Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

MO ameipandisha timu ya Simba thamani kwa fedha nje ya mkataba na kaweka mzigo 20 b (kamanikweli) akaweka na CEO wake. Akiendelea kukaa pale alipo kimkakati Inabidi aendelee kumwaga mihela maana timu iki kwama wote Wana mkimbilia yeye.
Anachofanya sasaivi kwakua amesha weka mtaji 20b( Kama ni kweli) ndio maana ana mshinikiza Barbara aingize fedha kwa kuingia mikataba mbalimmbali ata ya ki pimbi ili kimahesabu Klabu ionekane imeingiza faida na shereholders waanze kugawana faida(gawio) kwa muda walio kubaliana.
Maana yake fedha zote zilizo ingia baada ya 20b kuwekwa, mfano mauzo ya wachezaji nisehemu ya faida, mikataba yote inayo ingiwa Sasa atapata gawio. Ali ugomea mkataba wa Azam kwakua kimsingi asinge faidika kwakua mzigo 20b ambao ni sehemu ya mtaji alikua ajauweka.
Sasa naamini kwakua amesha jitoa Ila amemwacha mwakilishi bwana Try again ule mkataba wa Azam, Simba wata u sign na faida itakua ya Pande zote yaani Klabu na mwekezaji. MO ni mwelevu kuliko mbumbumbu wengi.
Kwa Sasa itakua ngumu kwa watendaji wa Simba kumfuata MO kumwomba asaidie fedha za safari, bonasi na nyinginezo alizokua akizitoa MO nje ya mkataba.
Itabidi Simba wajifunze kuishi kwa budget yao waliyo ipanga mwanzoni mwa msimu. Pesa za Bure zinakwenda kukata.
Hizo ni hisia zako tu ,iwe za kweli au uwongo hamna uthibitisho wa hayo unayozungumza
 
simba imepigwa na moo kisomi,kajitoa kijanja kawaacha simba na mikataba ambayo simba hawatamfuatilia moo atakama kawapiga,maana mikataba ipo
 
Naona humu watu wanajibu kikejeli eti km akiondoka aondoke tu.
Hususan wanawake,wanawake wanaongeaga tu kwa hisia zao za kike aiseeeh.
Mnashindwa ng'amua kwamba katika historia simba haikuwahi kufanya vizuri ukiondoa misimu ambayo Mo dewji amewekeza simba.
Asa aondoke huyo tuone km mtatambaa km mtambavyo.
moo kaondoka ili kuwafundisha bila yeye simba haisimami
 
Tuumie vipi? Sasa hatuumii?
Kwani alikuwako tangu kuumbwa kwa simba??
Shida ya mwanamke anafikiria kutumia hisia zitokazo moyoni badala ya akili itokayo bongoni!!
Je simba mliwahi kupata mafanikio makubwa kabla kama mliyoyapata kipindi mo dewji amewekeza!?
Ukiweza kujibu hili swali utaelewa nn namaanisha.
 
Utachekwa hata na utopolo wenzako, kwa hiyo humjui wala hujui kwa nini alipewa hiyo nick name? nina hakika hujui hata uwanjani kuna wachezaji wangapi wanacheza, yaani full hoyahoya
sasa story zake za nini hazinisaidii chochote maana sio baba wa taifa alafu nyie simba unajua vinzuri uwanjani kunawachezaji wangapi wawale watoto uliowasajili baada ya kuwauza waume wenu
 
Back
Top Bottom