Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

Sasa hapo kuna "kuonewa"?

Hivi kwanini huwa mnasoma sivyo ndivyo ndivyo sivyo?

Halafu unajiita wakusoma, unasomea nini, ujinga?
Mnataja "Unyanyasaji" mnakataa "Uonezi"

Akili ikizidi mtu huhamia wehu
 
Kwani kwako ni mbali basi, tusubiri tu huchelewi

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani wewe ndiye member pekee umemuweza huyu mfia dini
 
Naufuatilia sana huu mjadala, katika majibu yote hapa umejichanganya kweli....unataja "unyanyasaji" unakataa "uonezi"

Akili ikizidi mtu huhamia wehu
Mtu...
Mimi sina tatizo na hizi ''semantics,'' tutafanya mjadala shida
mnayo nyinyi kwa kuwa mnaandika kwa ghadhabu mnachukizwa
na mnayosoma kutoka kwangu na kunipa kila aina ya majina.

Hapa tu sasa hivi hebu pitieni mliyoandika na rejeeni katika haya
ninayoandika mimi.

Nadhani ipo tofauti kubwa baina yetu.
Ama hamuioni?
 
Naufuatilia sana huu mjadala, katika majibu yote hapa umejichanganya kweli....unataja "unyanyasaji" unakataa "uonezi"

Akili ikizidi mtu huhamia wehu
Mtu...
Hapana haja ya kutukanana tufanye mjadala wa kiungwana bila matusi.
Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kuitwa, ''mwehu.''
 
Hapa umeonyesha umeamua kubishana tu
 
Mtu...katika kitabu cha Sivalon huo uk wa 37 anasema Kanisa lina maadui wawili Tanzania Ukomunisti na Uislam.

Mimi nimekueleza mapenzi kwa dini yangu.
Sijapatapo kusema kuwa Ukristo ni adui yangu.

Uamuzi ni wako kutambua nani ""mfia dini" na zipo rejea nyingine mfano wa hizo.

Angalia kitabu cha P van Bergen, "Religion and Development in Tanzania," (1981) wala sitakuambia nini kasema waulize nduguzo watakufahamisha.

Wala sitakueleza aliyoandika Njozi, "Mwembechai Killings..."(2002) na sababu ya kitabu kupigwa marufuku.

Jiulize wewe mwenyewe kwa nini kitabu kiliogopwa.
Yapo mengi sana.

Mimi sifanyi ubishi wala siandiki huku nimeghadhibika wala kumtukana mtu.

Nia yangu ni kuisaidia jamii na viongozi wetu waukubali ukweli na tutafute njia ya kujinusuru na kila aina ya uovu.
 

Sheikh Muhamed Said unapenda sana kulalamika waislamu wanaonewa. Juhudi za waislamu wa huko nyuma hazikupotea bure. Hivi umeshawahi kuchunguza ni nchi ngapi za Afrika kusini mwa Sahara zilizowahi na kuwa rais muislamu. Tena muislamu wa bagalashia kama Mwinyi? Hivi kama Nyerere alikuwa na nia ya kuuwa uislamu angemkabidhi nchi Mwinyi? Na kanisa lilikuwa wapi Mwinyi alipokabidhiwa urais?

Nyinyi mnatakiwa mchukue fomu na nyie kugombea uongozi. Sio kukaa nje kubwetesha waislamu tunaonewa tunaonewa. Hamjengi mnabomoa. Tunawaona kina sheikh Ponda wakereketwa lakini hata huko kwenye BAKWATA hawagombei uongozi. Leo hii kwa umaarufu wa sheikh Ponda au hata wewe mwenyewe mkigombea uongozi BAKWATA nani wa kuwazuia?
 
Princemwale...
Huko tumepita miaka mingi...

Inabidi kwanza uijue nini kilisababisha BAKWATA iundwe ndipo utakuwa katika hali ya kufanya mjadala.

Ukipenda naweza kukupa darsa hapa lakini uwe tayari kusoma kurasa zaidi ya 100.
 
