Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

great, baby.... now square. i mean apart from the Jesus thing which i wouldn't want to get drawn into, of course.

pre- & post-Tanganyika independence times (or thereabouts), mzee Myate used to be Mwl Nyerere's friend or sponsor or something - whatever.

as for your question...can you come again, sweetheart?

And you could not even see the question mark?

What a sweet dumb.
 
Nanren,
Hujui kitu huwezi kunikamata mimi kwa kalamu si wewe hata waalim wako.

Unaujua moto wangu ndiyo maana umekuwa mtumwa wangu unashindwa
kujitoa kwangu ndiyo sababu unasoma kila neno niandikalo.

Acha kujifagilia kwa kujikweza.
Una moto gani?
Wa kuhamasisha chuki?
Nimekwambia lete mapya.
Kama hupendi nikusome sema, naweza ku-ignore threads zako.
Na ukumbuke kuwa hata wewe unasoma posts zangu.
Utanishinda ukiandika vitu vya ukweli na vyenye mantiki. Lakini si hizi "cut and paste" zako ambazo umekuwa ukizileta zile zile kwenye threads tofauti- "Same old hoax in a different thread on a different day!"
 
Nikusome umeandika kipi?
Moto ninao.

Mara ya kwanza naisahihisha historia ya uhuru wa Tanganyika 1988 kupitia makala iliyochapwa na Africa Events toleo zima lilikusanywa likatiwa moto.

Huu kama si moto kitu gani?
Si rahisi kunipuuza.

Lakini mimi nikitaka naweza nikakupuuza.
 
Mimi sio mwandishi.
Ila unasoma posts hizi hizi ambazo unajidai waweza kupuuza.

Sasa nimekuelewa kuhusu moto wako. Maana ulichoandika kwenye jarida la fanatics la Africa events kilipelekea toleo zima kuchomwa moto.
Moto wako ni wa uchochezi.
Uchochezi wako ni well crafted kiasi kuwa on the surface, it is believable. Lakini ni longolongo tu based on fictitious sources.
 
And you could not even see the question mark?

What a sweet dumb.
i swear kweli i didn't, honey. come on... shoot it once more, will you, sweetheart?

"sweet".....hahahaaa! love it. "sweet" is just that - sweet! sweetshit, sweetass, sweetpuci, name it.
 
Acha kujifagilia kwa kujikweza.
Una moto gani?
Wa kuhamasisha chuki?
Nimekwambia lete mapya.
Kama hupendi nikusome sema, naweza ku-ignore threads zako.
Na ukumbuke kuwa hata wewe unasoma posts zangu.
Utanishinda ukiandika vitu vya ukweli na vyenye mantiki. Lakini si hizi "cut and paste" zako ambazo umekuwa ukizileta zile zile kwenye threads tofauti- "Same old hoax in a different thread on a different day!"

Wewe unapoona si ukweli kwanini hutuletei ukweli?

Umekazana si ukweli si ukweli, tuletee huo ukweli.

Hivi Songea Mbano siyo Abdul Rauf Songea?
 
i swear kweli i didn't, honey. come on... shoot it once more, will you, sweetheart?

"sweet".....hahahaaa! love it. "sweet" is just that - sweet! sweetshit, sweetass, sweetpuci, name it.

What a sweet talk.

Where did you read about Mshume Kiyate.

Sweet boy.
 
What a sweet talk.

Where did you read about Mshume Kiyate.

Sweet boy.
wow, this is better. am flattered. love you even more!

Kiyate story? some book or article somewhere... can't remember exactly which one. some man with a great heart i recall.
 
Mimi sio mwandishi.
Ila unasoma posts hizi hizi ambazo unajidai waweza kupuuza.

Sasa nimekuelewa kuhusu moto wako. Maana ulichoandika kwenye jarida la fanatics la Africa events kilipelekea toleo zima kuchomwa moto.
Moto wako ni wa uchochezi.
Uchochezi wako ni well crafted kiasi kuwa on the surface, it is believable. Lakini ni longolongo tu based on fictitious sources.

Siyo mwandishi, kwa maana huna publication yoyote kuhusu historia yoyote popote?

Lakini unajuwa kuwa historia anayoleta Mohamed Said si ukweli?

Nimemsoma Abdul Waheed Sykes katika historia "aliyojitungia" Mohamed Said, kuwa alimpokea Nyerere na akaishi hapo nyumbani kwao, napenda kujuwa kama huo ni ukweli au la?
 
wow, this is better. am flattered. love you even more!

Kiyate story? some book or article somewhere... can't remember exactly which one. some man with a great heart i recall.

Really, what a sweet memory you have and how truthful you are sweet boy. Amazing.

Could it not be from Mohamed Said's book or one of his articles or it could even be in one of his famous threads here, couldn't it sweet boy?
 
