Mohammed Dewji afanya kikao na viongozi wa Simba.

Uko sahihi,tatizo la Simba ni Mo, huwezi ukasema unatoa hela halafu hufaitilii timu halafu unasema unapata hasara,hakuna mkulima anaweka vibarua asiende kukagua shamba. Mo haumii kwa sababu hatoi hela
 
Masuala ya Simba yanapojadiliwa kwa uchungu na migongowazi.
Nyie si mna timu yenu hiyo obsession na Simba ni sharwala au ugonjwa mwingine?
 
Naaa bro nimekuuliza swali rahis? Naona bado una jaza maneno kibao. I know everything about uwekezaji, how shares works siitaji kufundishwa.

How Mo did acquire 51% ya team, hilo jibu wanalo viongoz waliokuwepo before Mo take over. Is why nikauliza? Maana the way umeblay allegation na as if una supportive evidence inayo mfunga mo. Kumbe na ww huna?
 
Unahangaika sana dogo kwa kuandamwa na roho ya umaskini kiasi kwamba unashindwa kusimamia mambo yenye tija kwa uzao wako.


Nikupe siri sasa....
Kuna fursa kubwa sana ya kuondokana na umaskini hapo April 20, kuna fursa ya kupiga hela ndefu ya khanjbay, tumia fursa hiyo kwa kubet kuwa amphibian atamoiga kono la nyani mnyama.

Hakika ndivyo itakavyo kuwa, weka million na utapata milioni 50 kisha utaagana na umaskini na hautatamani kumsimanga MO ama Mangungu kwa sababu hela unayo.

Changamkia fursa dogo.
NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa wanachama,sijui yeye hausiki kwenye maamuzi ya Club ila lawama ndio anabeba yeye.
 
Kitendo cha kumfanya Mangungu Mwenyekiti wa wanachama kuwa mpiga picha wa kikao chako sijakipenda.
 
Mwamedi kanjibai janja2 sana hapo kaweka bendera ya MO ya Mikia FC hola.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
 
1: 🐸
2: πŸ’
3: uto
4: majini
5: bakuli fc
6: gongowazi
7: wa madimbwini
8: yanga
9: endeleeni
 
Badala yeye ndio a prove analazimisha anayemtuhumu a prove.
Sawa mpo mahakamani unasema 'hakimu fulani tapeli anadai kuwa anakula kwa bili hotelini na bili analipa mwisho wa mwezi kumbe halipi',aya toa ushahidi kuwa jamaa halipi bill ya mwisho wa mwezi.
Unaanza ku shout mwambie yeye athibitishe kama analipa bill ya mwezi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒAiseeee wacha nicheke.
Unaeshutumu ndio utoe ushahidi.
Ama ni uongo mkuu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…