Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo inakuaje nchi kama Angola ambayo ina mafuta mengi tu, haina vurugu ila za Kiislam ni vurugu kila uchwao?
Umeshawahi kusikia Kisa cha kuvamiwa Iraq? Uongo uliotumika ili kumuondoa Sadam Hussein, walisema Sadam Hussei anamiliki silaha za maangamizi..

Angola wamepiganishwa sana wakati wa Savimbi
 
Siwezi kuamini upuuzi,mwezi haujawahi kupasuka vipande viwili tena kupasuliwa na mwarabu anayeitwa mohamedi
Upuuzi eti vimondo vimtishe shetani kuingia mbinguni
Hadithi zilizoanfikwa na maprimitive wa karne ya sita
 
Siwezi kuamini upuuzi,mwezi haujawahi kupasuka vipande viwili tena kupasuliwa na mwarabu anayeitwa mohamedi
Upuuzi eti vimondo vimtishe shetani kuingia mbinguni
Hadithi zilizoanfikwa na maprimitive wa karne ya sita
Wewe si wa mwanzo kutoamini na hutakuwa wa mwisho kutoamini, ipo siku utakuja kufahamu, Allah anasema Quran 41:53:-
53. Tutawaonyesha Ishara zetu katika upeo wa mbali na katika nafsi zao wenyewe mpaka iwabainikie kwamba haya ni kweli. Je! Haikutoshi kwamba Mola wako Mlezi kuwa Yeye ni Shahidi wa kila kitu?
 
Naona leo huyu kigagula kabakwa

Anapigwa mishedede ya mbavu ile mbaya

Sijui anazisoma hizi coment
 
Md Basi sawa
 
Natamani ile sheria yenu ya ..mwanamke wa kiislamu ukifumaniwa upigwe mawe mpaka kufa na ianze na wewe....
 
Hata ccm ni chama chenye asili ya islam...
 
Mweleze[MwePascal Mayalla, post: 31728846, member: 17813"]
Mkuu Dada yangu, nikuzimiaye, Faiza Foxy, kwanza asante kutuletea hii clip ya Redio Kheri, yenye maurongo wa Mzee wetu na member mwenzetu Maalim Mohamned Said, maana bila wewe kuileta humu, akina sisi, tusingejua jinsi mnavyodanganyana humo na kufanya uchochezi kwenye hizo redio zenu za dini!.
Kwa kuanzia tuu, kuanzia headline ya bandiko hili ni urongo, Tanu hakijawahi kuwa ni chama cha Kiislamu, kuanzia kuasisiwa kwake, hakuna Muislamu yoyote aliwahi kuasisi chama chochote cha kupigania uhuru wa Tanganyika, Tanu ilitokana na TAA, ambayo ilitokana na AA. Muasisi wa AA ni Mkristo Cecil Kalaghe, muasisi wa TAA ni Mkristo Dr. Kyaruzi, na muasisi wa Tanu ni Mkristo Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tangu AA, TAA hadi TANU, hakuna wakati wowote vyama hivi viliwahi kuwa vya dini fulani, ila kitu ambacho ni kweli, Tanu ilimuwa na members wengi Waislamu kuliko Wakristu, ila nguvu ya chama chochote ni logistical support, mfadhili mkuu wa Tanu ni Mkristo tajiri Mzee John Rupia, na sio wale masikini wa Gerezani japo pia tusiudharau mchango wao wa senti 5 ya samaki, senti 10,senti 20 ya mbuni, thumuni ya sungura, na shilingi ya mwenge, enzi hizo, noti ni ya shilingi 5, 10,20, 50 na noti kubwa ilikuwa Sh.100 ya masai.
Nimeisikiliza yote nikakuta ...Du...!, mnapigwa kamba kweli kweli na Mzee wetu huyu...
huu ni muendelezo wa ule ule urongo wa siku zote wa uchochezi wa udini, kusingizia kitu cha urongo marehemu kina karma kali sana!.
Japo namheshimu sana Maalim Mohammed Said, kitu pekee mimi ninachotofautiana nae ni matumizi ya takwimu za urongo ili kupush forward agenda zake ovu za uchochezi wa udini.
Kwenye mahojiano hayo, ameongopa kuwa 76% ya wabunge wa Bunge la JMT, ni Wakatoliki,18% madhehebu mengine ya Kikristu yaliyobakia, halafu Waislamu ni just 6%!. Huu ni urongo wa kiwango cha lami mchana kweupe. Mtu huhitaji kufanya sensa ya Wabunge Waislamu kujua huu ni urongo, bila hata sensa, Wabunge wote kutoka Zanzibar ni Waislamu ambao kabla hujawajumlisha wabunge Waislamu wa bara, hao Wanzibar tuu wenyewe wanafanya theluthi moja ya Wabunge wote!. Huu ni urongo!.
Hata kwa kutumia tuu just ordinary common sense, inakuja kweli akilini, 76% ya wabunge wakawa ni Wakatoliki?!,this doesnt make sense to me, this is non sense, just bull shit!.
(ashakum for this)
Ukiwa na asilimia 99% ya ukweli, na just 1% ya urongo, huo urongo una nullify ukweli wote wa hoja zake kuzifanya null and void ab initio.
P.
[/QUOTE]
Mweleze ajuza huyo We ajuza mbona video iko unavailable? Haya omba mods wairudshe haraka
 
