Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

Ulipoachiwa airport story ikaisha unajifanya kukatisha eti hutaki kutuchosha. Mbona unaandika vitabu kama wasomaji huwa wanachoka? "Nikauchekesha mkutano kwa kuwaambia kuwa Wamarekani wamefanywa wajinga..." Kumbe hoja zako ni za kuchekesha mikutano?

Japo unajaribu sana, wewe sio a serious thinker wa masuala ya mivutano ya kidini Tanzania. You had a limitless potential, a wealth of narrative history uliyopata kwa baba zako Gerezani lakini elimu yako na upeo wa kujenga hoja mgogoro. Ungeweza ku fill the void ambayo kwa kweli imeachwa wazi na wanahistoria, viongozi wa zamani, na wataalam mfu tulionao.

Na nimekwambia siku nyingi... ulitueleza hapa ulikuwa ukienda kucheza cha ndimu Kariakoo na kitabu mkononi wenzio wanakushangaa, nikakwambia haya nipe mlolongo wa elimu yako kuanzia msingi. Ukakwama, the narrative is invariably the same, ofisa kafiri Baraza za Mitihani alikukata jina darasa la saba. Tofauti na Europeans, Waarabu walituletea dini lakini hawakutujengea shule.
 
Kwameh,
Tunaweza tukafanya mjadala wa kisa hiki kwa utulivu na kwa kustahiana
hapana haja ya wewe kuja na kejeli kwa kejeli huwa tabu kujibiwa ila kwa
kejeli labda na matusi.

Umehamaki.
Huna sababu ya kughadhibika huu ni mjadala tu hukubaliani na mimi basi.

Hakika elimu yangu ni ndogo sana.

Mbona umeshindwa kuelewa kitu kilicho chepesi katika mie kwenda mazoezini
kucheza mpira na kitabu mkononi?

Nilichokusudia ni kuwa nilikuwa, "book worm," yaani mtu anaependa kusoma
kila wakati.

Hii ndiyo maana yake.
Wala hatukuwa tunacheza chandimu.

Hii ilikuwa Everton Football Club baadae ikawa Saigon.
Chandimu ni kwa watoto wadogo.

Sisi tulikuwa wakubwa na tukishiriki katika mashindano makubwa ya nyakati
zile katika Viwanja Vya Jangwani na kwengineko.

Suala la elimu na Waarabu nimelizungumza hapa mara nyingi labda kwa kuwa
wewe ni mgeni.

Waislam ndiyo watu wa kwanza kujua kusoma, kuandika na kuhesabu yaani
kuwa na zile 3Rs yaani Reading, Writing na Arithmetic.

Hizi walizipata kupitia madras zao.

Krapf alipofika kwa Chief Kimweri alishangaa kumkuta yeye na wanae wote
wanajua kusoma na kuandika kwa herufi za Kiarabu.

Elimu hii ilikuja kupigwa marufuku na wakoloni kwa kuingizwa herufi za Kirumi.
Inaelekea kisa cha uwanja wa ndege kimekuvutia.

Kipo kisa kizima kwenye blog www.mohammedsaid.com yangu In Shaa Allah
search ''Mohamed Said: Muuza Madawa ya Kulevya?''

Hayo mengine sijaona umuhimu wa kuyasemea.
Angalia hapo chini jibu langu kwa msomaji mmoja:

Hapo niko Library of Congress, Washington DC.
Nimo ndani humo:

CCM-bsqAtDtdGEVlN9zh2USSYaIzdUwBvnEVUc8DuVTEwRdlvrJ2tPCpaKebxsRzvc48YLvZaePJlW_ohX86PJu5YVpUgcQ2BFdBAiyIbn7gqb2m25DQcSfn5JSQwSCZPG_GCLDKIrehN4f-77pip6mQNEC4LnrndXpmp69X5QtGB2MzxZR8-GwAY0SDbV9KzVNSFRSo7xAuzpfvY5lAZLdyMZka2dWRs1U2HpfL4WbigytEy5RSsTmpPUlT-MmYyses7r93vnkIs3EY2XVR11gK6XDQcaoVClAzMyZiRwXKPhqyjTXQFjhL9T6BghKAH_EVXvKTBniGeovGPP97g0qAnXktcuGOfIcVC9hldQ5lwxLUEj74sN0oyW_k2XWtJY4x_cQI8g3EeIPAnz76SAC8EWm9TQPalAJdlYurA6SYrnz_Kx25tkLXTT5zCjchXg0LeSdl8yF3f2t_86xj_bYu8t5_OnWuVggaQCTsoOkzNNF-9GFQWOdy3wZuuz02LFwQCBkIddDX3LZxKulgFbhP6ULXEAeiluQvw7culEDYivjnb0qg6yBiWkVIWoMf37d3i7E2J63HILQ8oDi7MHJTkXPfjWlObn7FmBKACw=w941-h630-no

