Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Amerithi utajiri ila kaufikisha mara mbili ya aliporithi. Lakini hili swala sidhani kama la kupinga kwani huko vijijini kuna fursa tele. Leo hii tunaona watu wanalima mazao yenye pesa nyingi kama vanilla. Leo hii tunaona migodi iko vijijini huko kwa hiyo ni sawa anachosema. .Huyu mtu ni kweli alianza kulima kateni ndio akifika hapo alipo au amerithi huo utajiri?
Ngoja tuingie chimboHuyu mtu ni kweli alianza kulima kateni ndio akifika hapo alipo au amerithi huo utajiri?
Usilolijua ni kama usiku wa kiza.Amerithi utajiri ila kaufikisha mara mbili ya aliporithi. Lakini hili swala sidhani kama la kupinga kwani huko vijijini kuna fursa tele. Leo hii tunaona watu wanalima mazao yenye pesa nyingi kama vanilla. Leo hii tunaona migodi iko vijijini huko kwa hiyo ni sawa anachosema. .
Niko radhi kuelimishwa. .Usilolijua ni kama usiku wa kiza.
Fuatilia historia ya hayo mashamba ya mkonge ndio utajua.Niko radhi kuelimishwa. .
Anafikiri watu hawajui au wamesahau.Hapa Mo anatuongopea. Mo utajiri wake umetokana na kurithi ama kuendeleza utajiri wa babake.
Babake Mo alijitajirisha kwa kuchukua mashamba ya katani ya serikali kama mwekezaji.
Halafu akawa anatumia hati za hayo mashamba kuchukua fedha toka mabenki ha nje. Huku mashamba akiyatelekeza.
Mo asitufanye sisi kuwa wajinga.
Mo ni muongo.Huyu mtu ni kweli alianza kulima kateni ndio akifika hapo alipo au amerithi huo utajiri?
Ndio maana baadhi ya hayo mashamba aliyokuwa anayatumia kuombea mikopo benki halafu hakuyaendeleza alikuja kunyan'ganywa kipindi kile cha Magufuli.Hapa Mo anatuongopea. Mo utajiri wake umetokana na kurithi ama kuendeleza utajiri wa babake.
Babake Mo alijitajirisha kwa kuchukua mashamba ya katani ya serikali kama mwekezaji.
Halafu akawa anatumia hati za hayo mashamba kuchukua fedha toka mabenki ha nje. Huku mashamba akiyatelekeza.
Mo asitufanye sisi kuwa wajinga.
Anataka watu waanze kufukua makaburi.Mo ni muongo.
Hapa si tunazungumzia fursa, sasa mie nimekubaliana na hoja kuwa fursa ziko nyingi huko vijijini. Nadhani kuna mahala hatujaelewana.Fuatilia historia ya hayo mashamba ya mkonge ndio utajua.
Hakuna vijana vijijini, wanakimbilia mijini na waliopo wanaendesha boda boda......EXCUSES, malalamiko, kutaka kufanyiwa mambo, Uvivu na kuogopa kazi ngumu ndio sababu ya vijana kuacha kuyaboresha mashamba ambayo baba na babu zao yaliwapa maisha.Kulima mpaka utajirike lazima uwe na mtaji wa kutosha, yeye alilima Katani kwa sababu mtaji wa kutosha ulikuwepo.
Atambue vijana wengi wanaokimbilia mijini hawana mitaji ya kutosha, ndio maana huja mjini kufanya biashara ndogo ndogo za mitaji midogo [ machinga].
Hata kama ukiniambia vijana wajiunge kwenye vikundi ili wapate mikopo /mitaji, bado kuna ukiritimba mkubwa kwenye utoaji wa hiyo mikopo, udogo wa mikopo, na masharti ya mikopo yenyewe, ni baadhi ya mambo yanayowakwamisha vijana vijijini.
Muache aendelee kutuchokozaAnataka watu waanze kufukua makaburi.
Mo inabidi atulie tu. Watu wana mafaili ya mchezo mchafu wa utajiri wake.Ndio maana baadhi ya hayo mashamba aliyokuwa anayatumia kuombea mikopo benki halafu hakuyaendeleza alikuja kunyan'ganywa kipindi kile cha Magufuli.