Mimi sio mwandishi.
Ila unasoma posts hizi hizi ambazo unajidai waweza kupuuza.

Sasa nimekuelewa kuhusu moto wako. Maana ulichoandika kwenye jarida la fanatics la Africa events kilipelekea toleo zima kuchomwa moto.
Moto wako ni wa uchochezi.
Uchochezi wako ni well crafted kiasi kuwa on the surface, it is believable. Lakini ni longolongo tu based on fictitious sources.
Nanren,
Tofauti kubwa kati yako na mie ni kuwa hawa niwaaandikao nawajua vizuri
na nayajua ambayo wewe huyajui hata kidogo.

Ndugu yangu wewe kifua kinakufukuta kwa joto ukiwasoma hawa.

Mimi ninapowaandika hawa moyo yangu inapata utulivu kwa kuwa nimelamilisha
lile wengi walilokuwa wakiniambia baada ya kuwahoji.

''Mohamed haya yasiishie katika makaratasi uandike historia yetu isije ikapotea,''
walikuwa wakinambia na baada ya hapo wataniombea dua.

Sikuandika uchochezi wowote lakini nitaeleza yaliyotokea 1962/63 kati ya Abdul
Sykes, Dossa Aziz, Mwalimu Kihere
na Julius Nyerere.

Nanren,
Hebu pitia hapo chini kwanza kabla hatujaendelea mbele:

Jackline,
Abdul Sykes
na Dr. Kleruu walianza kuandika historia ya TANU 1962/63
baada ya mazungumzo kati ya Abdul Sykes, Mwalimu Kihere na Dossa
Aziz.

Aliyekuja na fikra hii alikuwa Mwalimu Kihere na Nyerere akaunga mkono
na yeye ndiye aliyesema Abdul aandike kwa kuwa yeye anajuwa mengi
kutokana na historia ya baba yake Kleist Sykes, kuwa muasisi wa African
Association.

Abdul Sykes akajitoa baada ya kumdhihirikia kuwa kilichokuwa kinatafutwa si
historia ya kweli ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Dr. Klerruu alikamilisha ule mswada lakini kitabu hakikuchapwa hadi hii leo.

Inasemekana huu mswada na baadhi ya yale ambayo Abdul aliyoandika upo
katika maktaba ya CCM mahali fulani hakuna ajuaye wapi.

Hata hivyo kuna mwana TANU mmoja katika vijana wa Youth League aliuiba
huu mswada akabadilisha hapa na pale na kuchapa kitabu kwa jina lake alichokiita
historia ya TANU.

TANU walimuonya asichape tena kitabu kile.

Kitabu hiki mimi alinipa baba yangu na naamini kilimvunja moyo sana kwa yale
aliyokuta mle kwani yeye aliiona TANU ilivyoanza toka ile siku ya kwanza kwani
Abdul Sykes alikuwa rafiki yake wa karibu sana toto utoto wao.

Kitabu hiki hakina tofauti kubwa sana na kile kitabu cha Kivukoni College, ''Historia
ya TANU.''

Ikawa sasa kama imewekwa sheria fulani kuwa ni marufuku mtu kuja na historia
ambayo haitaanza na Mwalimu Nyerere.

Ikawa hata inaposemwa kuwa Nyerere alichukua uongozi wa TAA mwaka wa 1953
haielezwi kachukua vipi na kachukua kutoka kwa nani.

Ikawa kwa njia hii jina la Abdul Sykes halitajwi.

Ikawa vilevile ni mwiko mkubwa kueleza historia ya Waislam katika kuunda TANU na
kupigania uhuru wa Tanganyika kiasi mwaka wa 1988 gazeti la Africa Events (London)
toleo zima lilikusanywa kwa mimi kule kumtaja Abdul na Ally Sykes, Saadan Abdul
Kandoro
, John Rupia na mchango wa Waislam katika kuasisi TANU.

nKkFQfsBJiLeJzednwUzGmCpj-yLES8nKfSF3szycTVwfcmK2Meduhy0PBhm5qI5AuqCzSTHooKDq5V6WBNdpFgn-IRRKyWG1nd6UJra2sl9JWjEMFG5iMnSJ_zNVPNrFe76WIqywmjsi8b_HjkP_bea2pfT20wyyfkbSlBD-U_H-Dnmkji2YGN5jalN8fLfakVXi_5UYYx2sBzyeTluO9MElwzdeTRP5kJ3HKT6QRTe93xe2s-HVvv90qt3IGdIwhY--adZptLnAAm4U7NNt4ffhfG49SgdkVe_1QWa04L6w5i4vW0ey0uK3gL7XXUu35fEZSBc0PwhTaT024kjzcOnKMy9AfegNlzTdKTAN5QRUW77pWz1qHar0v2QqMjRxOtB_-eRvdeSjVaVWzWt-VHpdIl_nJ-8Mj8QGtqZAs6xgkR3ZCUwdjFkUC35PKfXYjko6hQTj4s-oBKJNB5jjNJDoxglty13PjmXpdZdekWpgfKQ5jy-6zlKA1wdaTVNG8ZLHg6_AZ1X3pTF2VInlIPFbWsARE_mRo3RBJkFWOAOzgCMCWxCfLPssrIxUHwp5XV1G7NB4S-0uo4apUTCKNSmG6s4EYU=w876-h657-no

