Maracana
Member
- Sep 24, 2016
- 10
- 3
Kadoda11 hapa sasa unaonekana kuishiwa hoja sasa. Screpa amekunyooshea maelezo vizuri tu na kukupa swali sensible. Mjibu basi mbona unaanza kupanic na kuvurumisha lugha za kejeli?mwanamke wa mikoani,nini tatizo,mbona unakuwa mgumu kunielewa?.