Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

Poor mind,vip kuhusu level za kidunia maana hujawaza huko hao unawasema bado wanakimbiza kibiashara na unafikiri matajiri wa level ya kidunia wamekimbia umande kama unavyodhani,always naamin watu wa imani kama yako lazma utakua na poor thinking capacity+chuki na vurugu
 

Epitome of s.tu.pidity
 
Ukwel 100%
 
Vitisho viko wapi hapo, pitia comments za wrote waliotambua huyu ni mzee Angalia jinsi walivyomkosoa na angalia na wewe unavyomkosoa.
Tumia lugha ya staha huwezi kumuita huyu mzee, "we" kuwa na adabu.
 
Umeacha ya kupekuliwa na kuhojiwa umekuja ya Visa!

Kwa maelezo ya Mohamed Said, naamini sababu kubwa ya ''mahojiano marefu'' na ''kupekuliwa'' ni uthibitisho uliokuwepo ktk pasipoti yake kuwa na viza/muhuri/tiketi wa kuonesha aliingia nchini Iran. Madawa ya kulevya ilikuwa ni kisingizio cha kuweza kumpekua/kufanya mahojiano baada ya maofisa hao kutaka kujua safari yake Iran ilihusu nini. Na nchi mbalimbali hufanya jambo hilo la mahojiano marefu zaidi ya kawaida au upekuzi kutokana na safari zako au yako ulizofanya/uliyoifanya.

Pia jamaa zake Mohamed Said waliopo Nigeria, Marekani na Tehran, Iran n.k wanaweza kuwa ''marafiki'' wenye kupeleka taarifa ya mienendo yake kwa vyombo vya usalama vya nchi mbalimbali na kusababisha kuhojiwa na kupekuliwa kwa kutumia visingizio vyovyote vile.
 
Mtu anaekaa na kuanza kusifia DINI,huyo mtu ana matatizo makubwa sana...

Tangu lini kitu alichotunga mwanadamu huyu huyu kikawa kinaukamilifu?Mwanadamu huyu huyu mwenye hila,ghiliba,chuki,ujinga,upendeleo,nk eti atoe dini yenye hali zote za utakatifu na impartial kwa kila kitu multi-universe hii..

Mfano mdogo tu,ukristo unamfundisha chuki mtoto asie na hatia eti binadamu yeyote asie mkristo ni "mpagani au mshenzi" na uislamu unaingiza chuki kama hiyo kua asie muislamu ni "kafiri",hizi chuki kwakweli hazifai...dini ni za kufuta zote,either way,futilia mbali.
 
Vitisho viko wapi hapo, pitia comments za wrote waliotambua huyu ni mzee Angalia jinsi walivyomkosoa na angalia na wewe unavyomkosoa.
Tumia lugha ya staha huwezi kumuita huyu mzee, "we" kuwa na adabu.

Acha upu.mbavu mzee,wewe ndio unamjua na ndie unaempenda,"we" ni mtu na sio tusi...wewe ndio unajua mohamed ni mzee,na mtu kua mzee au kijana au kikongwe sio sifa ya kujibiwa..

Vitisho umetoa,kwa kumtishia mtu kwa wasifu wa mtu,aogopeke...ridiculous.Imetolewa hoja,ikajibiwa kwa hoja...wewe mwenye mapenzi mubashara nae your feelings got hurt,hatuwezi kukusaidia chochote.

Umekasirika mtu kuitwa "we" ambapo sio tusi to begin with,basi andamana....watu mna chuki kupita maelezo...brother this is a simple online discussion,u do not knw anyone,yanini panic?Ingekua tunadiscuss live ungechinja mtu,machuki ya nini?
 
Unaaandika weeee, alafu unakimbilia kwenye udini, huu ni ukosefu tu wa hoja na kulazimisha sympath kwa njia unayofikiri ni rahisi kwako...ungekuwa ni mlemavu ungesingizia ulemavu, ungekuwa na upara ungeegemea hukohuko.

Wewe mwenyewe unasema maofisa wamekwambia wamepewa taarifa kuwa unasafirisha mihadarati, bila kujali ulifitiniwa tu ama la...wewe ulitaka hao Maofisa wakuachilie tu baada ya wewe kuwaambia kuwa hujihusishi na mihadarati? hivyo ndivyo ungefanya wewe kama ungekuwa ni Ofisa usalama hapo Uwanjani?

Unasema Mkristo anayetokea Vatican asingesumbuliwa (fikra potofu za udini zinakutafuna), hata kama ungekuwa Mkristo na unatokea Tehran, Pakistan, Brazil, Afganstan....unless kama 'umecheza' lakini lazima utaangaliwa kwa jicho la ziada...na hata kama ungekuwa Muisilam na unatokea Vatican njia yako isingekumbwa na mshikemshike wote huo.

Wewe kama mtoa tarifa huwezi kusema yoote, zaidi ya kutimiza malengo yako binafsi ya kutaka tuamini kwamba walikuonea...wenye akili zetu tutaendelea kujiuliza 'kwa nini wewe na wapo maelfu ya Wasafiri wanapita hapo?'

Nimeshasafiri mara kadhaa na sijakutana na hiyo adha....lazima sababu ipo...ila wewe tupange tu hapa na ngonjera zako, tutasoma tu.
 
Fyatu umeghadhibika.
 
Lebron umeghadhibika.
 
Bagamoyo nadhani kwa uchache tumefahamiana.
 
Pamoja na elimu uliyonayo,bado unaendeshwa na hisia za kuonnewa kwa kuwa wewe no mwislam.Hotuba yako ilijaa uchochezi na chuki dhidi ya ukristo.Halafu unakuja hapa kutafuta kuhurumiwa huku.
 
Pamoja na elimu uliyonayo,bado unaendeshwa na hisia za kuonnewa kwa kuwa wewe no mwislam.Hotuba yako ilijaa uchochezi na chuki dhidi ya ukristo.Halafu unakuja hapa kutafuta kuhurumiwa huku.
Mugunga hapana sijaja hapa hapa nimeandika yaliyopita 2007 na mkasa huu uko kwenye blog yangu www.mohammedsaid.com toka 2008.

Nilipokwenda kwa maana ya "kuja" ni Chuo Kikuu Cha Ibadan na sikwenda kutafuta kuhurumiwa.

Nilikwenda kuwaeleza Wamarekani kile wasichokijua kuhusu Uislam na ugaidi Tanzania na haikuwa kwa nia ya kutafuta huruma.
 
Nlichogundua una matatizo kichwani mwako! Keep it up!!!
 
pole sana mkuu, lakini hayo mengine ni taratibu tu za usalama usipate shida kufikiri vinginevyo kwa kuwa ulitoka salama katika hiyo kadhia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…