Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo utafit wako ni wa uongo kabisa, hyo jarida la forbes labda umekosea kulisoma. .. dewji kwa Africa ni wa 21... Aliko dangote ndio wa Kwanza Africa, tena MTU wa pili anaemfuatia hajafikia hata nusu ya utajiri wake....
Yale malori Ni ya Azim Dewji sio Mohammed Dewjj
Unaweza kua na viwanda nje ya nchi vingi lakn hlo halikufanyi kua Tajiri mkubwa net wealth haipimw kwa idadi ya viwanda ulivyo navyo nje ya nchi. Mfano mzur n Rostam Aziz mwaka 2012 anaongoza list ya top rich Tanzania alikua na kiwanda gan??? Lakn aliwapiga gap ya mbali sana wenzake zaid ya $million 450 wanaomfataMbali na Tanzania huyo MO ana kiwanda nchi gani nyingine?
Manake Bakhresa ana viwanda nchi zote zilizotuzunguka kasoro Kenya na Zambia.
Weww ndio umenena,ninachojua wale wa shopping centre wamehamia huku,walifilisi home shopping centrekitu ambcho mnatakiwa kujua... GSM sio kampuni mpya.... ila ni ile ile ya watu wa Home shopping center.... baada ya kuona mamb hayaelewek huku (Home shopping center) nd wakaamua kufnya partnership na kampun kubwa dunian ya GSM.. ila wamilik ni wal wale waaarabu wa Home shopping centre.
mdau,in case kama hujui acha nikufamishe.wanaume wa dar wamekariri bakhresa ndio tajiri kwavile anawauzia aishikrimu,hawakuelewi ukimtaja mwingine
Acha uzushi ewe mwanaume wa dar, mahindi nimelima mwenyewe kusaga nimetumia mashine za waswahili wenzangu, hapo bakhresa ameingiaje wewe mwanaume wa dar?mdau,in case kama hujui acha nikufamishe.
huo ugali na maharage uliokula mpaka ukavimbiwa huko mkoani ulikojichimbia,ukapata nguvu ya kuja kukomenti JF,unga wa huo ugali,umetokana na either bakharesa au Azania sembe.wote hao ni wanaume wa dar.
huyu ni agent tuu sio mmilikUsiangalie FAW 500 peke yake
Kuna Amana bank
Malls Msasani, Dubai, na nchi nyingine nyingi tu
Kuna cement plants
Magodoro
Mabati
Pikipiki assembly line
Shipping co
Etc etc
kulima unalima wewe sawa,ila wanunuaji wakubwa hayo mazao unayolima kwa tz,ni either bakheresa,azania au MO dewji(wanaume wa dar).Acha uzushi ewe mwanaume wa dar, mahindi nimelima mwenyewe kusaga nimetumia mashine za waswahili wenzangu, hapo bakhresa ameingiaje wewe mwanaume wa dar?
Wewe umesema mi nakula chakula kilichotengenezwa na wanaume wa dar (bakhresa), mi nasema nakula chakula nilicholima mwenyewe, nini hujaelewa ewe mwanaume wa dar?kulima unalima wewe sawa,ila wanunuaji wakubwa hayo mazao unayolima kwa tz,ni either bakheresa,azania au MO dewji(wanaume wa dar).
otherwise uniambie unacholima ni kidogo sana na hakitoshi kwa biashara bali kwa kula tu.
mwanamke wa mikoani,nini tatizo,mbona unakuwa mgumu kunielewa?.Wewe umesema mi nakula chakula kilichotengenezwa na wanaume wa dar (bakhresa), mi nasema nakula chakula nilicholima mwenyewe, nini hujaelewa ewe mwanaume wa dar?
hata cmfahamUna undugu na P.didy?
Mo sembe, Mo flour imetawalamdau,in case kama hujui acha nikufamishe.
huo ugali na maharage uliokula mpaka ukavimbiwa huko mkoani ulikojichimbia,ukapata nguvu ya kuja kukomenti JF,unga wa huo ugali,umetokana na either bakharesa au Azania sembe.wote hao ni wanaume wa dar.
Hopeless! 'Umekremu' wewe, sio bure. Wanna discuss issues? Get this in your skull; issues and people are related, interconnected. There's absolutely no way in the whole wide world you can discuss social issues without discussing people.poor mind discuss people.