Hapo ni Zentrum Moderner Orient, Berlin.
Nimo hapo:

EV_9nuKc3XIzlhTrBBHy5-Y1CrFtVAP-qLcM41mGnn4c_gZ327J8Sw1eH6Sbh5cZ1jwxCkn2JxxyYgr9DF5ZY0e23UhbhNqluilG25BvuUoko5Tr2nP6RLp4HMJ8-p4qq8WgLbdd12At2ZVquvyCi6O9a9ho7wKj62M8GQ5QEU2CLl46BxIPkOEJq4M1EO3D9sSgbCJeIi7CMD0hopvukKqE-RasOLQxagDAv5w333Arx4LaqxFy1-lqIC2WpyRSJFM_MC6gsKCeowW5L6G_bbYsVad68W4Ri_udytIz7hmHqMLKyqNgkh1UWsE0F2kgS3bw8BcC5FYSys3kMTyRQpQWK4eNgNv9tNRqAb6urm-wEKfoTEBSoa11DpIn58oMUkMauKF24a8TPqdx_nI7z5jSCBN41vKYurFyj1beDkA2nSD8yF3BQSqiWE1x9QqXCip_dYqj4Y5OoyuTJZqS3L0T-HkBiYvtbDZxZgayoF5IKlIx59tvfBJpRxDrnf2TCIhDTmYRtwpprIOKt23Mqv4QcJ6uFXdW6LGW1DbK5yHPT9iEf2HzYMOXWWmm1zisPKaE4fizfw3XqGYUQdSUDJYTtcIsevquqOVFpZdeUVg=w840-h630-no

Hapo Northwestern University, Evanston Chicago.
Nimo hapo:

4L4dDvZ14CgXNQmZ7mzkK_P9Pc85LBoc68vK-hi4CFtpkd1mkEoVF97rlRh3o11q3Ce8Kf03RpbQdegX5scPUipdWp4YxOYTQkSJlpWsZwMGRgtiF8bQEkh2cnWG28nqePw9Vsqs66bSyAI174rZcNPiHrZT_oNvBhh0gAZNVmdakY0Zw_fAhI5wNsIVWEnvKOJHHRvad3X06PJxBvms37CQkmec0qdBzFjsL0cJU-vJuLvd8ACiaxeiLa8csc5vfPEQajDBqFeRDtQNMe3E6ZPSFlDPQRg1TXxVvclGrqdGuXrKMWrHpY3hxN3agtTYPiYL-9m1L1b-GVn4C-A7geMd9M3RJuX2mATOae9sKFbUetOf8HQBo6SeSRgEnKQTW8QASTMF98fRiaoRZc_hVRvOmmgZOA59lX8_pgY5YoxhCq1Fk--Q1G1wcnF9AHGcys9TF888zaWyM-N6MgxHrbMaIZMYrTFffZtyeAm59DqXIx5P_lkXCXdSsAaE_Z6L2WKTpI86_Stg8af_iYWry6iXu0SQ1scFfPZi-dwNocS4BT_qoGShb0UtzmJfttY5jzVpBQ1--geHybhwmcN94Q_G0zRnhLjLIv1_VV5qBzw=w412-h297-no

Hata kwenye Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam...
Nimo.

Huwa tabu sana mtu akija na kitu kipya kupuuzwa...

Hapa Columbia University, New York
Nimo..:

h1zAgAwcRBVh6knGhP0eALRCX7Fm-XyVQMI-4MThgqF-CpYKJb-q56t629vsUOnWEgRsCzTYguU9LnV6DjjxGSUkHnUHzlHjAExu8NJ-bOZ_TAeHGYUiJA_44BIAmcgqVoihKAnv2h6TjlbkR8g2PacbRvMBZk8u7vFVmFI2kznv1AX_iZB0ORZXJ7Ed1RAJ8VzWdSSGQi-tFwF01CHSDZG7MMbzbbKWOKtejlHPLrwWO16jc5Xd0bbZvscc9XkWC7T35C6rgIiAP15efMcPN98mVjWjvAu0ocbLrEb1r_xXFd9QToqzsI2LYTo0fwe_Ibg3jyB4A1eNN6nEWNRBG_5MfvZivHxWyRohRxxYPkttokd9Ctsb_dQ6PmpBGUIgIID8yJdlUpysJQ5FZgCBSe2mdxlgnGfeE6z2N9v82YcIMlib8uxULlkjppB-347hI6neNQZsLLEHFaDp431ZShW3Knkp0JRoKgtiiK5Dh7WnkSH9WHMaBrU3ilc0XrI6-2bZJUxBmFaKgKbDXuyTJQhA09P0Di76vtTOWhBPG7ndawpXkv6g6GicsuuTi4A0kZqStxBcIPRIN82WQdhaNxm5G46rN9N4CtxlkHJ77Ck=w360-h480-no

