Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Nashangaa jamaa yanatupiga fix eti yuko Dodoma kwenye vikao vya bajeti!Alipigwa chini ubunge Kilwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa jamaa yanatupiga fix eti yuko Dodoma kwenye vikao vya bajeti!Alipigwa chini ubunge Kilwa.
Uko sahihi,tatizo la Simba ni Mo, huwezi ukasema unatoa hela halafu hufaitilii timu halafu unasema unapata hasara,hakuna mkulima anaweka vibarua asiende kukagua shamba. Mo haumii kwa sababu hatoi helaTatizo na ugonjwa wa Simba ni huyo tapeli MO, aondoke yeye kwanza, aachie Simba aliyepora bure bure, wana Simba kokote mliko ingetakiwa kuandamana kumkataa huyo tapeli aliyeiba shares za Simba bure bure bila kulipa hata senti moja kwa kuhonga honga viongozi wa Simba wenye njaa
Naaa bro nimekuuliza swali rahis? Naona bado una jaza maneno kibao. I know everything about uwekezaji, how shares works siitaji kufundishwa.MO ndio ungetakiwa umuulize how he acquired his 51% shares from Simba? 51% shares za Simba alitakiwa kulipa Tshs 20 bil hadi leo hajatoa hata senti moja, evidences ungemuuliza MO atoe kudhibitisha kalipa Simba hizo fedha au usikute na wewe ndio hujui kitu naongea na person with no knowledge ya mambo, navyosema kapora hizo 51% shares za Simba sbb hajalipa hata senti katika zile tshs 20 bil kama fedha za kununua hizo shares, evidences ni yeye MO kutoa kalipa wapi? Sbb hajalipa? Narudia usikute naongea na watu wenye akili za Kibashite humu, wenzanko wanajua kapora hizo shares, hata senti katika zile tshs 20 bil za Simba hajalipa.
Akishaondoka huyo, atakuja nani?Tatizo na ugonjwa wa Simba ni huyo tapeli MO, aondoke yeye kwanza, aachie Simba aliyepora bure bure, wana Simba kokote mliko ingetakiwa kuandamana kumkataa huyo tapeli aliyeiba shares za Simba bure bure bila kulipa hata senti moja kwa kuhonga honga viongozi wa Simba wenye njaa
NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa wanachama,sijui yeye hausiki kwenye maamuzi ya Club ila lawama ndio anabeba yeye.
We hujaenda?Hapo kiongozi wa simba ni mmoja tu.
Hakuna mjumbe hata mmoja wa Body ya wakurugenzi simba.
Kiongozi aliyepo hapo ni Salim Abdallah Muhene ( Try again).
Kanali kunde 😂😂Akishaondoka huyo, atakuja nani?
umemjuahuyu jamaa tapeli yaani mpaka ifike mechi za darby anajifanya kiherere simba hapa mmepigwa
Kitendo cha kumfanya Mangungu Mwenyekiti wa wanachama kuwa mpiga picha wa kikao chako sijakipenda.Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua.
Kikao kimeenda vizuri.
NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa wanachama,sijui yeye hausiki kwenye maamuzi ya Club ila lawama ndio anabeba yeye.
HahahahaMangungu ndiye aliyepiga hiyo picha.
Mwamedi kanjibai janja2 sana hapo kaweka bendera ya MO ya Mikia FC hola.Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua.
Kikao kimeenda vizuri.
NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa wanachama,sijui yeye hausiki kwenye maamuzi ya Club ila lawama ndio anabeba yeye.
🤣🤣Mangungu ndiye aliyepiga hiyo picha.
1: 🐸Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Masandakolozidad SC.
23. 5imba SC.View attachment 2964359
Badala yeye ndio a prove analazimisha anayemtuhumu a prove.Naaa bro nimekuuliza swali rahis? Naona bado una jaza maneno kibao. I know everything about uwekezaji, how shares works siitaji kufundishwa.
How Mo did acquire 51% ya team, hilo jibu wanalo viongoz waliokuwepo before Mo take over. Is why nikauliza? Maana the way umeblay allegation na as if una supportive evidence inayo mfunga mo. Kumbe na ww huna?