Nanren,
Ikiwa mie kuiandika historia hii ni uchochezi basi hii ni bahati mbaya sana kwako.

Sasa TANU ilipoamua kuandika historia yake katika jopo la uandishi alikuwapo Hassan
Upeka.

Upeka alileta katika jopo lile ''notes,'' alizoziandika kuhusu vipi TANU iliasisi wa kutokana
na mahijiano aliyofanya na Abdul Sykes kabla hajafa 1968.

Jibu alilopewa Upeka ni kuwa historia hiyo inayoandikwa haina uhusiano wowote na Abdul.
Hizi habari kanieleza Upeka mwenyewe.

Hivi ndivyo historia ya TANU ilivyoandikwa na Abdul Sykes na mdogo wake Ally na wazalendo
wengine wakawa kwa khiyana tu wamefutwa.

Haiwezekani kuwa Abdul Sykes jina lake lilifutwa katika historia ya TANU kwa kuwa alikuwa,
''mchochezi.''

Africa Events lilipopkea makala yangu wakaichapa katika gazeti la March/April 1988 uk. 37 - 41.

Nilichosema katika makala ile ni kuwa haiwezi kukamilika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika
bila kueleza mchango wa Waislam na kuwataja watu kama Abdul Sykes na mdogo wake Ally,
Saadan Abdu Kandoro na John Rupia.

Makala hii iliwashtua wengi na matokeo yake ndiyo huko kukusanywa gazeti lote na kuchomwa moto.
Wasomaji ndiyo wataamua kama huo ni uchochezi au la.

Kuna mengi yalifuatia baada ya kituko hicho.
Kwa sasa na tusimame hapa.

68fwk63lJThK0uvedL6ib0vPo3n3CtOvG8jJ0VGe1r0DJrr7bnm1P3gOCHSN9AYzHQZXDPxVzLRIMHIlyJmuV9xcc2GALJ9xobA2czGDwnr-JoyCpK5-nr2NSNmipptFnkF6kqYE9xCAF0L-H6TYZ4wPrtjqMhoHm6YM0lofzMGTJaV6is56I4ZGdArdf-cAm6ohuhXwf8JBSQwqlLk2scfAVqKQUbBY75yuzW5lJIbH9lB1jWsDLT4sz_bi8EIGxoj5f9VovlGPxmH-mQnDXc-R1yN8yPUy028jyNem8Ktd3EKj63T7DJ29Tz4qm_D8s9hZsQmel-1eN1WeLYm_JvMIO3lgLpxmDA30i6CecWb6Z66KUov134tjgmBrP4Fyt2jwfBv3OD0-PmDO1BD__XLKYAugV48u0sqAxmzf-gH1eG6dRg4p3i9-d3Vql0ga2tXRg_Md1wve-Xm3-A_8I23lxabG44xYon0KKdXmtAkqKBaotwZ-N234fxYrTijBM2Br9d0qY_Uagf93KbLXS1AFuKTC0NdosBSwjSqazntxqQ66M_6Lip_z9Af6TMC6ArMuUaSkxo_ciEbCs_ZOLqLxV9vTIoNgN6BvXD7D5VUjYHYq_Tmu=w480-h320-no

Kushoto: Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdul Sykes na Lawi Sijaona
siku ya kumuaga Nyerere Ukumbi wa Arnautoglo safari ya pili UNO 1957 .
 
Mimi ninapowaandika hawa moyo yangu unapata utulivu kwa kuwa nimekamilisha
lile wengi walilokuwa wakiniambia nitimize baada ya kuwahoji.

Hayo mengine wala sina haja ya kukujibu.
Nakuacha uungue kwani maradhi ya hasad shida kupona.
 
Really, what a sweet memory you have and how truthful you are sweet boy. Amazing.

Could it not be from Mohamed Said's book or one of his articles or it could even be in one of his famous threads here, couldn't it sweet boy?
not the most intelligent bloke on the planet, girlfriend, but - hey - am no moron either. no moron.

Kiyate's story source....can't exactly put my finger on it but, yeah, could be from one of the sources you have cited. immaterial nevertheless... important thing is the old man was a great guy. basi!
 
wow, this is better. am flattered. love you even more!

