cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Uko sahihi mwanaume anasusa Susa nini, mara mabifu ya wachezaji anawauza Hadi kuathiri team, Bora aondoke tu ikiwezekana Simba ilikuwepo kabla yake na itaendelea kuwepo aanzishe tu team yake mpya bana, mambo yake ya ajabu yanaathiri teamSio kwamba anawekeza simba bila kuwa na maslahi. Kabla ya MO simba ilikuwepo na baada yake itakuepo.
Hakuna anayemchukia hata kwa anayoyafanya ila na yeye atambue simba ina mashabiki na wapenzi ambao hawezi kuwakwepa...