Kote hapo chini nimo:
  1. PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  2. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  3. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  4. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  5. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  6. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  7. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
  8. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  9. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
  10. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  11. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  12. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  13. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  14. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  15. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  16. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  17. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  18. 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  19. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
  20. Awards: Several Awards
  21. Visiting Scholar: (2011)
  22. University of Iowa, Iowa City, USA
  23. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
  24. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
  25. OTHER COUNTRIES VISITED
  26. Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
 
Ni kwanini wasingemfanyia hivyo mtu aliyetoka Vatican ikiwa wanamsuspect ama wana taarifa mbaya kuhusu mtu huyo?

Lini mtaacha kulialia kwa kusema mnaonewa na hakuna wa kuwatetea? Allah si awatetee?

Unaandikaga vitabu vizuuri vya kuhusu historia ya nchi, lakini Uzwazwa wa Kidini haukuishi Mtu mzima weye Mohamed

Una udini umekukamata kama ukurutu.

Wabillah Tawfiq,
Azarel,
Uandishi huu wako wa kejeli mie na wewe hatutafika mbali kwani
utakuwa umewaalika watu hapa katika mjadala wetu mabingwa kwa
kejeli na matusi kukushinda na watavuraga kila kitu.

Haya yashatokea katika mijada yangu siku za nyuma.
Sisi tufanye mjadala wa kuheshimiana na wa adabu.

Jitahidi kuepeuka maneno kama ''kulialia,'' ''uzwaza,'' nk. njoo na hoja
ili sote tunufaike.

Ikiwa unataka tuzungumze kuhusu dini tunaweza kuanza hapa:

-ta9SG6c1r2V2flMfh4jaHKF2b-UA3twh9gx2V0XTmNLNUUy59Nj7sBS1ShCcz1SerCQmyjyDOum_dKAZb9JLMAdQov0YAT8WOinGa-99XyCAh1ZbJ9lCRhnK4UdpftRxiZB3sA15OVeOdrW0XBKL7SC-MBz5MyBMRB-cRAMfI9M5cMw-4ldyWUlAODtXQYeL85mu7GAtzLlvTkWA5g4OsSIADSTO5FXneqz618vEsfTBXQrOu6VAG-tkSISjRrDxZZiHy7QH_FF3IsIVL-vLH0G4FJXt5Co0BbP81UqUqfdWvFluAGORGzXlwV-MvHTtzpYGSHcHVmR7uWCmj6BqWSrISZ2_M9mIeKA9iLGlt__0bSJFFHXuEU1ORFJjjrER8NOw8gAHaab1NFAiJxPLRCc5DCpTTRK0Qq4MSnXNk_dYsdKinIYjAmsqFr-SfrmWnhDhea6im2QmjjSDjUKAJiAbalHRmC3EiVPROFOTKkWogV40oxFRS0luJ8HFCJibGYZWZ02Vbm1BN14zmRzqM1LwW951bIDzv426quO2XGpBVvRRzIniREUJnDeY9jW-F5YeEnpuHF1gMeaxMRhMjAjXx1v0vtPsSDeOqYMx80=w340-h483-no