Kiyate story? some book or article somewhere... can't remember exactly which one. some man with a great heart i recall.
M-mbabe,

8bjkaJXXw5dvf5G0FWYATQp3Ud95_8r6gNZrvtE8fvoqm2jWI1iOdWZEBxrxJzY_5ZObMVoTbvHOKtOBeSZpCvHyUAhyu224wSHcChc_nEWU3zPfufNp82l5nCUqk9eaDxLcWOqimCEWMVrPSS465tB0lK4T4ZlKb8x1CWvLi8tWcIJ83tXjwU7gqirz4JIdoeHwcwuXkkIISgZByak60UliIYOKyj6nKayjHQwDT9tvAsvqY9s0_dlV5nOP_irp7IFj0ndZljevotfxtKExYGLfTRd-xY5NLeSMSIEXQpCtzYT5wCW5Op6mso-ORCmLmVGG_epBP9KmqaJXgI_VYfAMfskPlrIl9BWPqPNqVSlvfuIs1l3FRPbdApiihIEiheXYsPLeUaJtSDj39cLcC2zB4izLZdLJ5BP9RxKz-t3od8yaVKedG6O1pqGYNuBMpCkeNc5TZjD1vYSGvz0Tu1P281025NsKoA3_WmyfZcD2lOXbPCr6fTSF--ZozLFbtcTB73bc0M0HCvo9hQUsxETx6qY-KlWVwLp0t6nlqbI2WCA1FwbMS61uGtluZwn3tijmoa85mIWAjc4SXYbMHUh-MM6hOlYW2tRg0C30TE7BpwXGZqyR=w360-h480-no

Mzee Mshume Kiyate akimvisha Nyerere kitambi

Picha hiyo hapo juu ya Mshume Kiyate na Mwalimu Nyerere ilipigwa
April 1964 baada ya maasi ya Tanganyika Rifles.

Picha hii nimeitoa katika gazeti alilonipa Maalim wangu Mzee Kissinger
na akanipa maelezo ya siku ile ilikuwaje pale viwanja vya Jangwani katika
mkutano wa hadhara Mzee Mshume alipopanda jukwaani kumvisha
Nyerere hicho kitambi kama ishara ya yeye kuungwa mkono na wazee
waliopigania uhuru wa Tanganyika na kumweka yeye madarakani.

yEJlaJb4xFZPAzJzhDaekZS2RFHPEQiDx5AT-XaeMGqsx_6QqrP3rGoh3djASMS6-VB595lOAWcbtzScqT-WVP--jKAYPbgtM8PDfw3LgTxYx8-tTEuOwXCle8Zus8HKeMdlCHieZSbVCuURjBI9CZi5Yxh6p-ABBwNj5znP63bevs9uvAfpfO3SQop5m5WK-7m-WqvtziKkst4qOj045aN4QM_0jW9p3mLbEm0X3HH1ormYYRwH20kdmT5-mriz_Xu8v6epC0XtgCkHRcMIS2cXMZdGt1cRenDePqANK7r0Vrrd6rNqImT8awj86-Ctm194qnaKE_FIQkKXQi2vEZXxA9Ny23qz40aNRQldCcX-didR9r2aB2d7paLpLEoyKSfPEtcG9h1bJiyHDvV4JVNN0rHMa4ETJCeMS46f54hgHdJha-XaF6OiPNZXxHuYEHXbJb5k5xf77kGydGQJkNCz4I4Vhp9vJjrjIfdZcgq8WgAmZ_OHFcsUm040kDLvsIF1R_DFx8YYxglOt_1fu16jr4LJz59BCrNoMWcHqGDX-f3ABN65Bq24B0HJWi_WYmIjiu_s9bx5NJxUu42HeBedWKEjsaRIQo7J8cpr5A_t0CFo7Fg8kw=w357-h692-no

Mzee Kissinger
 
Nanren,
Tofauti kubwa kati yako na mie ni kuwa hawa niwaaandikao nawajua vizuri
na nayajua ambayo wewe huyajui hata kidogo.

Ndugu yangu wewe kifua kinakufukuta kwa joto ukiwasoma hawa.

Mimi ninapowaandika hawa moyo yangu inapata utulivu kwa kuwa nimelamilisha
lile wengi walilokuwa wakiniambia baada ya kuwahoji.

''Mohamed haya yasiishie katika makaratasi uandike historia yetu isije ikapotea,''
walikuwa wakinambia na baada ya hapo wataniombea dua.

Sikuandika uchochezi wowote lakini nitaeleza yaliyotokea 1962/63 kati ya Abdul
Sykes, Dossa Aziz, Mwalimu Kihere
na Julius Nyerere.

