Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Status
Not open for further replies.
Asili Mia 95% ya Wazanzibari ni Waislamu, Zanzibar ni nchi ndogo sana,kuna dini ya Hindu,Wakristo na WACHAWI.. lakini cha kushangaza ni Wakristo tu ndio wanaolalamika kuhusu Mila na Tamaduni za Zanzibar

Wazanzibari ni lazima wajilinde ili ITIKADI, MILA na TAMADUNI zao zisipotee..
Ukisikiliza hotuba ya chuki za kidini aliyoitoa LUKUVI akiwa kanisani hapo ndio utawafahamu

Ni haki yao kwa Wazanzibari wafanye hivyo, DEMANDING za Wazanzibari ni moja katika mbinu za kulinda hatma ya nchi yao na vizazi vijavyo
 
Unatumia nguvu nyingi sana kuleta udini! Haya mambo ndio huyu huyu Nyerere aliweka juhudi kuyatokomeza kwa kuwa aliona mbali, kwa hiyo ungepata amani sana kama vitabu vya historia vingeandika kwamba Tanganyika ilikombelewa kwenye ukoloni na waislam?

Wewe kama mtanzania acha mawazo mgando. Hayo mambo ya udini kaa nayo wewe sisi tupo tayari kujenga taifa lisilotazama udini wala ukabila.
 

Sio Zanzibar tu (hiyo ya Zanzibar ni cha mtoto mtu aende Pakistan, Iran au Afghanistan akaone cha moto) nchi zote za Kiislamu sheria zao zipo hivyo. Hio hali eventually itaenea dunia nzima.

Kwa mujibu wa Vitabu vya Daniel na Ufunuo wa Yohana; Uislamu ndio itakuwa dini pekee itakayoruhusiwa kuwepo hapa duniani kabla ya ujio wa Bwana Yesu Kristo. Na wakati huo ukifika kutakuwa na option mbili tu: ama uwe Muislamu au UFE. (Kina Kiranga na atheists wenzako option yenu haitakuwepo kipindi hicho). Ndio maana hakuna Muislamu asiesema "uislamu unazidi kukua na ndio dini pekee itakayobaki". Sentensi hiyo sio ya kweli per se maana kutakuwa bado na watu watakaokubali kuchinjwa kuliko kuacha Uyahudi au Ukristo wao. Kabla ya (Wakristo na Wayahudi) wote kuisha Bwana wetu Yesu atarudi na kuanzisha Utawala wake usio na mwisho.

Alichokisema Bwana Yesu kwenye Marko 8: 36-37 ndio hasa maana yake. Chagua uislamu ili usife na utakuwa umepata ulimwengu lakini kwa gharama YA NAFSI YAKO.
Jiandae ndugu kiroho.
 
Mi nadhani kwa Elimu yake uliyotujuza kuwa nayo, analakufanya kuwasaidia waislam badala ya historia isiyo tija. Ikiwa ni kweli so what?

What happened ?

Au mwahitaji mrusishiwe Tanu (ccm) yenu? Ichukueni maana imetusababishia umasikini usio stahimilika , no vision no plans wao wanawaza kushinda uchaguzi na kugawana vyeo. Hakuna mikakati ya sayansi na teknolijia wala uchumi.

Take it
 
Hahaha...vita ya kumpinga nyerere na Ukristo imenza.

Utasikia mfumo Kristo huo.

Mara Waislam tumeonewa sana

Ni kilio mpaka kesho....!


Hahahaha....
Naona mada Umekuwa mzigo kwako. Unazidi kuniaminisha kuwa ni kweli alivyosema "hili hakuna mtu anaeweza kupinga".
 
MTU yoyote mwenye ujasili wa kusema maneno magumu, makavu dhidi ya jamii zingine iwe imani, kabila, ranging au itikadi yoyote in hatari sana. CCM inatakiwa kulitafakari hili. Leo Msiba anatamka maneno magumu dhidi ya watu, wote wako kimya huwezi on a MTU anahoji ispokuwa Member aliejitokeza na kumshugulikia kisheria, inafahamika sana CCM na jamaa zao wahanga was Msiba wanaogopa wanamuogopa anaye mkingia kifua au kumlinda Msiba huu ni unafiki was kiwango cha shetani na ndio maana wanapiga na kusifia lolote lenye kuumiza wapinzani hawajari kuwa hao no ndugu zao, jamaa zao watanzania wenzao, na waumini wenzao. Wamefika hatua ya kudhuru HAKI za wengine huku wakifunga mikono kumwabudu Mungu Mwenyezi. Kufuruuuuuuu!
 
"A people without the knowledge of their past history, origin and culture is like a tree without roots." - Marcus Garvey
 
Naona mada Umekuwa mzigo kwako. Unazidi kuniaminisha kuwa ni kweli alivyosema "hili hakuna mtu anaeweza kupinga".
Mbona sisi hapa tunapinga...

Karibu uwanjani ustaadhat
 
"A people without the knowledge of their past history, origin and culture is like a tree without roots." - Marcus Garvey
Should I?

That is totally misconception Mama Faiza, you should look at the sensual issue.

Hivi ok Tz nzima tukikubali hoja yako, itabadirishaje maisha ya Muslims?
 
Mohamed Said a.k.a Sydney Poiter [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi hata sio Mkristu ndugu
Na kama unasema eti makundi mengine yanaishi kwa amani na Waislam pengine hujui kinachoendelea kwenye hii Dunia

Unaifahamu Historia ya India na Pakistan, Wahindu vs Waislam? Au Wabuddha vs Waislam?
 
Siku zote huwa wao wanahubiri kujitenga, hata sudan hivyohvyo!
Ila cha kushangaza wakishajitenga, matatizo ndio yanazidi badala ya kupungua!
 

Mtatokwa povu sana, kama mlishiriki mbona wakoloni hawakuwaamini na kuwakabidhi nchi?
 
Ni kweli kabisa,na hata uhuru uliopata mwaka 1961 , ulikuwa ni uhuru wa "waislamu" na hakuna wakulipinga hili??? hawa wengine waende zao kuutafuta uhuru wao na Chama Chao???
 
Dada faiza, hapo kwa kuanzia huyo mzee mohamed said kasema waislamu walijipanga kuanzisha shule za awali, za sekondari pamoja na vyuo vikuu ila nyerere ndio aliwabania! Swali langu, kwa nini msianzishe sasa hayo mashule na vyuo vikuu????maana sasa ivi ndio rahisi sana kwa kuwa watu wana uelewa miundombinu ipo ya kutosha?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…