Princemwale...
Huko tumepita miaka mingi...

Inabidi kwanza uijue nini kilisababisha BAKWATA iundwe ndipo utakuwa katika hali ya kufanya mjadala.

Ukipenda naweza kukupa darsa hapa lakini uwe tayari kusoma kurasa zaidi ya 100.

Unalalia sana kwenye historia. Hata Simba na Yanga hazikuanza kama timu za mpira. Nyie ingieni BAKWATA leteni mabadiliko mnaacha warugaruga wanachezea mali za waislamu halafu mko nje mnalaumu kanisa. Ukisusa wenzio wala. Hawa wanaoukula hawali na kanisa wanakula na matumbo yao tu.
 
Prince...nimekueleza lazima kwanza ufahamu kwa nini iliundwa BAKWATA ndipo utakuwa katika hali ya kufanya mjadala wa maana.

Ikiwa hujui jana yako kamwe hutoijua leo yako.

Historia ni mwalimu mzuri wa kufundisha na kukuelewesha kwa nini leo uko hivi ulivyo.
 
Huyu mzee wakati mwingine anabanwa hasa ila kinachomsaidia ni kujiamini ana akili na msomi sana ona sasa
 
Toka mwanzo umesema ni wamarekani uliowapa elimy waliyokuwa hawaijui kule Ibadan, nimeshtushwa unaposema tena utamfafanulia Sanctus jinsi waafrika wasivyojua mambo
 
Sumu iliyokukaa ni kubwa kiasi kwamba imekutia upofu na uziwi/ukiziwi

Hapa member watajisumbua tu hutabadilika.

Haiwezekani unaleta udini wazi wazi halafu unakataa huna udini

Maajabu haya
 
Mtu...
Hapana haja ya kutukanana tufanye mjadala wa kiungwana bila matusi.
Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kuitwa, ''mwehu.''
Hapan mzee wangu sina jeuri ya kukutukana maana najua umenizidi kwa kila kitu

Wajuzi wanasema "jiniaz" na kichaa wanatenganishwa na mstari mwembamba sana
 
Haujuw iko vitan na mamia ys waislam wanauwawa na kutekwa kila kukicha ???tuulize sis ndg zetu walouliwa
 
Kumbe mchochezi bwana sasa serikali imemilikiwa na kanisa kivipi yaani?
 
Learn to speak abt Islam with knowledge ....unajua somalia imevamiwa na majesh ya msalaba ...Ethiopia....Kenya....Uganda........wakiuwa na kubaka waislamu (angalia ripot ya human right watch mwaka 2014 ) ....je walale usingiz mzito ...wakiimba aman aman aman kama crusaders media wanavotangaza ?.???? .....ni nini hukum ya maadui wakivamia ardhi ya waislam ???? ...wamekubaliana wanachuon madhehebu yote iyo n jihad adui apigwe mpka atoke ktk ardhy ya waislamu ............na kuhusu wale apostates wa serikal ya somal wanodai uislamu ....and their supporters ...they have to know ...he's not Muslim the one who rule with other than Allah revealed ....

"And whoever does not judge by what Allah revealed ...then it is those who are disbelievers ", (5:44 )

" fight them (disbelievers ...polytheists like democrats ...communist ...nationalist ) until there is no more fitna "(associate partner with Allah ) and( make sure ) deen is for Allah alone .......


One of the pious predecessors intepret the verse ....say " fight them until there is no more fitna ....fitna here means shirk ....and he said golden words ...."if a village or town fight each other and kill each other until there is no one left ....this is not big things like a one who associate partner with Allah "

So don't understimate our brothers in somal ...Syria ..Nigeria (may Allah preserve them ) who are fighting the armies of Satan and make the words Of almight high
 
Kalamu uliyopewa unaitumia vibaya,
Fikra ulizopewa ni nzuri ila umejaza bange ya udini itakusumbua haswa na kama hicho ndicho unaenda kusambaza kwenye mikutano kusambaza chuki za udini iko siku itakulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…