Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cement sio zake, kachukua tender ya Dangote kuwa msambazaji mkuu nchinihuyu GSM nae anakuja kwa kasi yupo ktk cement, construction, real estate, pikipiki, magodoro, mabati, retail na tusioyajua.
Kwani utajiri wa FORBES unaangalia fedha unauyoingiza tu au thamani ya uwekezaji wako na pesa uliyonayo?Nadhani Kinachomshusha Bakhressa Ndani Ya Miaka Hii Miwili Ni Kwasababu Amewekeza Pesa Nyingi Kwenye Baadhi Ya Miradi Ambayo Haijaaza Kumlipa.
Mo atafanya sana biashara za kimataifa, nimsafirishaji mkubwa wa mazao ya nafaka katika nchi za magharibi na asia, kuna wakati alisema katika biashara ya mkonge anapata faida zaidi ya 200%, yuko na stock nyingi za commodities .Habari za mida wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimekua nikifatilia habari za watu wengi waliofanikia na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje.
Kutoka katika takwimu za forbes za mwaka 2016, tajiri namba moja africa na Tanzania na ambaye ni kijana zaidi ni Mohammed Dewji akiwa na thamani ya dola za marekani bilioni 1.3 huku mzee Bakhressa akiwa tajiri wa tatu Tanzania akiwa na thamani ya dola za Marekani 575.
Kwa macho ya kawaida bidhaa za bakhressa zimetapakaa Afrika Mashariki yote na zinatumika kwa wingi zaidi hasa Tanzania huku Dewji bidhaa zake sio zilizokua sikoni kwa wingi.
Hili limekua likinipa wakati mgumu kukubaliana na taarifa ya jarida hili. Labda sifahamu vyanzo vyao vyengine vya mapato au pia sifahamu vigezo vya forbes wanavyotumia kupata thamani ya utajiri wa mtu.
Naomba wajuzi zaidi mnifahamishe.
Kama MO, MENGI, SSF, GSM et al hawawezi kutoa kauli kama yako kwa BAKHRESSA, basi we utakuwa JUU ZAIDI YAO HAO WOTE!Bakresa bidhaa zake ni kubwa jinga vingi hazina thamani, Mo bidhaa chache zenye thamani energy, real estate, mining n.k.
naomba ufafanuzi kidogo mkuu hapo kwenye share na ambavyo yaweza kukunufaisha au kukufirisi,,,Habari wakuu, mo dewji ameridhi kampuni ambayo ilikuwa ni ya baba yake, na kipindi ambacho baba take alikuwa anafanya biashara mo dewji alikuwa anasoma nje ya nchi, ( england, UK ) alipomaliza masomo yake akaamua kuendesha kampuni ya baba yake ikiwa ni kuweka share kwenye bidhaa za azam Bakhresa, na wakati huo alikuwa mbunge wa singida, katika share hiyo aliyeweka na bahresa, mo dewji alishangia kwa asilimia 75% na huku said salim Bakhresa alichangia kwa asilimia 25% na baada ya mo kustaafu ubunge na kuamua kusimamia biashara yake, alionekana yupo juu kibiashara na ni kwa mapema mno kuwa tajiri Mkubwa na kumpiku bakhresa asilimia kubwa ya watanzania na afrika mashairi huamini Bakhresa ndio tajiri wa kwanza katika kanda hiyo afrika mashairi lakini si kweli, na bidhaa za mo ziliandikwa azam kipindi alipoweka share, hii ni kuifanya bidhaa inunuliwe kwa haraka, hii ndio siri ya no dewji mwenye miaka 42 kuwa tajiri Mkubwa afrika ya mashariki na huku Bakhresa mwenye miaka 66 akishika nafasi ya tatu........
Kiukweli share katika biashara inalipa endapo utakuwa makini, vile vile share inaweza kukutia umaskini kama ukiwa mzembe, kila kitu kina faida na hasara.......