Nanren,
Hebu pitia hapo chini kwanza kabla hatujaendelea mbele:

Jackline,
Abdul Sykes
na Dr. Kleruu walianza kuandika historia ya TANU 1962/63
baada ya mazungumzo kati ya Abdul Sykes, Mwalimu Kihere na Dossa
Aziz.

Aliyekuja na fikra hii alikuwa Mwalimu Kihere na Nyerere akaunga mkono
na yeye ndiye aliyesema Abdul aandike kwa kuwa yeye anajuwa mengi
kutokana na historia ya baba yake Kleist Sykes, kuwa muasisi wa African
Association.

Abdul Sykes akajitoa baada ya kumdhihirikia kuwa kilichokuwa kinatafutwa si
historia ya kweli ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Dr. Klerruu alikamilisha ule mswada lakini kitabu hakikuchapwa hadi hii leo.

Inasemekana huu mswada na baadhi ya yale ambayo Abdul aliyoandika upo
katika maktaba ya CCM mahali fulani hakuna ajuaye wapi.

Hata hivyo kuna mwana TANU mmoja katika vijana wa Youth League aliuiba
huu mswada akabadilisha hapa na pale na kuchapa kitabu kwa jina lake alichokiita
historia ya TANU.

TANU walimuonya asichape tena kitabu kile.

Kitabu hiki mimi alinipa baba yangu na naamini kilimvunja moyo sana kwa yale
aliyokuta mle kwani yeye aliiona TANU ilivyoanza toka ile siku ya kwanza kwani
Abdul Sykes alikuwa rafiki yake wa karibu sana toto utoto wao.

Kitabu hiki hakina tofauti kubwa sana na kile kitabu cha Kivukoni College, ''Historia
ya TANU.''

Ikawa sasa kama imewekwa sheria fulani kuwa ni marufuku mtu kuja na historia
ambayo haitaanza na Mwalimu Nyerere.

Ikawa hata inaposemwa kuwa Nyerere alichukua uongozi wa TAA mwaka wa 1953
haielezwi kachukua vipi na kachukua kutoka kwa nani.

Ikawa kwa njia hii jina la Abdul Sykes halitajwi.

Ikawa vilevile ni mwiko mkubwa kueleza historia ya Waislam katika kuunda TANU na
kupigania uhuru wa Tanganyika kiasi mwaka wa 1988 gazeti la Africa Events (London)
toleo zima lilikusanywa kwa mimi kule kumtaja Abdul na Ally Sykes, Saadan Abdul
Kandoro
, John Rupia na mchango wa Waislam katika kuasisi TANU.

Nanren,
Ikiwa mie kuiandika historia hii ni uchochezi basi hii ni bahati mbaya sana kwako.

Sasa TANU ilipoamua kuandika historia yake katika jopo la uandishi alikuwapo Hassan
Upeka.

Upeka alileta katika jopo lile ''notes,'' alizoziandika kuhusu vipi TANU iliasisi wa kutokana
na mahijiano aliyofanya na Abdul Sykes kabla hajafa 1968.

Jibu alilopewa Upeka ni kuwa historia hiyo inayoandikwa haina uhusiano wowote na Abdul.
Hizi habari kanieleza Upeka mwenyewe.

Hivi ndivyo historia ya TANU ilivyoandikwa na Abdul Sykes na mdogo wake Ally na wazalendo
wengine wakawa kwa khiyana tu wamefutwa.

Haiwezekani kuwa Abdul Sykes jina lake lilifutwa katika historia ya TANU kwa kuwa alikuwa,
''mchochezi.''

Africa Events lilipopkea makala yangu wakaichapa katika gazeti la March/April 1988 uk. 37 - 41.

Nilichosema katika makala ile ni kuwa haiwezi kukamilika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika
bila kueleza mchango wa Waislam na kuwataja watu kama Abdul Sykes na mdogo wake Ally,
Saadan Abdu Kandoro na John Rupia.

Makala hii iliwashtua wengi na matokeo yake ndiyo huko kukusanywa gazeti lote na kuchomwa moto.
Wasomaji ndiyo wataamua kama huo ni uchochezi au la.

Kuna mengi yalifuatia baada ya kituko hicho.
Kwa sasa na tusimame hapa.

