Mohammed Dewji afanya kikao na viongozi wa Simba.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua.

Kikao kimeenda vizuri.

NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa wanachama,sijui yeye hausiki kwenye maamuzi ya Club ila lawama ndio anabeba yeye.
 
Attachments

  • FB_IMG_17131686143973814.jpg
    FB_IMG_17131686143973814.jpg
    259.6 KB · Views: 4
Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua.

Kikao kimeenda vizuri.

NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa wanachama,sijui yeye hausiki kwenye maamuzi ya Club ila lawama ndio anabeba yeye.
Mangungu ndiye aliyepiga hiyo picha.
 
Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua.

Kikao kimeenda vizuri.

NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa wanachama,sijui yeye hausiki kwenye maamuzi ya Club ila lawama ndio anabeba yeye.
yupo Dodoma vikao vya bajeti vinaendelea, nae analo jukumu muhimu na la kipekee sana kwenye kamati mahususi huko mjengoni. Moo mwenyewe analifahamu hilo 🐒
 
Tatizo na ugonjwa wa Simba ni huyo tapeli MO, aondoke yeye kwanza, aachie Simba aliyepora bure bure, wana Simba kokote mliko ingetakiwa kuandamana kumkataa huyo tapeli aliyeiba shares za Simba bure bure bila kulipa hata senti moja kwa kuhonga honga viongozi wa Simba wenye njaa
 
Mna mwekezaji mwingine? Au unatamka tu aondoke halaf mtembeze bakuli?
 
MO ni mwekezaji? Hivi nyie watu mko dunia ipi, MO kaipora Simba bure hata kulipa senti hajalipa na kachukua 51% ya shares, tshs 20 bil hajalipa hata senti moja, huyo ni tapeli mkubwa sio investor.
Unadai ameipora? Si mwekezaji? Bla blah blah
Una evidence zozote bro ? Maybe share udhibitishe madai yako
 
MO ndio ungetakiwa umuulize how he acquired his 51% shares from Simba? 51% shares za Simba alitakiwa kulipa Tshs 20 bil hadi leo hajatoa hata senti moja, evidences ungemuuliza MO atoe kudhibitisha kalipa Simba hizo fedha au usikute na wewe ndio hujui kitu naongea na person with no knowledge ya mambo, navyosema kapora hizo 51% shares za Simba sbb hajalipa hata senti katika zile tshs 20 bil kama fedha za kununua hizo shares, evidences ni yeye MO kutoa kalipa wapi? Sbb hajalipa? Narudia usikute naongea na watu wenye akili za Kibashite humu, wenzanko wanajua kapora hizo shares, hata senti katika zile tshs 20 bil za Simba hajalipa.
 
Back
Top Bottom