SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
HayakuhusuSasa yeye anavyolialia au kujitapa kuwa anatoa hela zake kuisaidia Simba inakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HayakuhusuSasa yeye anavyolialia au kujitapa kuwa anatoa hela zake kuisaidia Simba inakuwaje?
Ilipaswa iwe kama hii ambayo ni sahihi siyo?Hivi karibuni tajiri Mohammed Dewji alipost kupitia tittwer yake kuonesha cheki ya Tshs Billion 20 kuikabidhi klabu ya Simba ikiwa ni malipo ya ununuzi wa hisa za Klabu hiyo kongwe nchini. Ikumbukwe cheki hiyo imekuja baada ya watani wa jadi wa Simba, klabu ya Yanga kuingia mkataba mnono na kituo cha AZAM.
Cheki hiyo inaonesha kasoro zifuatazo.
1.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya mlipaji
2.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya Klabu ya Simba
3.
Kwenye eneo la mpokeaji hakuna saini kuthibitisha kupokea kitita hiko. Lakini upande wa MO kuna saini
Nimeweka picha ya cheki hiyo ili Thinkers wa JF muweze kuzoom wenyewe na kuona hizo dosari.
Soka letu linaweza kufika mbali sana iwapo wajanja wajanja wakabainishwa na kuwekwa pembeni. Tunahitaji mabadiliko na mipango endelevu kwa ajili ya soka letu...View attachment 1879675 Dewji akikabidhi cheki
View attachment 1879666
Hawa nao ni bluffing nyingine
Malizia uzi wako basi utuonyeshe cheki inavyokuaHivi karibuni tajiri Mohammed Dewji alipost kupitia tittwer yake kuonesha cheki ya Tshs Billion 20 kuikabidhi klabu ya Simba ikiwa ni malipo ya ununuzi wa hisa za Klabu hiyo kongwe nchini. Ikumbukwe cheki hiyo imekuja baada ya watani wa jadi wa Simba, klabu ya Yanga kuingia mkataba mnono na kituo cha AZAM.
Cheki hiyo inaonesha kasoro zifuatazo.
1.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya mlipaji
2.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya Klabu ya Simba
3.
Kwenye eneo la mpokeaji hakuna saini kuthibitisha kupokea kitita hiko. Lakini upande wa MO kuna saini
Nimeweka picha ya cheki hiyo ili Thinkers wa JF muweze kuzoom wenyewe na kuona hizo dosari.
Soka letu linaweza kufika mbali sana iwapo wajanja wajanja wakabainishwa na kuwekwa pembeni. Tunahitaji mabadiliko na mipango endelevu kwa ajili ya soka letu...View attachment 1879675 Dewji akikabidhi cheki
View attachment 1879666
Kikubwa naww umeanzisha Uzi Tu au sio kamanda? Hebu tuletee mfano wa hundi ambayo inakuwa inaonesha inaenda benki gani tunasubiri hapa tukisindikiza na hizi zingine uje kuzitolea ufanunuzi vipi na hawa wamepigwa View attachment 1879711Hivi karibuni tajiri Mohammed Dewji alipost kupitia tittwer yake kuonesha cheki ya Tshs Billion 20 kuikabidhi klabu ya Simba ikiwa ni malipo ya ununuzi wa hisa za Klabu hiyo kongwe nchini. Ikumbukwe cheki hiyo imekuja baada ya watani wa jadi wa Simba, klabu ya Yanga kuingia mkataba mnono na kituo cha AZAM.
Cheki hiyo inaonesha kasoro zifuatazo.
1.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya mlipaji
2.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya Klabu ya Simba
3.
Kwenye eneo la mpokeaji hakuna saini kuthibitisha kupokea kitita hiko. Lakini upande wa MO kuna saini
Nimeweka picha ya cheki hiyo ili Thinkers wa JF muweze kuzoom wenyewe na kuona hizo dosari.