A6hkpLGhmvSrG_fNB4Yv95aTdrh0tdc87rjoZ750Kdcx6bKJM9ymMMwfGDqTvmwh7AxSo-2nejgqKCsZGvC5jeRM97xQfPJYkrrKpivHdqpYRDFEnXCk4CtTKBhreuQ-CUbAoPT4cKLKm_CKl7A_bn5KZjUIOq6Yv4NApzy7mcvslGLk1COnP5PmWZV4S_MEShWbtBdJFeIJfGL4RW2Qt6MN8GidwOAkRH-cJ8Gl1nw6ev2oYEGuwvilqw-aS1kSKVmQmayAPAP4jxo5Er2yLvr2yP5FI7zZGhMAM49owJ-1VTAqn1M7Qz6BUz_4kCz8i-TJWBpVWaWZSMnxxU0aCWrX1vJEnjlvDpIiLz12VpjIS3Xpa5aO3dpXZmtmDzBatzL63QhoNMhayjw5EjuArLHMw_EVkv2kSMVqjNDeuICajH0KKiStWf07ocTUwPLbWNE-ZiJXcbU1s2I5SfcIKu5-NKwEESGCBjCuviwyxJPjUJeVOd_OHQutlMU3cgr3oAUBTZl9oKgbOSBG7CcfwDa4YmdVEucd7-r0ISUngPXbmJQsxL-JV3UQd4HePV1g1qr8YLKPSxHJr3B714VOOlJ7ZOvy4yOcdGyMN2e-BmA=w421-h630-no
 
Kwameh,

Tunaweza tukafanya mjadala wa kisa hiki kwa utulivu na kwa kustahiana hapana haja ya wewe kuja na kejeli kwa kejeli huwa tabu kujibiwa ila kwa kejeli labda na matusi.

Umehamaki. Hakika elimu yangu ni ndogo sana. Mbona umeshindwa kuelewa kitu kilicho chepesi katika mie kwenda mazoezini kucheza mpira na kitabu mkononi?

Nilichokusudia ni kuwa nilikuwa, "book worm."

Naamini unafahamu maana yake. Wala hatukuwa tunacheza chandimu.

Hii ilikuwa Everton Football Club baadae ikawa Saigon.

Chandimu ni kwa watoto wadogo.

Sisi tulikuwa wakubwa na tukishiriki katika mashindano makubwa ya nyakati zile.

Suala la elimu na Waarabu nimelizungumza hapa mara nyingi labda kwa kuwa wewe ni mgeni.

Waislam ndiyo watu wa kwanza kujua kusoma, kuandika na kuhesabu yaani kuwa na zile 3Rs yaani Reading, Writing na Arithmetic.

Hizi walizipata kupitia madras zao. Krapf alipofika kwa Chief Kimweri alishangaa kumkuta yeye na wanae wote wanajua kusoma na kuandika kwa herufi za Kiarabu.

Elimu hii ilikuja kupigwa marufuku na wakoloni kwa kuingizwa herufi za Kirumi.

Inaelekea kisa cha uwanja wa ndege kimekuvutia.

Kipo kisa kizima kwenye blog yangu nitakuwekea link ukisome chote In Shaa Allah.

Hayo mengine sijaona umuhimu wa kuyasemea.

Wanatumia bookworm, sio book worm.

Na hiyo ndio ilikuwa msingi wa swali langu, ulikuwa bookworm unaeenda mpirani umebeba vitabu, ulipita pitaje katika mlolongo wa shule? Maana nikikusoma sioni weledi na taaluma, ni unazi na udini.

Waislam walikuwa wa kwanza kujua 3Rs, Waislamu wa wapi, Egypt? Tunaongelea kina Muhammed Saidi wa Kongo na Mkunguni! Waarabu walimfundisha Kimweri kusoma na kuandika haijibu hoja kwamba Waarabu huku kwetu hawakujenga shule, walijali biashara ya utumwa tu. Labda ndio maana Waislam wa Gerezani wakabaki nyuma kielimu.

Simulizi la hadithi yako unasema umelimalizia kwingine, mbona hapa uliahidi kulimalizia tukishapumzika ili usitochoshe? Muislam asiyetunza ahadi ni Al munafiqun mkubwa.
 
Teh teh teh...hivi wakati hayo yakifanyika yaani fitna na husda juu yenu, ninyi ambao mnakiri mpo wengu mlikuwa wapi?

Mlishindwa nini kuzuia hayo yote?
Azarel,
Tufanye mjadala wa maana nakuomba jizuie na hizi ''teh...teh''...nk.

Mimi si mtu wa mijadala ya namna hiyo unaweza kupitia mijadala
yangu humu JF.

Hili swali si jepesi kujibiwa kwa mistari miwili au mitatu au hata kumi.

Nina mswada, ''Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy
in Tanzania,'' vuta subira utasoma kitabu In Shaa Allah.
 
