NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Katiba Mpya itasimamia MAFISADI wasiingize Michele na sukari vilivyo chini ya kiwango kama wakati ule miaka ya tisini!!!
Kwa jembe la mkono utalima heka ngapi kwa miaka mingapi mpaka utajirike kama Mo anavyotaka?Hakuna vijana vijijini, wanakimbilia mijini na waliopo wanaendesha boda boda......EXCUSES, malalamiko, kutaka kufanyiwa mambo, Uvivu na kuogopa kazi ngumu ndio sababu ya vijana kuacha kuyaboresha mashamba ambayo baba na babu zao yaliwapa maisha.
Siwakubali kanjibays lakini kama mm ni kijana mdogo nikatakiwa kusikiliza kati ya anayesema yule alikuwa mwizi/alirithi au muhusika anayesema nilianza na katani nitamsikiliza muhusika. He is +ve na anaambukiza +ve thinking kwa wengine. Kuna fikara zinaongeza idadi ya wazururaji badala ya motisha ya kuchapa kazi.Mo inabidi atulie tu. Watu wana mafaili ya mchezo mchafu wa utajiri wake.
Ni sawa kukubali kutokukubaliana. Ila kwa jembe la mkono mm nimeshuhudia kikundi cha vijana wakifanikiwa kwa kulima vitunguu.Kwa jembe la mkono utalima heka ngapi kwa miaka mingapi mpaka utajirike kama Mo anavyotaka?
Sikubaliani na sababu zako zote ulizoandika hapo juu.
Kama unataka kupandikizwa positive thinking basi nenda kwa motivational speakers.He is +ve na anaambukiza +ve thinking kwa wengine. Kuna fikara zinaongeza idadi ya wazururaji badala ya motisha ya kuchapa kazi.
Uyu nae anaongea nini?Mwambieni aache kutuuzia sabuni zake fake za unga.Sabuni ya Moto Kama majivu.Juice zake ndiyo balaa.Hii nchi Uhuru umezidi sana,yaani vibaka ndiyo wanaonekana waadilifu.Msomeni hapa alichosema:
Kwa umri wangu hakuna motivation itakayonifaa, labda ya mazoezi na kuhakikisha sipati presha na kisukari huko ninapoelekea. Hata hivyo still ningekuwa kwenye nafasi ya kusikiliza nisingeopt wenye fikra kuwa utajiri hauwezi patikana mashambani.Kama unataka kupandikizwa positive thinking basi nenda kwa motivational speakers.
Umesikia kilio cha wakulima juu ya ukosefu wa masoko ya mazao Kama korosho, vanila, mahindi (except mwaka huu), mbaazi, pamba, ufuta, chai, kahawa ,n.k.Hata hivyo still ningekuwa kwenye nafasi ya kusikiliza nisingeopt wenye fikra kuwa utajiri hauwezi patikana mashambani.
Sexless kilimo huwa kina hasara nakubali, maparachichi yameliza watu msimu uliopita ila bado katika hivyo vilio kuna watu kilimo kinawatoa kwenye umaskini.Umesikia kilio cha wakulima juu ya ukosefu wa masoko ya mazao Kama korosho, vanila, mahindi (except mwaka huu), mbaazi, pamba, ufuta, chai, kahawa ,n.k.
Kuna tofauti kubwa kati ya kilimo halisi na kilimo cha kwenye makaratasi (ama ushairi). Kwenye makaratasi kilimo ni utajiri.
Mifumo ya masoko na masoko yenyewe Ina shida Sana nchi hii
Katiba mpya itasimamia elimu Bora kwa WANANCHI wetu Ili waweze kujiajiri WENYEWE na kupata ubunifu wa kutosha katika ujasiria Mali na uthubutu wa kufanya pasipo hofu na uhakika wa masoko wa bidhaa zao!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
Yah baba zao walikuwa wanakaa vijijini huko na utajiri waliupatia hukoAmerithi utajiri ila kaufikisha mara mbili ya aliporithi. Lakini hili swala sidhani kama la kupinga kwani huko vijijini kuna fursa tele. Leo hii tunaona watu wanalima mazao yenye pesa nyingi kama vanilla. Leo hii tunaona migodi iko vijijini huko kwa hiyo ni sawa anachosema. .
Wazee wao walikuwa na biashara zao huko....Huyu mtu ni kweli alianza kulima kateni ndio akifika hapo alipo au amerithi huo utajiri?
Ktk nchi yetu hatukupaswa kuwa na hadith za watu kukimbilia mijini ama graduates kukosa kazi kama masoko na mifumo yake ingekuwa mizuri. Lkn imevurugwa makusudi ili matajiri wachache wawndelee kufaidika na maskini kuonja joto ya jiwe.Sexless kilimo huwa kina hasara nakubali, maparachichi yameliza watu msimu uliopita ila bado katika hivyo vilio kuna watu kilimo kinawatoa kwenye umaskini.
Well sikupingi ila masikini hawapaswi kusubiri serikali au matajiri wawatoe kwenye kuonja joto ya jiwe unless masikini huyo ameshazeeka.Ktk nchi yetu hatukupaswa kuwa na hadith za watu kukimbilia mijini ama graduates kukosa kazi kama masoko na mifumo yake ingekuwa mizuri. Lkn imevurugwa makusudi ili matajiri wachache wawndelee kufaidika na maskini kuonja joto ya jiwe.