68fwk63lJThK0uvedL6ib0vPo3n3CtOvG8jJ0VGe1r0DJrr7bnm1P3gOCHSN9AYzHQZXDPxVzLRIMHIlyJmuV9xcc2GALJ9xobA2czGDwnr-JoyCpK5-nr2NSNmipptFnkF6kqYE9xCAF0L-H6TYZ4wPrtjqMhoHm6YM0lofzMGTJaV6is56I4ZGdArdf-cAm6ohuhXwf8JBSQwqlLk2scfAVqKQUbBY75yuzW5lJIbH9lB1jWsDLT4sz_bi8EIGxoj5f9VovlGPxmH-mQnDXc-R1yN8yPUy028jyNem8Ktd3EKj63T7DJ29Tz4qm_D8s9hZsQmel-1eN1WeLYm_JvMIO3lgLpxmDA30i6CecWb6Z66KUov134tjgmBrP4Fyt2jwfBv3OD0-PmDO1BD__XLKYAugV48u0sqAxmzf-gH1eG6dRg4p3i9-d3Vql0ga2tXRg_Md1wve-Xm3-A_8I23lxabG44xYon0KKdXmtAkqKBaotwZ-N234fxYrTijBM2Br9d0qY_Uagf93KbLXS1AFuKTC0NdosBSwjSqazntxqQ66M_6Lip_z9Af6TMC6ArMuUaSkxo_ciEbCs_ZOLqLxV9vTIoNgN6BvXD7D5VUjYHYq_Tmu=w480-h320-no

Kushoto: Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdul Sykes na Lawi Sijaona
siku ya kumuaga Nyerere Ukumbi wa Arnautoglo safari ya pili UNO 1957 .
Habari Mohd Said, Mi nina swali moja. Ni kwanini unazungumzia mchango wa waislam katika kuigania Uhuru wa Tanganyika? Nmesoma posts zako na sehem nyingi unapo wataja Dossa Aziz na Abdul Sykes unauingiza uislam kwamaana unahusisha dini. Kama unasema historia ya TANU iliyoandikwa sio halisi kwa maana haijataja majina ya Dossa Aziz na Abdul Sykes Hayajatajwa kwa Mchango waliotoa kwann uzungumzie na mambo ya dini labda kama historia ya TANU iiyopo inataja wakristo tu na kasahau waislam
 
SelfMaking,
Hili swali nilishalijibu huko nyuma na historia ndefu sana.

Kwa ufupi ni kuwa palikuwa na njama za kufuta historia ya kweli ya TANU
na kwa bahati chama hicho kiliasisiwana wazee wangu hii ilinikera ndiyo
nikaandika kitabu cha Sykes (1998).

Uislam ndiyo ilikuwa nguzo ya harakati za kudai uhuru na hilo sikusema
mimi hayo ni maneno ya waasisi wa TANU wenyewe.

Kuna post nimeweka muda mfupi (Post 404) kuhusu kadhia hii ya kuhujumu historia
ya TANU soma utajifunza mengi.

tAZ7Q0CbeIpy9U9VrFhQRXVT3KiZoLVWyGRWVQGRN9MQ2MWqQTn6Pdw3hADo7z3DvALdD5Hr-xQ=w724-h567-no

Angalia caption ya picha hiyo haikuandikwa majina ya wazee wangu kama vile walikuwa hawafahamiki.
Kushoto: Mwinjuma Mwinyikambi, Max Mbwana, Julius Nyerere na Mshume Kiyate.
 
Nanren,
Tofauti kubwa kati yako na mie ni kuwa hawa niwaaandikao nawajua vizuri
na nayajua ambayo wewe huyajui hata kidogo.

Ndugu yangu wewe kifua kinakufukuta kwa joto ukiwasoma hawa.

Mimi ninapowaandika hawa moyo yangu inapata utulivu kwa kuwa nimelamilisha
lile wengi walilokuwa wakiniambia baada ya kuwahoji.

''Mohamed haya yasiishie katika makaratasi uandike historia yetu isije ikapotea,''
walikuwa wakinambia na baada ya hapo wataniombea dua.

Sikuandika uchochezi wowote lakini nitaeleza yaliyotokea 1962/63 kati ya Abdul
Sykes, Dossa Aziz, Mwalimu Kihere
na Julius Nyerere.

Nanren,
Hebu pitia hapo chini kwanza kabla hatujaendelea mbele:

Jackline,
Abdul Sykes
na Dr. Kleruu walianza kuandika historia ya TANU 1962/63
baada ya mazungumzo kati ya Abdul Sykes, Mwalimu Kihere na Dossa
Aziz.

Aliyekuja na fikra hii alikuwa Mwalimu Kihere na Nyerere akaunga mkono
na yeye ndiye aliyesema Abdul aandike kwa kuwa yeye anajuwa mengi
kutokana na historia ya baba yake Kleist Sykes, kuwa muasisi wa African
Association.

Abdul Sykes akajitoa baada ya kumdhihirikia kuwa kilichokuwa kinatafutwa si
historia ya kweli ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Dr. Klerruu alikamilisha ule mswada lakini kitabu hakikuchapwa hadi hii leo.

Inasemekana huu mswada na baadhi ya yale ambayo Abdul aliyoandika upo
katika maktaba ya CCM mahali fulani hakuna ajuaye wapi.

