Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

A
Utachekwa hata na utopolo wenzako, kwa hiyo humjui wala hujui kwa nini alipewa hiyo nick name? nina hakika hujui hata uwanjani kuna wachezaji wangapi wanacheza, yaani full hoyahoya
mkuu acha na uyo chura lia lia amejaa matope kichwani mpira hajui anadandia mada tu
 
wewe unayejua mpira tumekuchapa kwa mkapa na bado mtakimbiza mabwana zenu mikia fc akili hamna kazi kudanganywa kama vident
Tatizo lako umezaa kabla ya siku zako kwa ile mimba ya kigoma ndio maana unahangaika sana kwangu utasanda mwenyewe kibwengo weew
 
Sio kwamba anawekeza simba bila kuwa na maslahi. Kabla ya MO simba ilikuwepo na baada yake itakuepo.

Hakuna anayemchukia hata kwa anayoyafanya ila na yeye atambue simba ina mashabiki na wapenzi ambao hawezi kuwakwepa.

Kama hataki maneno aanzishe team mpya kabisaaaaa iwe mali yake binafsi

Maana kama anakereka atashindwa kuistawisha team na zaidi ataididimiza.... Angondoka kabisa ili wenye nia waingie na kufanya kazi na Simba
Hapo mmenena afanye tu kama mwenzie mzee bakhresa yuko na azam yake saaafiii kabisa
 
Shida ya mwanamke anafikiria kutumia hisia zitokazo moyoni badala ya akili itokayo bongoni!!
Je simba mliwahi kupata mafanikio makubwa kabla kama mliyoyapata kipindi mo dewji amewekeza!?
Ukiweza kujibu hili swali utaelewa nn namaanisha.

Wewe acha kuumiaaaa. Mimi sijajadili maslahi nimejadili utaratibu

Uliona wapi mwenye 49% ya shares anafanya maamuzi kwa 51%

Jiongezage buana😂😂😂
 
Shida ya mwanamke anafikiria kutumia hisia zitokazo moyoni badala ya akili itokayo bongoni!!
Je simba mliwahi kupata mafanikio makubwa kabla kama mliyoyapata kipindi mo dewji amewekeza!?
Ukiweza kujibu hili swali utaelewa nn namaanisha.
Walipoenda robo fainali Mara ya kwanza Mo alikwepo?
 
Ebu acha umbumbumbu, MO yeye ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba. Klabu ya Simba mtendaji wake mkuu ni Barbara yeye anafanya Mambo yote kwa uhuru, mshauri mkuu wa MO na Barbara ni Magori.
Leo hii baada ya miaka minne MO anasema anasafari nyingi za kibiashara kwaiyo Try again ata mrithi. Ivi kwa mtu anayefikiri sawasawa si anajua kabisa MO ame bwaga manyanga!!(amejitoa) Kwani miaka yote iyo safari si alikua nazo !! kwanini MO asiendelee na Safarizake za kibiashara uku akiendelea kua mwenyekiti wa bodi na Kama hatokuwepo kwenye kikao Try again amwakilishe?
Au kwanini ikitokea siku ya kikao na yeye ikatokea Yuko mbali kwasababu yoyote Ile kwanini wasitumie video conference?

Kwa ujumla MO amesha Susa, Sasa tafuteni watu wa kumbembeleza. Mtumeni Amos Makala maana Makonda hayupo. Ivi Duniani Kuna wafanya biashara wangapi ambao wapo katika bodi mbali mbali Tena katika Taasisi ambazo wao ni wenyeviti wa bodi waliamua kujiuzuru kwasababu ya safari?
Coment zote nilikuwa nasoma sielewi Ila wewe nimekuelewa tu.
Asante
 
Simba imetambulika sana kipindi kipi kat ya msimu ule na huu!?
Simba inajulikana tangu zamani hata enzi za kuwapiga Yanga 6-0 na 5-0 labda we mtoto wa 2000
 
Back
Top Bottom