Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwa kiswahili sip CHEKI ni HUNDICheki kwa kiingereza haiandikwi check inaandikwa cheque
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mara nyingi umekuwa ukiaibika kwa nyuzi bin nyuzi unazotuletea hapa ila kwa uzi huu kiboko!Hivi karibuni tajiri Mohammed Dewji alipost kupitia tittwer yake kuonesha cheki ya Tshs Billion 20 kuikabidhi klabu ya Simba ikiwa ni malipo ya ununuzi wa hisa za Klabu hiyo kongwe nchini. Ikumbukwe cheki hiyo imekuja baada ya watani wa jadi wa Simba, klabu ya Yanga kuingia mkataba mnono na kituo cha AZAM.
Cheki hiyo inaonesha kasoro zifuatazo.
1.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya mlipaji
2.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya Klabu ya Simba
3.
Kwenye eneo la mpokeaji hakuna saini kuthibitisha kupokea kitita hiko. Lakini upande wa MO kuna saini
Nimeweka picha ya cheki hiyo ili Thinkers wa JF muweze kuzoom wenyewe na kuona hizo dosari.
Soka letu linaweza kufika mbali sana iwapo wajanja wajanja wakabainishwa na kuwekwa pembeni. Tunahitaji mabadiliko na mipango endelevu kwa ajili ya soka letu...View attachment 1879675 Dewji akikabidhi cheki
View attachment 1879666
Wafuasi wa MoNadhani umejifunza kitu flani.
Yaani ndio ulichojifunza? Duh, we zaidi!Wafuasi wa Mo
Wafuasi wa GSMWafuasi wa Mo
1. Hakuna jina la benki wala akaunti ya mlipaji
2. Hakuna jina la benki wala akaunti ya Klabu ya Simba
3. Kwenye eneo la mpokeaji hakuna saini kuthibitisha kupokea kitita hiko. Lakini upande wa MO kuna saini
Dewji akikabidhi cheki
View attachment 1879675 Dewji akikabidhi cheki
Yaani wajinga ndo waliwao nakwambiaDaah nyuz zingine ni aibu kwakweli, ningekuwa mm ningebadili ID