Hata hivyo kuna mwana TANU mmoja katika vijana wa Youth League aliuiba
huu mswada akabadilisha hapa na pale na kuchapa kitabu kwa jina lake alichokiita
historia ya TANU.

TANU walimuonya asichape tena kitabu kile.

Kitabu hiki mimi alinipa baba yangu na naamini kilimvunja moyo sana kwa yale
aliyokuta mle kwani yeye aliiona TANU ilivyoanza toka ile siku ya kwanza kwani
Abdul Sykes alikuwa rafiki yake wa karibu sana toto utoto wao.

Kitabu hiki hakina tofauti kubwa sana na kile kitabu cha Kivukoni College, ''Historia
ya TANU.''

Ikawa sasa kama imewekwa sheria fulani kuwa ni marufuku mtu kuja na historia
ambayo haitaanza na Mwalimu Nyerere.

Ikawa hata inaposemwa kuwa Nyerere alichukua uongozi wa TAA mwaka wa 1953
haielezwi kachukua vipi na kachukua kutoka kwa nani.

Ikawa kwa njia hii jina la Abdul Sykes halitajwi.

Ikawa vilevile ni mwiko mkubwa kueleza historia ya Waislam katika kuunda TANU na
kupigania uhuru wa Tanganyika kiasi mwaka wa 1988 gazeti la Africa Events (London)
toleo zima lilikusanywa kwa mimi kule kumtaja Abdul na Ally Sykes, Saadan Abdul
Kandoro
, John Rupia na mchango wa Waislam katika kuasisi TANU.

nKkFQfsBJiLeJzednwUzGmCpj-yLES8nKfSF3szycTVwfcmK2Meduhy0PBhm5qI5AuqCzSTHooKDq5V6WBNdpFgn-IRRKyWG1nd6UJra2sl9JWjEMFG5iMnSJ_zNVPNrFe76WIqywmjsi8b_HjkP_bea2pfT20wyyfkbSlBD-U_H-Dnmkji2YGN5jalN8fLfakVXi_5UYYx2sBzyeTluO9MElwzdeTRP5kJ3HKT6QRTe93xe2s-HVvv90qt3IGdIwhY--adZptLnAAm4U7NNt4ffhfG49SgdkVe_1QWa04L6w5i4vW0ey0uK3gL7XXUu35fEZSBc0PwhTaT024kjzcOnKMy9AfegNlzTdKTAN5QRUW77pWz1qHar0v2QqMjRxOtB_-eRvdeSjVaVWzWt-VHpdIl_nJ-8Mj8QGtqZAs6xgkR3ZCUwdjFkUC35PKfXYjko6hQTj4s-oBKJNB5jjNJDoxglty13PjmXpdZdekWpgfKQ5jy-6zlKA1wdaTVNG8ZLHg6_AZ1X3pTF2VInlIPFbWsARE_mRo3RBJkFWOAOzgCMCWxCfLPssrIxUHwp5XV1G7NB4S-0uo4apUTCKNSmG6s4EYU=w876-h657-no

Nanren,
Ikiwa mie kuiandika historia hii ni uchochezi basi hii ni bahati mbaya sana kwako.

Sasa TANU ilipoamua kuandika historia yake katika jopo la uandishi alikuwapo Hassan
Upeka.

Upeka alileta katika jopo lile ''notes,'' alizoziandika kuhusu vipi TANU iliasisi wa kutokana
na mahijiano aliyofanya na Abdul Sykes kabla hajafa 1968.

Jibu alilopewa Upeka ni kuwa historia hiyo inayoandikwa haina uhusiano wowote na Abdul.
Hizi habari kanieleza Upeka mwenyewe.

Hivi ndivyo historia ya TANU ilivyoandikwa na Abdul Sykes na mdogo wake Ally na wazalendo
wengine wakawa kwa khiyana tu wamefutwa.

Haiwezekani kuwa Abdul Sykes jina lake lilifutwa katika historia ya TANU kwa kuwa alikuwa,
''mchochezi.''

Africa Events lilipopkea makala yangu wakaichapa katika gazeti la March/April 1988 uk. 37 - 41.

Nilichosema katika makala ile ni kuwa haiwezi kukamilika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika
bila kueleza mchango wa Waislam na kuwataja watu kama Abdul Sykes na mdogo wake Ally,
Saadan Abdu Kandoro na John Rupia.

Makala hii iliwashtua wengi na matokeo yake ndiyo huko kukusanywa gazeti lote na kuchomwa moto.
Wasomaji ndiyo wataamua kama huo ni uchochezi au la.

Kuna mengi yalifuatia baada ya kituko hicho.
Kwa sasa na tusimame hapa.

