Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Au we mkuu nambie nilipokosea
Sijaona ulichokosea mkuu. Kuwa na amani....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au we mkuu nambie nilipokosea
Hapo Liver atacheza na kina nani? Uyo Salah aliflop Chelsea,Epl sio ya wachezaji walaini.
Cuadrado anacheza vizuri Juve lakini na yeye aliflop Chelsea.
Uyo Salah atakuja kurukaruka tu na kukaa benchi kwasababu ya majeraha.
RomaView attachment VID-20171101-WA0075.mp4Kitu ambacho hujui ni kwamba Roma wanakikosi kizuri na balanced kuliko livapunga, kama upo tayari sema tuende mchezaji mmoja mmoja
Psg kama man u tu wotePSG wameingia chaka kwa Neimar, pesa yote iyo wangemchukua Salah jamaa anafit kote kote tu. Nawashauri Valverde/Messi wamsajili huyu mwarabu ni mtu hatari sana. Sio wa kijipaka mipoda na kuvaa viheleni kama neimar. Pharaoh ni jitu la kazi bwana halijaenda kuuza sura
Kwi! Kwi! Kwi!Asante kwa utabiri wako uliotukuka
Yule bwana yuko vizuri sana. Ni messi wa Africa wakuu.hata kiuchezaji
Winga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo waliokaukiwa makombe kwa kipindi kirefu kinachofiikia umri wa mtu mzima.
Ni faida kubwa sana kwa ligi ya uingereza kupata mchezaji wa aina hii , huyu si mchezaji wa kupaka rangi mpira ili apigwe picha , ni mchezaji mkali ambaye kosa moja linaweza kukugharimu magoli mawili .
Ni miongoni mwa wachezaji wakali wa dunia hii wasiofahamika sana .
Muda utaongea , bali naipongeza sana Liverpool kwa kuwa na jicho la 3 la kuweza kumuona mchezaji huyu.
Hivi kwanini EPL inashindwa kumiliki wachezaji wazuri ?Kuna uwezekano mkubwa sana msimu ujao akatimkia BARCA au Real Madrid kama wataweza kupanda dau.
Hivi kwanini EPL inashindwa kumiliki wachezaji wazuri ?
Winga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo waliokaukiwa makombe kwa kipindi kirefu kinachofiikia umri wa mtu mzima.
Ni faida kubwa sana kwa ligi ya uingereza kupata mchezaji wa aina hii , huyu si mchezaji wa kupaka rangi mpira ili apigwe picha , ni mchezaji mkali ambaye kosa moja linaweza kukugharimu magoli mawili .
Ni miongoni mwa wachezaji wakali wa dunia hii wasiofahamika sana .
Muda utaongea , bali naipongeza sana Liverpool kwa kuwa na jicho la 3 la kuweza kumuona mchezaji huyu.
Bro nakuaminia, unaona mbali sana, maana huyu Farao ametoa mchango mkubwa sana kwa LiverpoolWinga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo waliokaukiwa makombe kwa kipindi kirefu kinachofiikia umri wa mtu mzima.