CDF mabeo alikuwa na cheo na muumini mkubwa na pia alikuwa mwenyekiti wa parokia ya segerea kama sikosei so kuwaaga ni kuwa anaachana na hiyo nafasi rasmi na kuanza kutumika rasmi tena kwa asilimia 100% kama mkuu wa jeshi sasa kuwaaga ni dhambi kama alikaa nao vizuri afanyaje.Na je kama anaamini hata hiyo nafasi imesababishwa na maombi ya waumini wenzake asiwaage? WAISLAM MSIWE MNATAFSIRI MATUKIO KATIKA MLENGO WA KUSHOTO TU ACHENI KULALAMIKA PIGENI kazi
Kwakua hujataka tujadili haya Hakuna shidaAntonio,
Ahsante.
Huo ni uwanja mwingine ambao singependa kuingia kwa sababu zilizo wazi kabisa.
Naingia Maktaba In Shaa Allah nimepata kutoa mada Chuo Kikuu cha Johannesburg katika maeneo hayo labda utaweza kupata kitu.
Antonio,
Tafadhali hebu soma hii mada nimeeleza historia ya mijadala ya aina hii
ilivyo tatanishi:
Mohamed Said: THE LEGACY OF SHEIKH AHMED DEEDAT (1918 - 2005)
Mkuu hiyo huruma yako kwangu ndio maarifa yangu au ndio uelewa wangu. No matter unafanya hizi kwa dunia au tz tu. Ninachosema ni hiki maarifa ya kweli yatoka kwa Mungu. So Kati ya Mungu wako na Mungu wangu ninae mwamini ni yupi aweza kua Mungu WA kweli mpk akatupatia maarifa thabiti?Antonio...mimi nakuhurumia wewe kwani nina hakika kama umesoma hiyo paper ushatambua kilicho mbele yako.
Mimi natafiti na kuandika "audience " yangu ni dunia nzima.
Mwenzangu wewe unalenga JF.
Hii paper niliombwa baada ya kusikika pake University of Johannesburg nikaitoa tena Islamic Propagation Centre International (IPCI)Durban na nilifanya hivyo.
Hii ni taasisi aliyoasisi Sheikh Ahmed Deedat wakati wa uhai wake.
Hakuna mahali nimetumia hilo nenoMtu...mbona mimi sikutukani nakujibu kiungwana?
Nini kinakughadhibisha kiasi hiki?
Huu ni mjadala tu tujadiliane kwa nia ya kufahamishana matatizo katika jamii yetu ambayo kwa hakika tunayo ili ipatikane njia ya kuyaondoa.
Matusi yatatuvurugia mjadala wetu.
Nilikufahamisha kuwa "munafiqun," si sawa "grammatically."
Neno lenyewe pia unalitumia sivyo.
Tafuta mtu akuelekeze.
In fact siogopi kusoma ila nachoweza kusema duniani kote ktk history kuna mambo mengi. Kuna history za zidumu fikra za mwenyekiti na history za upande wa pili ambazo ndio zenye ukweli.Antinio...vipi utajua usiyoyajua ikiwa husomi tafiti? Sijipigii zumari lakini hapa JF nimewafunza wasomaji wangu mengi anbayo walikuwa hawayajui katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Mimi ndiyo niliyoweka hadharani Nyaraka za Sykes zilizoeleza historia nzima ya Waafrika katika jitihada za kujikomboa.
Mimi ndiyo niliyowaleta wazalendo waliokuwa bega kwa bega na Baba wa Taifa katika kuijenga TANU watu ambao historia iliwasahau kabisa.
Haya yote nimeweza kuyafanya na kuwaelimisha wasomaji wangu kupitia utafiti.
Nimeweza kupitia utafiti kushirikishwa na kazi zangu kuchapishwa na Oxford University Press Nairobi na New York na kazi hizi zimetoa mwanga mpya katika historia ya nchi yetu.
Sasa unapoogopa kusoma...
Antonio,In fact siogopi kusoma ila nachoweza kusema duniani kote ktk history kuna mambo mengi. Kuna history za zidumu fikra za mwenyekiti na history za upande wa pili ambazo ndio zenye ukweli.
Hili haliko tu tz ni dunia nzima so ktk hilo sioni hoja ya msingi sn muzee...
Km utanipatia mail yako nitakutumia vitu vingine uongeze ili uwe vzr zaidi lkn so far bado uko nusu nusu though you think you are on top....
Mtu...Hakuna mahali nimetumia hilo neno