68fwk63lJThK0uvedL6ib0vPo3n3CtOvG8jJ0VGe1r0DJrr7bnm1P3gOCHSN9AYzHQZXDPxVzLRIMHIlyJmuV9xcc2GALJ9xobA2czGDwnr-JoyCpK5-nr2NSNmipptFnkF6kqYE9xCAF0L-H6TYZ4wPrtjqMhoHm6YM0lofzMGTJaV6is56I4ZGdArdf-cAm6ohuhXwf8JBSQwqlLk2scfAVqKQUbBY75yuzW5lJIbH9lB1jWsDLT4sz_bi8EIGxoj5f9VovlGPxmH-mQnDXc-R1yN8yPUy028jyNem8Ktd3EKj63T7DJ29Tz4qm_D8s9hZsQmel-1eN1WeLYm_JvMIO3lgLpxmDA30i6CecWb6Z66KUov134tjgmBrP4Fyt2jwfBv3OD0-PmDO1BD__XLKYAugV48u0sqAxmzf-gH1eG6dRg4p3i9-d3Vql0ga2tXRg_Md1wve-Xm3-A_8I23lxabG44xYon0KKdXmtAkqKBaotwZ-N234fxYrTijBM2Br9d0qY_Uagf93KbLXS1AFuKTC0NdosBSwjSqazntxqQ66M_6Lip_z9Af6TMC6ArMuUaSkxo_ciEbCs_ZOLqLxV9vTIoNgN6BvXD7D5VUjYHYq_Tmu=w480-h320-no

Kushoto: Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdul Sykes na Lawi Sijaona
siku ya kumuaga Nyerere Ukumbi wa Arnautoglo safari ya pili UNO 1957 .

Kwa usomi wako nafikiri utakuwa unajua McCarthyism.
Unatumia similar techniques kukwepa hoja ili kushinda.
Unalazimisha eti kifua "kinanifukuta" . Huko ni kupoteza hoja. Kifua kinifukute kwa lipi?
Au unafikiri sijawahi kusikia muslim heroes?
Mbona wako wengi tu dunia nzima?
Tatizo lako ni kupenda ku-exaggerate stories ili zionekane "sensational" kwa wasomaji wako. Ili baadhi ya waislam wajisikie kweli kuwa wameonewa, na kuwa tusio waislam hatupendi wajikomboe na hatupendi maendeleo yao, something which is untrue!
 
SelfMaking,
Hili swali nilishalijibu huko nyuma na historia ndefu sana.

Kwa ufupi ni kuwa palikuwa na njama za kufuta historia ya kweli ya TANU
na kwa bahati chama hicho kiliasisiwana wazee wangu hii ilinikera ndiyo
nikaandika kitabu cha Sykes (1998).

Uislam ndiyo ilikuwa nguzo ya harakati za kudai uhuru na hilo sikusema
mimi hayo ni maneno ya waasisi wa TANU wenyewe.

Kuna post nimeweka muda mfupi (Post 404) kuhusu kadhia hii ya kuhujumu historia
ya TANU soma utajifunza mengi.

tAZ7Q0CbeIpy9U9VrFhQRXVT3KiZoLVWyGRWVQGRN9MQ2MWqQTn6Pdw3hADo7z3DvALdD5Hr-xQ=w724-h567-no

Angalia caption ya picha hiyo haikuandikwa majina ya wazee wangu kama vile walikuwa hawafahamiki.
Kushoto: Mwinjuma Mwinyikambi, Max Mbwana, Julius Nyerere na Mshume Kiyate.
Sawa mzee nitasoma hiyo post 404. Lakini hata kama uislam ulikua ndo nguzo mi sidhani kama ni sahihi ukisema hivyo hiyo inafanya wakistro waone kama wazee wao waliupenda ukoloni au walikua weak na kushindwa kushiriki kuupigania Uhuru wa Tanganyika. Kitu ambacho sio kizuri. All I'm trying to say is Udini usiwepo kwani unaleta matabaka. Sisi sote ni watanzania, muislam,mkristo au mpagani. Wote ni ndugu. Nadhani tunapokua tunaingelea jambo la taifa zima tujaribu kuweka pembeni ukabila na udini.
 
Self...
Hayo usemayo ndiyo madhara ya ukoloni kuwa wakoloni ili kuwagawa watu
watanyanyua tabaka moja na kukandamiza jingine.

(Wagawe uwatawale hii ndiyo ilikuwa sera ya wakoloni wote.)
Hii haituzuii sisi kuandika historia ya kweli hata kama kuna watu hawatapenda.

Mimi sikupenda kuona historia ya wazee wangu inafutwa.
Hii ni historia hakuna udini hapo la unataka kuujua udini sema nitakupa rejea za kusoma.
 
Back
Top Bottom