RICH GANG LIFESTYLE
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 256
- 192
Believe that. I got cashKama MO, MENGI, SSF, GSM et al hawawezi kutoa kauli kama yako kwa BAKHRESSA, basi we utakuwa JUU ZAIDI YAO HAO WOTE!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Believe that. I got cashKama MO, MENGI, SSF, GSM et al hawawezi kutoa kauli kama yako kwa BAKHRESSA, basi we utakuwa JUU ZAIDI YAO HAO WOTE!
Mzee kuna assets na liabilitiesHapo cjaelewa coz tunaambiwa bakhressa ndio mfanyabiashara no 1 anaelipa kodi tanzania baada ya kiwanda cha bia je huyo Mo na hayo makampuni yake 42 ni mlipa kodi no ngapi
Hapo cjaelewa coz tunaambiwa bakhressa ndio mfanyabiashara no 1 anaelipa kodi tanzania baada ya kiwanda cha bia je huyo Mo na hayo makampuni yake 42 ni mlipa kodi no ngapi
huyu Mo ni nouma sana kila takataka anatengeneza halafu yupo mjini hadi vijijini tofauti na Bakhresa yeye kwenye vinywaji tu wakati mwenzie hadi sisimizi anatengeneza halafu bei sawa na bureMo ana product nyingi za mchanganyiko mpaka balaa ndugu zangu nachokijua anauza kuanzia mishumaa,utambi,kandili bicycle phoenix,vibiriti,sabuni,mafuta ya kula na makorokoro kibao
Hayo tusiyoyajua ndio yanayomuingizia pesa ya maanahuyu GSM nae anakuja kwa kasi yupo ktk cement, construction, real estate, pikipiki, magodoro, mabati, retail na tusioyajua.
Tofautisha kati ya kumdiscuss Wema Sepetu na kumdiscuss Mo Dewji..... kumjadili Mo ni kuujadili uchumi wa Tanzania hata rais wako analijua hilo na yupo humu anachangia, au nikutajie ID yake?poor mind discuss people.
Wadau kuna tetesi Yale malori ya Mo yaliyopigwa moto na waasi kule Kongo ni kwa sababu ya chuki za kibiashara .....? Mo namkubali sana huyo jamaa alivyofanya ubunifu kwenye biashara ya maji ya chupa nilimpigia saluti...very creative
Unamaanisha chuki za wacongo wafanyabiashara towards Mo?
FORBESKwani utajiri wa FORBES unaangalia fedha unauyoingiza tu au thamani ya uwekezaji wako na pesa uliyonayo?
mtu fukara anapokuwa anatoa kauli ya kijeuri dhidi ya mtu tajiri,huwa inaleta burudani sana.Bakresa bidhaa zake ni kubwa jinga vingi hazina thamani, Mo bidhaa chache zenye thamani energy, real estate, mining n.k.
Thanks,nafikiri nilikosea Kiswahili kama wewe ulivokosoea 1917.Nilivoku-quote katika comment yako nilikuwa na maana hao FORBES wanaangalia pesa uliyonayo bank au wanaangalia thamani ya uwekezaji wako mf IPTL mitambo yao thamani yakr ni Bil.300 basi watahesabu utajiri wa mwenye IPTL ni hiyo Bil.300.FORBES
Ni jarida/gazeti la marekani ambalo linahusiana na masuala ya kibiashara. linatoka kila wiki, hata mwezi.
Jarida hili la Forbes linahusu UWEKEZAJI, PESA, VIWANDA, SOKO LA BIASHARA, MAWASILIANO, TEKNOLOJIA YA KISASA, n.k
Ilianza rasmi mwaka 1917, ikimilikiwa chini ya bwana Steve Forbes na sasa inamilikiwa na Michael Perlis, makao makuu ya Forbes yapo marekani jimbo la new york city,
Forbes sio kwamba wanakaa na pesa bali hawa na ni zaidi ya benki, kuhusu masuala yote ya kibiashara wao wanahusika na ila kuhusu suala la pesa ndani benki huwa wanakadiria ila sio kweli,
Wanasema mengi anamilika dolla 550 million,
Mo dewji dolla 1.2 billion
Diamond platnumz dolla 4 million.
Wao wanakadiria ni kiasi gani pesa ulizo nazo benki kutokana na biashara ulizonazo au kazi unayofanya inakulipa kiasi gani cha pesa........
Mbali na Tanzania huyo MO ana kiwanda nchi gani nyingine?Mo yuko juu kuliko Bhakresa ana kampuni nyingi sana na bidhaa kibao kuliko Azam, ilikua hvyo lakn jamaaa alidiversify sana sana iv Mo ana bidhaa had za nyuzi ambazo anauza china kiwanda cha polyster Morogoro, anakiwanda cha katani Tanga korogwe inshort bidhaa za mo ni ndgo ndgo na nyingi na bongo hazijshika jina kivile hasa mijini yeye anauza vjjn huko ndo nyingi sana yan na vle zngo nyingi kuna mahal ukienda yan utakuta ni Mo na Azam shopping ako nzima Mo anatengeneza had viberiti,blueband,disinfectants ya mbu spray na kupaka inshort ana kampuni nyingi sana more than 40 bt SSB wana kampuni kubwa 13 pekee so unaweza judge da difference kila kampun ya Azam aka SSB ukitoa mpira na tv Mo ameproduce product same to it lakn za Mo SSB hana nyingine kama hzo za Katani na dawa za mbu
Hawa forbes na utafit wao uchwara waende zao sie watz tunafahamu bakhresa ndo tajiri namba 1 tz hata kwa macho ya kutazama tu.Sio kila kitu hadi wazungu watuaminishe bana.nasubiri wajuvi wa mambo waje watiririke kuhusu hili la MO kumzidi SSB kwa utajiri kwa mujibu wa vigezo vya forbes.
Big like.Nadhani Kinachomshusha Bakhressa Ndani Ya Miaka Hii Miwili Ni Kwasababu Amewekeza Pesa Nyingi Kwenye Baadhi Ya Miradi Ambayo Haijaaza Kumlipa.