Pre GE2025 Mohammed Kawaida: Naipa Serikali miezi minne iwe imefungia Mtandao wa X

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
 
Huyu ametumwa Tu kuna watu wapo nyuma yake, watanzania wanashindwa kuelewa naona wengi wanamlaumu bila kujua kuwa akina NAPE wenyewe wapo nyuma yake....huyu CHAMBO Tu
 
Huyu ametumwa Tu kuna watu wapo nyuma yake, watanzania wanashindwa kuelewa naona wengi wanamlaumu bila kujua kuwa akina NAPE wenyewe wapo nyuma yake....huyu CHAMBO Tu
Ni kweli.

Lakini kutokana na upeo wao kuwa Mdogo, hawasemi sababu za kwa nini wanaona Mtandao wa Twitter ( X) unapaswa kufungwa hapa Tanzania.

Tatizo siyo Twitter Bali tatizo ni Mange Kimambi pamoja na wakosoaji wenzake.
 
Sio kwamba wanatumiwa na kina Nape kwa mlango mwingine?
 
Mnataka kufungia product ya Marekani, mna ubavu wa kushindana akifanya comeback?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…