Mohammed Dewji vs S.S Bakhressa

Mohammed Dewji vs S.S Bakhressa

Hawa forbes na utafit wao uchwara waende zao sie watz tunafahamu bakhresa ndo tajiri namba 1 tz hata kwa macho ya kutazama tu.Sio kila kitu hadi wazungu watuaminishe bana.
Bharesa mm nimekuja kumjua nilivokuja dar kanda ya ziwa kwenyewe hajatoboa gachuma kamziba
 
Kulikuwa na tetesi humu jf kuwa jamaa anahonga forbe ili apate mikopo!

Halafu mo anatumia nguvu nyingi sana kujitangaza
 
Huo utafit wako ni wa uongo kabisa, hyo jarida la forbes labda umekosea kulisoma. .. dewji kwa Africa ni wa 21... Aliko dangote ndio wa Kwanza Africa, tena MTU wa pili anaemfuatia hajafikia hata nusu ya utajiri wake....
 
Habari za mida wakuu

Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimekua nikifatilia habari za watu wengi waliofanikia na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje.

Kutoka katika takwimu za forbes za mwaka 2016, tajiri namba moja africa na Tanzania na ambaye ni kijana zaidi ni Mohammed Dewji akiwa na thamani ya dola za marekani bilioni 1.3 huku mzee Bakhressa akiwa tajiri wa tatu Tanzania akiwa na thamani ya dola za Marekani 575.

Kwa macho ya kawaida bidhaa za bakhressa zimetapakaa Afrika Mashariki yote na zinatumika kwa wingi zaidi hasa Tanzania huku Dewji bidhaa zake sio zilizokua sikoni kwa wingi.

Hili limekua likinipa wakati mgumu kukubaliana na taarifa ya jarida hili. Labda sifahamu vyanzo vyao vyengine vya mapato au pia sifahamu vigezo vya forbes wanavyotumia kupata thamani ya utajiri wa mtu.

Naomba wajuzi zaidi mnifahamishe.
Forbes wanaweza wakawa sahihi, kwanza ni lazima tutazame ni vigezo gani vinavyoweza vikatumika kuhalalisha Mo kuwa juu kuwashinda hao matajiri wenzake akiwemo Bakhresa. Ikumbukwe kuwa kabla ya mwaka 2014, Mo alikuwa nyuma ya Rostam Azizi kwa utajiri Tanzania akiwa anamiliki utajiri usiozidi dola za kimarekani millioni 800, Rostam alikuwa na dola bilioni 1. Mwaka huo huo METL Ilisaini mikataba ya mkopo unaokaribia kufika dola za kimarekani $ 300 sawa na zaidi ya Tsh bilioni 400 na Mabenki makubwa ya NBC, Barclays, Benki ya Mauritius. ABSA na First Rand ya Afrika kusini. Kwa mujibu wa Jarida hilo la Forbes, Mo mwenyewe alisema mkopo huo ulikuwa na lengo la kuipanua zaidi METL katika soko la nje ya Afrika Mashariki. Kwa hiyo kwa kigezo hiki mimi nafikiri Mo anaweza kweli akamzidi Bakhresa kwani, "Biashara ni mtaji bwana, vigezo vingine karibu kila mtu anao uwezo wa kuvitimiza"
 
Habari za mida wakuu

Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimekua nikifatilia habari za watu wengi waliofanikia na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje.

Kutoka katika takwimu za forbes za mwaka 2016, tajiri namba moja africa na Tanzania na ambaye ni kijana zaidi ni Mohammed Dewji akiwa na thamani ya dola za marekani bilioni 1.3 huku mzee Bakhressa akiwa tajiri wa tatu Tanzania akiwa na thamani ya dola za Marekani 575.

Kwa macho ya kawaida bidhaa za bakhressa zimetapakaa Afrika Mashariki yote na zinatumika kwa wingi zaidi hasa Tanzania huku Dewji bidhaa zake sio zilizokua sikoni kwa wingi.

Hili limekua likinipa wakati mgumu kukubaliana na taarifa ya jarida hili. Labda sifahamu vyanzo vyao vyengine vya mapato au pia sifahamu vigezo vya forbes wanavyotumia kupata thamani ya utajiri wa mtu.

Naomba wajuzi zaidi mnifahamishe.
Hawa wote ni waislamu na kutokana na dini yao ni miiko kushindanisha utajiri wa mtu, wenyewe hata hayo hawanayo ila sie viburushi ndo tunafanya wazimu huo
 
