Mohamed Salah ni Mchezaji wa kuchungwa sana EPL

PSG wameingia chaka kwa Neimar, pesa yote iyo wangemchukua Salah jamaa anafit kote kote tu. Nawashauri Valverde/Messi wamsajili huyu mwarabu ni mtu hatari sana. Sio wa kijipaka mipoda na kuvaa viheleni kama neimar. Pharaoh ni jitu la kazi bwana halijaenda kuuza sura
 
Psg kama man u tu wote
Waliingia cha kike
Man u Kwa pogba na garasa
Tuoilowauzia Sanchez

Hao wote Shetan wao n mmoja
 
Kuna uwezekano mkubwa sana msimu ujao akatimkia BARCA au Real Madrid kama wataweza kupanda dau.

 
Kuna uwezekano mkubwa sana msimu ujao akatimkia BARCA au Real Madrid kama wataweza kupanda dau.
Hivi kwanini EPL inashindwa kumiliki wachezaji wazuri ?
 
Reactions: BAK

Huyo ndio MO SALAH.. Mkuu una maono makali sana!!!
 
Bro nakuaminia, unaona mbali sana, maana huyu Farao ametoa mchango mkubwa sana kwa Liverpool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…