Kwameh,

Hapo niko Library of Congress, Washington DC.
Nimo ndani humo:

CCM-bsqAtDtdGEVlN9zh2USSYaIzdUwBvnEVUc8DuVTEwRdlvrJ2tPCpaKebxsRzvc48YLvZaePJlW_ohX86PJu5YVpUgcQ2BFdBAiyIbn7gqb2m25DQcSfn5JSQwSCZPG_GCLDKIrehN4f-77pip6mQNEC4LnrndXpmp69X5QtGB2MzxZR8-GwAY0SDbV9KzVNSFRSo7xAuzpfvY5lAZLdyMZka2dWRs1U2HpfL4WbigytEy5RSsTmpPUlT-MmYyses7r93vnkIs3EY2XVR11gK6XDQcaoVClAzMyZiRwXKPhqyjTXQFjhL9T6BghKAH_EVXvKTBniGeovGPP97g0qAnXktcuGOfIcVC9hldQ5lwxLUEj74sN0oyW_k2XWtJY4x_cQI8g3EeIPAnz76SAC8EWm9TQPalAJdlYurA6SYrnz_Kx25tkLXTT5zCjchXg0LeSdl8yF3f2t_86xj_bYu8t5_OnWuVggaQCTsoOkzNNF-9GFQWOdy3wZuuz02LFwQCBkIddDX3LZxKulgFbhP6ULXEAeiluQvw7culEDYivjnb0qg6yBiWkVIWoMf37d3i7E2J63HILQ8oDi7MHJTkXPfjWlObn7FmBKACw=w941-h630-no

EV_9nuKc3XIzlhTrBBHy5-Y1CrFtVAP-qLcM41mGnn4c_gZ327J8Sw1eH6Sbh5cZ1jwxCkn2JxxyYgr9DF5ZY0e23UhbhNqluilG25BvuUoko5Tr2nP6RLp4HMJ8-p4qq8WgLbdd12At2ZVquvyCi6O9a9ho7wKj62M8GQ5QEU2CLl46BxIPkOEJq4M1EO3D9sSgbCJeIi7CMD0hopvukKqE-RasOLQxagDAv5w333Arx4LaqxFy1-lqIC2WpyRSJFM_MC6gsKCeowW5L6G_bbYsVad68W4Ri_udytIz7hmHqMLKyqNgkh1UWsE0F2kgS3bw8BcC5FYSys3kMTyRQpQWK4eNgNv9tNRqAb6urm-wEKfoTEBSoa11DpIn58oMUkMauKF24a8TPqdx_nI7z5jSCBN41vKYurFyj1beDkA2nSD8yF3BQSqiWE1x9QqXCip_dYqj4Y5OoyuTJZqS3L0T-HkBiYvtbDZxZgayoF5IKlIx59tvfBJpRxDrnf2TCIhDTmYRtwpprIOKt23Mqv4QcJ6uFXdW6LGW1DbK5yHPT9iEf2HzYMOXWWmm1zisPKaE4fizfw3XqGYUQdSUDJYTtcIsevquqOVFpZdeUVg=w840-h630-no

Hahahaaaaaaaa......

Sasa kupiga picha library of congress ina maanisha umesoma?

Nimekuomba kitu rahisi sana, nipe mlolongo wa elimu yako kuanzia la kwanza hadi form six! Wala sitaki zaidi....hahahaaaaa.......

Maana hata wanapofukuza watu wa vyeti hewa huwa hawajali sana shahada na astashahada, tunataka kujua elimu yako ya chini ilikwenda kwendaje?

Maana ulikuwa bookworm utotoni, haya nambie!
 
Bookworm, na sio book worm.

Na hiyo ndio ilikuwa msingi wa suala langu, kama ulikuwa bookworm unaeenda mpirani umebeba vitabu ulipita pitaje katika mlolongo wa shule? Nambie! Maana nikikusoma sioni weledi na taaluma, naona unazi na udini.

Waislam walikuwa wa kwanza kujua 3Rs, Waislamu wa wapi, Egypt? Tunaongelea kina Muhammed Saidi wa Kongo na Mkunguni! Waarabu walimfundisha Kimweri kusoma na kuandika haijibu hoja kwamba Waarabu huku kwetu hawakujenga shule, walijali biashara ya utumwa tu. Labda ndio maana Waislam wa Gerezani wakabaki nyuma kielimu.

Simulizi la hadithi yako unasema umelimalizia kwingine, mbona hapa uliahidi kulimalizia tukishapumzika ili usitochoshe? Muislam asiyetunza ahadi ni Al munafiqun mkubwa.

Kwameh,
Mjadala wa kumshambulia mtu badaa ya kufanya majadiliano huwa mgumu.

Unaniuliza swali kuhusu elimu yangu na nimekujibu tayari hapo nyuma kuwa elimu
yangu ni haba yaani hamna kitu.

