Kadoda11 hapa sasa unaonekana kuishiwa hoja sasa. Screpa amekunyooshea maelezo vizuri tu na kukupa swali sensible. Mjibu basi mbona unaanza kupanic na kuvurumisha lugha za kejeli?mwanamke wa mikoani,nini tatizo,mbona unakuwa mgumu kunielewa?.
Malori yalikuwa ya Azim Dewji mwingine SIO Mohamed Dewji wa MOETLWadau kuna tetesi Yale malori ya Mo yaliyopigwa moto na waasi kule Kongo ni kwa sababu ya chuki za kibiashara .....? Mo namkubali sana huyo jamaa alivyofanya ubunifu kwenye biashara ya maji ya chupa nilimpigia saluti...very creative
Kama umefatilia mtiririko wa comment zangu nilizokuwa namjibu,bila shaka utagundua muhusika alinielewa,ila labda alikuwa tu anataka tuendeleze utani wa hapa na pale ktk mnakasha.Kadoda11 hapa sasa unaonekana kuishiwa hoja sasa. Screpa amekunyooshea maelezo vizuri tu na kukupa swali sensible. Mjibu basi mbona unaanza kupanic na kuvurumisha lugha za kejeli?
Mwanaume wa Dar anaposifia wanaume wengine wa Dar teh tehmdau,in case kama hujui acha nikufamishe.
huo ugali na maharage uliokula mpaka ukavimbiwa huko mkoani ulikojichimbia,ukapata nguvu ya kuja kukomenti JF,unga wa huo ugali,umetokana na either bakharesa au Azania sembe.wote hao ni wanaume wa dar.
Hao wote sio matajiri,manake hawana furaha.
Moyo mmoja wanitoshajipe moyo!
safi sanaMwanaume wa Dar anaposifia wanaume wengine wa Dar teh teh
We,umejuajeMo mbali na hizi biashara tunazozifahamu sisi ana investment nyingi sana katika world stock market, special in commodities.