Sijui kama unafahamu kuwa Uislam ndio ulitangulia kuwepo katika nchi hii, takriban zaidi ya miaka 500 iliyopita. Ukristo ulipokuja yapata 200 yrs tu iliyopita, Wamishionary wa kwanza kina David Livingstone na wenzake walipokelewa vizuri tu na wenyeji waliokuwa ni Waislam na wakaeneza dini yao kwa amani.
Laiti Waislam wangekuwa hivyo unavyojaribu kuwa depict, nadhani hao Wamishionary wa kwanza wangeshachinjiliwa mbali, na wewe sasa hivi sijui ungekuwa dini gani!
 
Mweleze ajuza huyo
We ajuza mbona video iko unavailable? Haya omba mods wairudshe haraka[/QUOTE]Inavyoelekea huna ulijualo ni bora ukae kimya upate kujifunza kuliko kubwabwaja uongo. Hata hiyo senti tano ya samaki na senti ishirini ya mbuni na thumni ya sungura nk ni sarafu zilizotoka kwa mara ya kwanza 1967, wakati Nyerere alipiamua kuacha kutumia sarafu za mkoloni, senti moja, tano na kumi zenye tundu, thumni, shillingi moja na noti zenye picha ya King George na nyingine Malkia wa Uingereza.
Hivyo basi wakati wa kupigania Uhuru hizo sarafu zako za samaki na mbuni hazikuwepo wala hazijabuniwa, hizo ni za kisasa sana, za nchi inayoitwa Tanzania ambayo pia haikuwepo wakati wa kupigania Uhuru wa Tanganyika.
Tafuta uongo mwingine.
 
Sawa tunakubali tanu ilikuwa chama cha kiislam, nini mantiki yako na inasaidiaje taifa? Ulitaka na CCM iendelee iwe chama cha kiislam au point yako ni nini? Mimi waislam ni ndugu zangu nashukuru kama waliona mbali wakaanzisha chama kilichokuja kutukomboa tena hawakuwa wachoyo waliwakaribisha wakristu waungane nao wadai Uhuru zaidi ya hapo umetawaliwa na fikra za kitumwa ambazo hazina maana Kwa sasa
 
Uislam hauwezi kutawala dunia kwanza walishajaribu na wakashindwa...walijaribu kuingia hispania wakafukuzwa...kama wangeachiwa europe yote ingekua ni muslim continent.

pia slogan ya ama uwe muislam ama ufe ndio slogan ya mwamedi na wajumbe wake na ndio alitumia hii ili kueneza dini hiyo na mpaka sasa ndo inayotumika.. inamaana ukiweka upanga chini waislamu duniani watabakia robo ya idadi yao waliyo sasa...maana wengi wanaishi kwa kuogopa upanga..

ili uislam uweze kuenea na kusurvive duniani cha kwanza kuliko vyote unachohitaji ni power dorminance...yani ukishapata tu nguvu...basi kazi imeisha...the rest will come automatically
"JOIN US OR DIE"

na ndio maana mashariki ya kati sasa hivi hapakaliki hapalaliki...kila taifa linataka kua na nguvu na ushawishi zaidi ya mwenzake
IRAN NA WASAUDI ( SHIA NA SUNI) Mambo ni fireee...

Ndio maana wanapambana usiku na mchana kumfuta myahudi kwa sababu yeye ndo kikwazo namba moja cha bendera yao kupepea ON TOP OF OTHER RELIGIONS duniani...

so walipo hawa jamaa jua kwamba fujo...silaha na mabomu vipo ubavuni mwao...always ni jihad. so kama baba wa taifa aliwapunguza nguvu na makali hapa nchini kwa hakika aliona mbali kuhusu amani ya nchi hii. TUMUENZI HAYATI BABA WA TAIFA KWA KUTUACHIA AMANI NA UPENDO.
 
Umejatahid kuandika maneno meng lkn hayana ukwl wala uhalisia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…