CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Hawajui tofauti ya mwenyekiti wa bodi na mwenyekiti wa wanachama , hawajui kama kule kuna Mangungu akiwakilisha wanachama siku ikifika kwao wakaona msola yupo na mwenyekiti wa bodi ndipo wataelewa halafu watajisifu kwamba ni utaratibu mzuri sana haujawahi kutokeaLuc Eymael ni mtu mwerevu aliyeona mbali sana