permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kayaleta Mwamedkawaida yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kayaleta Mwamedkawaida yao
Tena za kike kikeHuyu Muhindi ana mbwembwe
Hahahahaa nimecheka sanaaaa
ndo tayari kashajiuzulu bado huyo demu wenuajiuzulu kwa lipi hasa? kwa kutoa draw mechi ya kwanza ya ligi au kwa kungwa na yanga ngao ya jamii. yanga ambayo round ya awali ya caf champs imetolewa.
Hela mwanaharamu anawageuza geuza anavyotakaMO dewji anapenda sana yeye kuwa centre ya kila kitu pale simba na chakushangaza zaidi yeye ana asilimia ndogo za Umiliki ila kila maamuzi ya timu yanatoka kwake tofauti na wanachama wenye hisa nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23]sifanyagi huo uchafu wa mama j aiseeJamaa kakupendelea. Mimi nimeona ume sound kama mama J akiwa kashika lol pop
jamaa kampenda mwingine naye mwingine ana mwingine,[emoji23][emoji23][emoji23]sifanyagi huo uchafu wa mama j aisee
Kwahyo anataka abembelezwe?Ebu acha umbumbumbu, MO yeye ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba. Klabu ya Simba mtendaji wake mkuu ni Barbara yeye anafanya Mambo yote kwa uhuru, mshauri mkuu wa MO na Barbara ni Magori.
Leo hii baada ya miaka minne MO anasema anasafari nyingi za kibiashara kwaiyo Try again ata mrithi. Ivi kwa mtu anayefikiri sawasawa si anajua kabisa MO ame bwaga manyanga!!(amejitoa) Kwani miaka yote iyo safari si alikua nazo !! kwanini MO asiendelee na Safarizake za kibiashara uku akiendelea kua mwenyekiti wa bodi na Kama hatokuwepo kwenye kikao Try again amwakilishe?
Au kwanini ikitokea siku ya kikao na yeye ikatokea Yuko mbali kwasababu yoyote Ile kwanini wasitumie video conference?
Kwa ujumla MO amesha Susa, Sasa tafuteni watu wa kumbembeleza. Mtumeni Amos Makala maana Makonda hayupo. Ivi Duniani Kuna wafanya biashara wangapi ambao wapo katika bodi mbali mbali Tena katika Taasisi ambazo wao ni wenyeviti wa bodi waliamua kujiuzuru kwasababu ya safari?
Alifanya Uchafu Gani?[emoji23][emoji23][emoji23]sifanyagi huo uchafu wa mama j aisee
Naona humu watu wanajibu kikejeli eti km akiondoka aondoke tu.MOHAMMED DEWJ ABWAGA MANYANGA SIMBA SC
-
Mohammed Dewji amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kuwa asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi
-
Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya SImba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi watakaoendelea kuwepo
-
Kwa sasa Kaimu Mwenyekiti ni Said Abdallah Muhene A.K.A Try Again ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba
Amezingua huyo manara alivomchamba kuhusu kupenda ku trend alikuwa sahihiIla boss Wang huyu nae anapenda ku trend Hiv kwa situations club inavopitia alafu anakuja kusepa upuuz huu inawezakana n kweli ameona ametingwa na majukumu yake pia ishuu ya FCC kwa kuondoa tension kwa nn asinge step kimya kimya tu
tatizo mtoy anapenda kusifiwaKwahyo anataka abembelezwe?
Asuse tu asitichoshe na yeye bana
Utopolo si Yanga jamaniwe utopolo tulia
Ninyi simba muna hela gani za kumfanya Dewji apaparike?Thubutuu Atoke aache aache pesa😅😅😅😅
Keshaandaa mazingira na sasa kaacha watu wake huyu Moo
View attachment 1956962
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
Kila lenye mwanzo Lina mwisho wake kikubwa ni kuweka misingi ya uendelevuMOHAMMED DEWJ ABWAGA MANYANGA SIMBA SC
-
Mohammed Dewji amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kuwa asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi
-
Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya SImba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi watakaoendelea kuwepo
-
Kwa sasa Kaimu Mwenyekiti ni Said Abdallah Muhene A.K.A Try Again ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba
MO ameipandisha timu ya Simba thamani kwa fedha nje ya mkataba na kaweka mzigo 20 b (kamanikweli) akaweka na CEO wake. Akiendelea kukaa pale alipo kimkakati Inabidi aendelee kumwaga mihela maana timu iki kwama wote Wana mkimbilia yeye.Mo amebwaga manyanga huku kaweka hela zake?
[emoji23][emoji23][emoji23] that's life unapenda, usipopendwajamaa kampenda mwingine naye mwingine ana mwingine,
[emoji23][emoji23][emoji23] that's life unapenda, usipopendwajamaa kampenda mwingine naye mwingine ana mwingine,
Njoo tujaribu, hakika utatamani tuendelee hadi mwakani[emoji23][emoji23][emoji23]sifanyagi huo uchafu wa mama j aisee