Unaandika kwa kejeli, ghadhabu na chuki kubwa.
Hili ni tatizo kubwa.

Mjadala kama huu pia huwa mgumu maana ili tuelewane inabidi na mimi
nikukejeli.

Kwangu hili ni muhali.
Ahadi ipi niliyokuahidi ambayo sijatekeleza?

Ishumi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ameandika vyema kuhusu suala
hili la elimu bahati mbaya sikumbuki jina la hii ''paper,'' lakini kama unataka
kujua kuhusu suala hili unaweza kuipata ''paper'' hii Maktaba ya Chuo Kikuu
Cha Dar es Salaam.

Hili suala la utumwa ni mada mpya umeleta hata hivyo niko tayari kujadili
na wewe ila ondoa hamaki na fungua uzi nitakuja kutoa darsa.

Kwa kukutayarisha na mjadala huu nakuomba kwanza usihangaishwe na
biashara ya watumwa ya Waarabu.

Anza kwa kusoma Transatlantic Slave Trade na Congo Slavery.

Inaelekea elimu yako ina shida unanicheka mimi bure kwa umbumbumbu
wangu.

Laiti ungekuwa umesoma vyema usingelikuja na suala hili la utumwa wa
Waarabu.
 
Mtoto...
Hakuna Muislam yeyote Tanzania ambae kashitakiwa kwa kosa la ugaidi
na kutiwa hatiani toka sheria ya ugaidi kupitishwa 2002.

Ingekuwa mimi ni gaidi ningeshakamatwa.

Sikiliza wewe gaidi hatari, sio wewe peke yako unaye pata hizo kadhia, hata mimi nilishawahi simamishwa mchunguzwa na kuombwa passport baada tuu ya kuvuka uhamiaji hapo airport huku nikiwa na jina langu la kizungu . Waache wana usalama wafanye kazi zao , na sio kukimbilia kwenye chuki zako za kidini, watoto wa kiislamu wengi tuu wako kwnye biashara hiyo na trips zao ndio huko Pakistan, Iran, Afgahnistan , Brazil wakileta madawa hapa teari kw akugasambaza na kuyasafirisha zaidi kwnye South Africa ,Ulaya, America na Acia, usijione na usilamuw ako kwamba hawata kukukabua lazima wafanye kazi zao hasw a ukiwa umetokea nchi hizo.Acha chuki watanzania tuna pendana, hofu yako na unyonge wako ndio unakufanya ukae kuwaza kichuki Vatican Vatican, sijui ume sha wabadilisha vijana wa kiislamu wangapi kufuata mawazo ya hofu na chuki , umenitisha sana wewe ni terrorist kabisa na sio lazima uwe umevaa mabomu kwamaneno yako tuu. una tosha haribu vijana wa Kiislamu wasio na nia ya kuwa extremists .Allah akusaidie akuondolee hofu moyoni akujaze upendo na amani kama vile Mtume Mohamed alivyo penda kila mtu.
 
Tumesikia mengi kuhusu ugaidi wa maaskofu ,na ugaidi mkubwa ambao ni bora hata kujilupua NI KUVILAWITI VITOTO VYA KIUME VISIVYO NA HATIA naichukia vatican hii ni kashifa ambayo imekuwa ikitokea mara kwa mara yaani ni katabia pendwa cha maaskofu shame on u

Nani kakumbia hap wa vatican ni malaika ? ulawiti uko kote hata wako viongozi wa diniwa kislamu wana walawiti wa toto vile vile, niki angalai walawiti nao wajua wengi wao niw a dini gani nakuta weni ni wa dini yako, je ina maan watu wote wa dini yako ni walawiti siamini hilo .kama masuala la madawa nchi husika zipo zinazo eleweka na ni muhimu kumkagua yoyote anaye tokea nchi hizo hata kama kashika tasbihi na kavaa kanzu , sababu wengi hujificha kwa mwamvuli huo kufanya biashara hiyo , Kama huyu yeye anaijiita mtu wa dini ila Mungu ndio ana jua amesha jaza chuki vijana wa ngapi wa kisialamu kuchukia wakristo ,shetani pia huwa kwnye ngozi ya kondoo.Tupendane kama binadamu , turekebishane tunapo kosea kwa upendo zaidi .Nina wapenda ndugu zangu waislamu .
 
