naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,961 Reaction score 5,460 Jul 16, 2022 #41 Salary Slip said: Huyu mtu ni kweli alianza kulima kateni ndio akifika hapo alipo au amerithi huo utajiri? Click to expand... Hata Kama wa kuridhi haukutoka Dar asemalo Lina ukweli japo wapo wanatakao mpinga
Salary Slip said: Huyu mtu ni kweli alianza kulima kateni ndio akifika hapo alipo au amerithi huo utajiri? Click to expand... Hata Kama wa kuridhi haukutoka Dar asemalo Lina ukweli japo wapo wanatakao mpinga
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Jul 16, 2022 #42 Baba yake Mzee Ghulum alisoma kule Kyela na baadae akawa Dereva wa Malori ya Serikali ya Miaka hiyo na hapo ndipo walioanza kuibuka Salary Slip said: Huyu mtu ni kweli alianza kulima kateni ndio akifika hapo alipo au amerithi huo utajiri? Click to expand...
Baba yake Mzee Ghulum alisoma kule Kyela na baadae akawa Dereva wa Malori ya Serikali ya Miaka hiyo na hapo ndipo walioanza kuibuka Salary Slip said: Huyu mtu ni kweli alianza kulima kateni ndio akifika hapo alipo au amerithi huo utajiri? Click to expand...
othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6,850 Reaction score 11,033 Jul 16, 2022 #43 Wakati huo yeye yupo seaclif amekunja nne
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 17, 2022 #44 Ngoja tuone...