Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 274
- 254
Wewe si yanga unafurahi simba kufanya vibaya simba tunaitaji mwekezajiUtopolo si Yanga jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si yanga unafurahi simba kufanya vibaya simba tunaitaji mwekezajiUtopolo si Yanga jamani
yani ni hivi anzeni kupanga foleni kwenda kumpigia magoti. ikiwezekana mpangiane na zamu za kumfulia na kumdekia ili awaonee huruma [emoji23]Kwahyo anataka abembelezwe?
Asuse tu asitichoshe na yeye bana
Hizo ni hisia zako tu ,iwe za kweli au uwongo hamna uthibitisho wa hayo unayozungumzaMO ameipandisha timu ya Simba thamani kwa fedha nje ya mkataba na kaweka mzigo 20 b (kamanikweli) akaweka na CEO wake. Akiendelea kukaa pale alipo kimkakati Inabidi aendelee kumwaga mihela maana timu iki kwama wote Wana mkimbilia yeye.
Anachofanya sasaivi kwakua amesha weka mtaji 20b( Kama ni kweli) ndio maana ana mshinikiza Barbara aingize fedha kwa kuingia mikataba mbalimmbali ata ya ki pimbi ili kimahesabu Klabu ionekane imeingiza faida na shereholders waanze kugawana faida(gawio) kwa muda walio kubaliana.
Maana yake fedha zote zilizo ingia baada ya 20b kuwekwa, mfano mauzo ya wachezaji nisehemu ya faida, mikataba yote inayo ingiwa Sasa atapata gawio. Ali ugomea mkataba wa Azam kwakua kimsingi asinge faidika kwakua mzigo 20b ambao ni sehemu ya mtaji alikua ajauweka.
Sasa naamini kwakua amesha jitoa Ila amemwacha mwakilishi bwana Try again ule mkataba wa Azam, Simba wata u sign na faida itakua ya Pande zote yaani Klabu na mwekezaji. MO ni mwelevu kuliko mbumbumbu wengi.
Kwa Sasa itakua ngumu kwa watendaji wa Simba kumfuata MO kumwomba asaidie fedha za safari, bonasi na nyinginezo alizokua akizitoa MO nje ya mkataba.
Itabidi Simba wajifunze kuishi kwa budget yao waliyo ipanga mwanzoni mwa msimu. Pesa za Bure zinakwenda kukata.
,[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji23][emoji23][emoji23] that's life unapenda, usipopendwa
simba imepigwa na moo kisomi,kajitoa kijanja kawaacha simba na mikataba ambayo simba hawatamfuatilia moo atakama kawapiga,maana mikataba ipoMO ameipandisha timu ya Simba thamani kwa fedha nje ya mkataba na kaweka mzigo 20 b (kamanikweli) akaweka na CEO wake. Akiendelea kukaa pale alipo kimkakati Inabidi aendelee kumwaga mihela maana timu iki kwama wote Wana mkimbilia yeye.
Anachofanya sasaivi kwakua amesha weka mtaji 20b( Kama ni kweli) ndio maana ana mshinikiza Barbara aingize fedha kwa kuingia mikataba mbalimmbali ata ya ki pimbi ili kimahesabu Klabu ionekane imeingiza faida na shereholders waanze kugawana faida(gawio) kwa muda walio kubaliana.
Maana yake fedha zote zilizo ingia baada ya 20b kuwekwa, mfano mauzo ya wachezaji nisehemu ya faida, mikataba yote inayo ingiwa Sasa atapata gawio. Ali ugomea mkataba wa Azam kwakua kimsingi asinge faidika kwakua mzigo 20b ambao ni sehemu ya mtaji alikua ajauweka.
Sasa naamini kwakua amesha jitoa Ila amemwacha mwakilishi bwana Try again ule mkataba wa Azam, Simba wata u sign na faida itakua ya Pande zote yaani Klabu na mwekezaji. MO ni mwelevu kuliko mbumbumbu wengi.
Kwa Sasa itakua ngumu kwa watendaji wa Simba kumfuata MO kumwomba asaidie fedha za safari, bonasi na nyinginezo alizokua akizitoa MO nje ya mkataba.
Itabidi Simba wajifunze kuishi kwa budget yao waliyo ipanga mwanzoni mwa msimu. Pesa za Bure zinakwenda kukata.
moo kaondoka ili kuwafundisha bila yeye simba haisimamiNaona humu watu wanajibu kikejeli eti km akiondoka aondoke tu.
Hususan wanawake,wanawake wanaongeaga tu kwa hisia zao za kike aiseeeh.
Mnashindwa ng'amua kwamba katika historia simba haikuwahi kufanya vizuri ukiondoa misimu ambayo Mo dewji amewekeza simba.
Asa aondoke huyo tuone km mtatambaa km mtambavyo.
zile zama za yanga za bakuli zinarudi kwa simba,Ninyi simba muna hela gani za kumfanya Dewji apaparike?
Au umeongea kinyume!?
Huyo muwekezaji mkubwa na akisepa mtaumia nyie wala sio yeye.
tunafurhi simba ikifa kabisa maana ni timu ya mambumbuWewe si yanga unafurahi simba kufanya vibaya simba tunaitaji mwekezaji
Ninyi simba muna hela gani za kumfanya Dewji apaparike?
Au umeongea kinyume!?
Huyo muwekezaji mkubwa na akisepa mtaumia nyie wala sio yeye.
sasa unalia nini vumilia unywe dawa taratibuTuumie vipi? Sasa hatuumii?
Kwani alikuwako tangu kuumbwa kwa simba??
jamaa mwenyewe anaitwa try again kwa hiyo anaenda kujifunza simbaNi mamuz yake acha ajiuzuru tuna imani na try again
Utachekwa hata na utopolo wenzako, kwa hiyo humjui wala hujui kwa nini alipewa hiyo nick name? nina hakika hujui hata uwanjani kuna wachezaji wangapi wanacheza, yaani full hoyahoyajamaa mwenyewe anaitwa try again kwa hiyo anaenda kujifunza simba
Bado mchanga sana kwenye ulingo wa soka ndio maan try again humjuijamaa mwenyewe anaitwa try again kwa hiyo anaenda kujifunza simba
Shida ya mwanamke anafikiria kutumia hisia zitokazo moyoni badala ya akili itokayo bongoni!!Tuumie vipi? Sasa hatuumii?
Kwani alikuwako tangu kuumbwa kwa simba??
sasa story zake za nini hazinisaidii chochote maana sio baba wa taifa alafu nyie simba unajua vinzuri uwanjani kunawachezaji wangapi wawale watoto uliowasajili baada ya kuwauza waume wenuUtachekwa hata na utopolo wenzako, kwa hiyo humjui wala hujui kwa nini alipewa hiyo nick name? nina hakika hujui hata uwanjani kuna wachezaji wangapi wanacheza, yaani full hoyahoya
Bado mchanga sana kwenye ulingo wa soka ndio maan try again humjui
huyo try again ni kama mikia tuBado mchanga sana kwenye ulingo wa soka ndio maan try again humjui
Kacheze unakochezaga chura wewehuyo try again ni kama mikia tu
tulia upewe dawa maana bwana wenu kawakimbia leoKacheze unakochezaga chura wewe