Soka letu linaweza kufika mbali sana iwapo wajanja wajanja wakabainishwa na kuwekwa pembeni. Tunahitaji mabadiliko na mipango endelevu kwa ajili ya soka letu...View attachment 1879675 Dewji akikabidhi cheki
View attachment 1879666
[emoji23][emoji23]Tanzania jinga sana... [emoji23]
Ita mimi miji.
Hivi karibuni tajiri Mohammed Dewji alipost kupitia tittwer yake kuonesha cheki ya Tshs Billion 20 kuikabidhi klabu ya Simba ikiwa ni malipo ya ununuzi wa hisa za Klabu hiyo kongwe nchini. Ikumbukwe cheki hiyo imekuja baada ya watani wa jadi wa Simba, klabu ya Yanga kuingia mkataba mnono na kituo cha AZAM.
Cheki hiyo inaonesha kasoro zifuatazo.
1.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya mlipaji
2.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya Klabu ya Simba
3.
Kwenye eneo la mpokeaji hakuna saini kuthibitisha kupokea kitita hiko. Lakini upande wa MO kuna saini
Nimeweka picha ya cheki hiyo ili Thinkers wa JF muweze kuzoom wenyewe na kuona hizo dosari.
Soka letu linaweza kufika mbali sana iwapo wajanja wajanja wakabainishwa na kuwekwa pembeni. Tunahitaji mabadiliko na mipango endelevu kwa ajili ya soka letu...View attachment 1879675 Dewji akikabidhi cheki
View attachment 1879666
Ujinga ni mzigo.Hivi karibuni tajiri Mohammed Dewji alipost kupitia tittwer yake kuonesha cheki ya Tshs Billion 20 kuikabidhi klabu ya Simba ikiwa ni malipo ya ununuzi wa hisa za Klabu hiyo kongwe nchini. Ikumbukwe cheki hiyo imekuja baada ya watani wa jadi wa Simba, klabu ya Yanga kuingia mkataba mnono na kituo cha AZAM.
Cheki hiyo inaonesha kasoro zifuatazo.
1.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya mlipaji
2.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya Klabu ya Simba
3.
Kwenye eneo la mpokeaji hakuna saini kuthibitisha kupokea kitita hiko. Lakini upande wa MO kuna saini
Nimeweka picha ya cheki hiyo ili Thinkers wa JF muweze kuzoom wenyewe na kuona hizo dosari.
Soka letu linaweza kufika mbali sana iwapo wajanja wajanja wakabainishwa na kuwekwa pembeni. Tunahitaji mabadiliko na mipango endelevu kwa ajili ya soka letu...View attachment 1879675 Dewji akikabidhi cheki
View attachment 1879666
Huo ni mfano wa cheki wewe kilazaHivi karibuni tajiri Mohammed Dewji alipost kupitia tittwer yake kuonesha cheki ya Tshs Billion 20 kuikabidhi klabu ya Simba ikiwa ni malipo ya ununuzi wa hisa za Klabu hiyo kongwe nchini. Ikumbukwe cheki hiyo imekuja baada ya watani wa jadi wa Simba, klabu ya Yanga kuingia mkataba mnono na kituo cha AZAM.
Cheki hiyo inaonesha kasoro zifuatazo.
1.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya mlipaji
2.
Hakuna jina la benki wala akaunti ya Klabu ya Simba
3.
Kwenye eneo la mpokeaji hakuna saini kuthibitisha kupokea kitita hiko. Lakini upande wa MO kuna saini
Nimeweka picha ya cheki hiyo ili Thinkers wa JF muweze kuzoom wenyewe na kuona hizo dosari.
Soka letu linaweza kufika mbali sana iwapo wajanja wajanja wakabainishwa na kuwekwa pembeni. Tunahitaji mabadiliko na mipango endelevu kwa ajili ya soka letu...View attachment 1879675 Dewji akikabidhi cheki
View attachment 1879666
Cheki kwa kiingereza haiandikwi check inaandikwa chequeAcha uzezeta, kama hujui mambo ya check uliza sio mbaya kujua