi mtutwange marisasi
 
Mzee wangu Mohamed nashukuru sana, hata mimi huwa sipendi mabishano kwa maana ile ile uliyosema, lengo langu kwa uhalisia ilikuwa ni kunielewesha maana ni kweli sikuelewa lakini kama umechukulia kuwa nabisha tu ni bahati mbaya sana mzee! lakini nimefarijika sana kwa sentensi yako ya mwissho kuwa sikuelewa kwa hili ..basi tusonge mbele tujifunze mengine..Wabillah Tawfiq...Allah akuzidishie umri na hekima uzidi kutujuza mengine tusiojua!
Kilembwe,
Mimi huwa sifanyi mabishano ubishi hauna maana yeyote.
Wewe hujaelewa lakini kuna wengi wameelewa hali ilivyo.

Tusonge mbele tujifunze mengine.
 

Yaani wazanzibari mtuuwe, mtuibie , mtuletee majeshi mpaka ya Burundi halafu tukae kimya kwa vile hatuna silaha za kujinginga na uvamizi wenu , TUAENDELEA KUSEMA WALIO NA MIOYO YA KIBINAADAMU WATAFAHAMU NA WALE WENYE MIOYO MIGUMU KAMA WEWE DAWA YENU IKO JIKONI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…