naomba ufafanuzi kidogo mkuu hapo kwenye share na ambavyo yaweza kukunufaisha au kukufirisi,,,
Share maana yake nikufanya biashara au kazi kwa pamoja baina ya watu wawili au zaidi, au inaweza ikawa kampuni moja au zaidi ya moja, ili kupata manufaa na faida zaidi pia ni kuleta maendeleo na kupiga hatua katika hiyo kazi mnayofanya.
Mfano:
Michael ameweka share na kampuni ya Maji ya Kilimanjaro na wameandikishiana mkataba, makubaliano yao ilikuwa share iwe asilimia 50% kwa 50% kwa hiyo michael atahakikisha Maji ya Kilimanjaro yanakuwa safi na salama, chupa iwe ya kuvutia, Maji ndani yake iwe ina ladha safi na matamu kwa kunywea kila rika, yawe yanapatikana nchini kote Tanzania na hata nje ya nchi, kwahiyo kama kwa siku unauza katoni 200 kila aina ya chupa ya Kilimanjaro nina maanisha robo Lita, nusu Lita, Lita moja, Lita moja na nusu, Lita mbili, mpka Lita 10 au 12.........
Kwa hiyo mwisho wa siku unaangalia umeuza katoni ngapi na kila moja na bei yake jumla, kwa hiyo kama utapata million 50 kwa wiki ina maana kwamba utamlipa mwenye Maji ya Kilimanjaro shillingi 25 million,
Ikitokea umeshindwa kuuza bidhaa yako kwa sababu mbali mbali utakuta kampuni inafilisika na utashindwa kuelewana na mwenye kampuni, mwisho wa siku utakuta umetumia hela Nyingi kufanya hiyo biashara halafu baadhi ya vitu vyako vya thamani vinapigwa mnada kusudi uweze kulipa hela ya mwenye kampuni, kwa hiyo utajikuta umekuwa maskini wa kutupa, au mmoja wenu anaweza kufariki halafu upande mwingine wa ndugu wakataka kuendeleza Mali na ukatokea migogoro mikubwa, na ndugu wakaathirika kwa namna moja ama nyingine.
ZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUWEKA SHARE.
unaweza kuweka share na
Kampuni mbali mbali
Chuoni
Shuleni
Kwenye muziki
Mahotelini
Hospitalini n.k
Ili kuweka share na kuzidi kuyaona mafanikio , kwanza unatakiwa use mbunifu katika biashara yako, wafanya kazi wako wawe na sifa nzuri na zilizoeleweka, bidhaa zako ziwe katika usalama na ziwe safi, location ya kufanya biashara yako iwe ya kueleweka na yenye movement za watu wengi, Wateja wako wapate Huduma kwa muda muwafaka, bei ya bidhaa yako iwe ya kawaida ambayo itamfanya mteja yeyote aweze kuinunua bidhaa yako, kwa kufuata haya biashara yako itaimarika sana na kuweza kuwa juu kipesa. Ukishindwa kufuata haya umaskini utakusubiri.........
Nadhani nimejibu swali lako vyema.
 
Asante mkuu,,,ilinibidi nilipie ushauri huu lakin nashukuru umeutoa bure
 
Usijali masuala yeyote kuhusiana na biashara, mapenzi, maisha ya kawaida, niulize utajibiwa kwa ufasaha bila magumasi yeyote.
Nashukuru na wewe pia kwa kutaka kujifunza na kujuwa zaidi.......
 
Kwa mtazamo wangu, Bakhresa yuko juu sana, tena sana kuliko watu wanavyojua. Ila yeye sio mpiga kelele kama hao wengine. Hata forbes wanapofanya tafiti zao kwaajili ya kuorodhesha hao matajiri, Bakhresa hafunguki sana kutoa details zake. Mo yuko wazi sana kwenye mipango yake na kujieleza. Bakhresa nimjuae ni zaidi ya nazi na lambalamba.
 
Hiyo mzur sana tujue inakuaje mpaka inajulikana hiyoooo
 
Wadau kuna tetesi Yale malori ya Mo yaliyopigwa moto na waasi kule Kongo ni kwa sababu ya chuki za kibiashara .....? Mo namkubali sana huyo jamaa alivyofanya ubunifu kwenye biashara ya maji ya chupa nilimpigia saluti...very creative
Yale malori Ni ya Azim Dewji sio Mohammed Dewjj
 
halafu cha ajabu,wakati SSB amepambana kwa zaidi ya miaka 40 kufika hapo alipo na MO naye amerithi biashara ya baba ambaye alianza kupambana tangu miaka ya 70,GSM wao wamekuwa mabilionea ndani ya miezi michache tu baada ya JPM kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha tawala.

hapo ndio utajua watu na bahati zao.
Nani hawa GSM na wanshuhulika na nn
 
Nimefuatilia thread hii toka mwanzo naona among other things,real estate inatajwa na wadau wengi kama moja kati ya biashara kubwa ya Mo,,naomba kufahamishwa ni kampuni ipi ya real estate inamilikiwa na Mo au hata ana interest ndani yake,,na ni Facilities/majengo yapi ambayo Mo na kampuni zake wanamiliki?
 
Kwa mtazamo wangu, Bakhresa yuko juu sana, tena sana kuliko watu wanavyojua. Ila yeye sio mpiga kelele kama hao wengine. Hata forbes wanapofanya tafiti zao kwaajili ya kuorodhesha hao matajiri, Bakhresa hafunguki sana kutoa details zake. Mo yuko wazi sana kwenye mipango yake na kujieleza. Bakhresa nimjuae ni zaidi ya nazi na lambalamba.
Sawa
 
Back
Top Bottom