Sikiliza wewe gaidi hatari, sio wewe peke yako unaye pata hizo kadhia, hata mimi nilishawahi simamishwa mchunguzwa na kuombwa passport baada tuu ya kuvuka uhamiaji hapo airport huku nikiwa na jina langu la kizungu . Waache wana usalama wafanye kazi zao , na sio kukimbilia kwenye chuki zako za kidini, watoto wa kiislamu wengi tuu wako kwnye biashara hiyo na trips zao ndio huko Pakistan, Iran, Afgahnistan , Brazil wakileta madawa hapa teari kw akugasambaza na kuyasafirisha zaidi kwnye South Africa ,Ulaya, America na Acia, usijione na usilamuw ako kwamba hawata kukukabua lazima wafanye kazi zao hasw a ukiwa umetokea nchi hizo.Acha chuki watanzania tuna pendana, hofu yako na unyonge wako ndio unakufanya ukae kuwaza kichuki Vatican Vatican, sijui ume sha wabadilisha vijana wa kiislamu wangapi kufuata mawazo ya hofu na chuki , umenitisha sana wewe ni terrorist kabisa na sio lazima uwe umevaa mabomu kwamaneno yako tuu. una tosha haribu vijana wa Kiislamu wasio na nia ya kuwa extremists .Allah akusaidie akuondolee hofu moyoni akujaze upendo na amani kama vile Mtume Mohamed alivyo penda kila mtu.
Mtoto...
Utakapotulia na ghadhabu zimekuondoka rejea tutaendelea na mjadala.
Kwa hali hii hatuwezi kujadili lolote.
 
Mtoto...
Utakapotulia na ghadhabu zimekuondoka rejea tutaendelea na mjadala.
Kwa hali hii hatuwezi kujadili lolote.

Hakuna jipya unalo onega ambalo hatulijui kwa watu walio extremists, umesha onyesha udhaifu kwa kuwaza udini kwa kutaja vatican, mimi siwezi kasirishwa na mtu kama wewe kabisa kwasababu natambua sio wewe ni imani ulio jazwa ndio inakufikisha hapo ,inferiority complex ni kitu hatari sana na ndio kinacho kuumiza , unaishi kwa hofu na kila kitu unaona ni ubaguzi na kuonewa , well huwezi nielewa ila ndio hivyo ,tokea leo jaribu kujiweka kama mwanadamu uliye na thamani , hata mtu akikuoneysha dharau , usijishushe kujiona ni hauna utu, itakusaidia maana mwisho wa siku usije jilipua kwa hasira kudhani una baguliwa.Wote sisi tuna experience unayo experience ,ila hatugadhibiki sababu tuna jiamini .Tupendane zaidi ,sawa bro ? hakuna naye kuchukia , sisi wakristo tuna sema kemea pepop la kukataliwa na hata nyie mnayo namna ya kusema kama hivyo im sure .
 
Hahahaaaaaaaa......

Sasa kupiga picha library of congress ina maanisha umesoma?

Nimekuomba kitu rahisi sana, nipe mlolongo wa elimu yako kuanzia la kwanza hadi form six! Wala sitaki zaidi....hahahaaaaa.......

Maana hata wanapofukuza watu wa vyeti hewa huwa hawajali sana shahada na astashahada, tunataka kujua elimu yako ya chini ilikwenda kwendaje?

Maana ulikuwa bookworm utotoni, haya nambie!
Kwameh,
Mbona nimekujibu kuwa sina elimu hamna kitu au huamini?

Kuhusu Library of Congress nilipewa uanachama na Mkuregenzi
wa United States Information Services (USIS) katika miaka ya
1980 kutokana na ''paper,'' nilizokuwa nikiandika na zikitumwa
Library of Congress ziwe hapo kama rejea.

Wakati ule mwakilishi wa Library of Congress alikuwa Joseph
Kimalando
na baadae nafasi yake ikashikwa na Ahmed Rashad Ali.

Hii ilikuwa ni ''Exclusive Club,'' ya watu wachache sana Tanzania.
Hii ndiyo, ''connection,'' yangu na Library of Congress.

Lakini picha sikupiga hapo Library of Congress peke yake.

Nimekuwekea picha ya Columbia University New York, Northwestern
University, Evanston Chicago na Zentrum Moderner Orient, Berlin.

