Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Mohammed Dewji a.k.a Mo, amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kiliamua kwamba asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Club ya Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi.
Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya Simba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi watakaoendelea kuwepo.
Kwa sasa Kaimu Mwenyekiti ni Said Abdallah Muhene a.k.a Try Again ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba.