Mohammed Dewji vs S.S Bakhressa

Mohammed Dewji vs S.S Bakhressa

wanaume wa dar wamekariri bakhresa ndio tajiri kwavile anawauzia aishikrimu,hawakuelewi ukimtaja mwingine
 
Huo utafit wako ni wa uongo kabisa, hyo jarida la forbes labda umekosea kulisoma. .. dewji kwa Africa ni wa 21... Aliko dangote ndio wa Kwanza Africa, tena MTU wa pili anaemfuatia hajafikia hata nusu ya utajiri wake....

Kwa youngest bilionare mo anaongoza Africa ila generally dangote anawakilisha pale
 
Mbali na Tanzania huyo MO ana kiwanda nchi gani nyingine?
Manake Bakhresa ana viwanda nchi zote zilizotuzunguka kasoro Kenya na Zambia.
Unaweza kua na viwanda nje ya nchi vingi lakn hlo halikufanyi kua Tajiri mkubwa net wealth haipimw kwa idadi ya viwanda ulivyo navyo nje ya nchi. Mfano mzur n Rostam Aziz mwaka 2012 anaongoza list ya top rich Tanzania alikua na kiwanda gan??? Lakn aliwapiga gap ya mbali sana wenzake zaid ya $million 450 wanaomfata
 
Weww
kitu ambcho mnatakiwa kujua... GSM sio kampuni mpya.... ila ni ile ile ya watu wa Home shopping center.... baada ya kuona mamb hayaelewek huku (Home shopping center) nd wakaamua kufnya partnership na kampun kubwa dunian ya GSM.. ila wamilik ni wal wale waaarabu wa Home shopping centre.
Weww ndio umenena,ninachojua wale wa shopping centre wamehamia huku,walifilisi home shopping centre
 
wanaume wa dar wamekariri bakhresa ndio tajiri kwavile anawauzia aishikrimu,hawakuelewi ukimtaja mwingine
mdau,in case kama hujui acha nikufamishe.

huo ugali na maharage uliokula mpaka ukavimbiwa huko mkoani ulikojichimbia,ukapata nguvu ya kuja kukomenti JF,unga wa huo ugali,umetokana na either bakharesa au Azania sembe.wote hao ni wanaume wa dar.
 
Acha uzushi ewe mwanaume wa dar, mahindi nimelima mwenyewe kusaga nimetumia mashine za waswahili wenzangu, hapo bakhresa ameingiaje wewe mwanaume wa dar?
 
KUna wados wana pay MO na SSBwanatumwa majiya kunywa kwa hao,forbes si mpaka uweke pesakwenye mitandao yaki benk ndo wanajuadata zako,kuna watu hawafanyi hvo,akina coolblue
 
Acha uzushi ewe mwanaume wa dar, mahindi nimelima mwenyewe kusaga nimetumia mashine za waswahili wenzangu, hapo bakhresa ameingiaje wewe mwanaume wa dar?
kulima unalima wewe sawa,ila wanunuaji wakubwa hayo mazao unayolima kwa tz,ni either bakheresa,azania au MO dewji(wanaume wa dar).

otherwise uniambie unacholima ni kidogo sana na hakitoshi kwa biashara bali kwa kula tu.
 
Wewe umesema mi nakula chakula kilichotengenezwa na wanaume wa dar (bakhresa), mi nasema nakula chakula nilicholima mwenyewe, nini hujaelewa ewe mwanaume wa dar?
 
KUna wados wana pay MO na SSBwanatumwa majiya kunywa kwa hao,forbes si mpaka uweke pesakwenye mitandao yaki benk ndo wanajuadata zako,kuna watu hawafanyi hvo,akina coolblue
Una undugu na P.didy?
 
Wewe umesema mi nakula chakula kilichotengenezwa na wanaume wa dar (bakhresa), mi nasema nakula chakula nilicholima mwenyewe, nini hujaelewa ewe mwanaume wa dar?
mwanamke wa mikoani,nini tatizo,mbona unakuwa mgumu kunielewa?.
 
Aiseeee
Bora mie siwafahamu zaidi naona vitu wanavyofanya
 
mdau,in case kama hujui acha nikufamishe.

huo ugali na maharage uliokula mpaka ukavimbiwa huko mkoani ulikojichimbia,ukapata nguvu ya kuja kukomenti JF,unga wa huo ugali,umetokana na either bakharesa au Azania sembe.wote hao ni wanaume wa dar.
Mo sembe, Mo flour imetawala
 
We always ask wrong questions matokeo yake tunashindwa kujifunza kutoka kwa watu hawa. Nilitegemea badala ya kuwa lingalisha tungejaribu ku extract some common traits walizo nazo ili na sisi wapambanaji wengine tujifunze
 
poor mind discuss people.
Hopeless! 'Umekremu' wewe, sio bure. Wanna discuss issues? Get this in your skull; issues and people are related, interconnected. There's absolutely no way in the whole wide world you can discuss social issues without discussing people.
Don't be a sorry sight, huh?
 
Back
Top Bottom