Hiyo hapo chini niko Kenyatta University, Nairobi:

FwN6Py4jtViAOvgiSixHgJqp1H5OJIFHeIY97BOVmSE2sDTovsla1K1VTWQEOkd8CWnemuijMc3AqAHzvgswk4AD_tcsE220HNbk65l8wOlbYlFxyucAbleuOsVzfZt38YPfbX3hJlH2Giy-cnSdO-aZUYH6Yq8Cc2CZ39nLWJM0c2hgMQQH-Cfe65EiqIRtlyD0VOU1cqN_Teg0JjG4bfR3xWNQ7gzGeQfLPQjuzFXSUYpaZWtlooYSlwDD6Vs_6mzP4LrIitb76JQHYrAi-8x4LpN16qxisjwgm5LRvbPViRpi2QsWz8GXr20oJr4jtphvo9cDepVdCDCUj32H0SHdFXBePLoaJTtfZDWd6nngiH8y0ppAOnU12vXQtblPO09aC5woTrPqI1jyg_AqCmxOj3Y2wdRdocWDmGG1zPONInwyqifdJURLO6RKd3d8L9HZz05AhOC2Gd-WkfPm4xuLS-PVdZ8t78yAG89QThGbCc8M87Q-VuXETg19zQBaN9e755NJWo4CIRzce0Ry06OD7FRDJZnABFJ4c2dLfvkOTmeVMpcr5zaXQs31ZMcQafjyVX6__4BGCkbAmD5-a1fZTDaTYBcvcbZzKP0xbfeUHzWvaPkHJzEJlMPReBq3luk=w840-h630-no

Hii niko United Nations, Geneva:

OJYlgcL6C8mkR7A0KOTlLscS0GrFoj0Vv95CCA3HJp-Fjpd0FhNrLs_bgVpuzjAbl2ACTKvQ5LmKsy_afJMxkRI3aUKrzLwh2wNQFZcUSqefTECt0mmjPghzbCkZV2CCeY1c8ZvDFeJJD_53Ur30eJ1t6nLIzFqa-bhn_WWXjE30U6P8DOrsaZxq7OV5LX1l6pUgamHiQ6fQzwfZaGdBDm2n8dc5pQr5Jhwv8u8NGUpHBYA99nsDT2AyfCYTFKHxkbz5qj8GitHoGnIb3ERbD44FHsj7cK5Wni86UAeT2zLqOKqtx8FU4YV_58anrlw3hcwjnkL51E7dioQYCqJpD8NTzKgoAmCMDpBcudfwiFWHCZ6VND3AjRME64mmN2l1qKN3fad4Y_UcS_jI5qAesn8AmzlkO-5Dbi0cd9ZYq13uZnyj1xxk58tB-v9lurkfbdp91dNdpqbp6CSWqOtpGhKNxtTpY9Xt2CY_oxlJyDxW92MkTjLZnH1JSyovedaU0XIao0X71mRrSvpiT6TiDAbCoakn4O4Sr1FSVhL8P9cminhgwB5myyWyMRvdL9nbcocsd3sESbtDN2JZmfBsXPRC65kOCwYuBJFnkM6MLrc=w480-h360-no
 
Hakuna jipya unalo onega ambalo hatulijui kwa watu walio extremists, umesha onyesha udhaifu kwa kuwaza udini kwa kutaja vatican, mimi siwezi kasirishwa na mtu kama wewe kabisa kwasababu natambua sio wewe ni imani ulio jazwa ndio inakufikisha hapo ,inferiority complex ni kitu hatari sana na ndio kinacho kuumiza , unaishi kwa hofu na kila kitu unaona ni ubaguzi na kuonewa , well huwezi nielewa ila ndio hivyo ,tokea leo jaribu kujiweka kama mwanadamu uliye na thamani , hata mtu akikuoneysha dharau , usijishushe kujiona ni hauna utu, itakusaidia maana mwisho wa siku usije jilipua kwa hasira kudhani una baguliwa.Wote sisi tuna experience unayo experience ,ila hatugadhibiki sababu tuna jiamini .Tupendane zaidi ,sawa bro ? hakuna naye kuchukia , sisi wakristo tuna sema kemea pepop la kukataliwa na hata nyie mnayo namna ya kusema kama hivyo im sure .
Mtoto...
Hakika hakuna jipya katika haya ninayoandika.

Kitabu changu cha Abdul Sykes sasa ni mwaka wa 20 toka kilipochapwa
London.

''Paper,'' zangu na makala ni nyingi sana wala sijui hesabu yake.
Mimi sina ''inferiority complex,'' kwa kuwa si mnyonge kwa lolote lile.

Wala simuogopi yeyote ila Allah.
Ushahidi ni huu niko hapa kwa jina langu halisi na nakuwekea na picha.

Muoga ni wewe uliyejificha nyuma ya jina lisilo lako.

Waislam sisi Allah katufunza katuaambia tusidhulumu wala tusikubali
kudhulumiwa.
 
Back
Top Bottom