Mohammed Matumla vs Wang Xing Hua ni hatari tupu leo Diamond Jubilee

Hongera waTanzania, Kama utamaduni wetu wa kushauriana naomba ushauri kwenu wote; hivi nina mdogo wangu miaka 22 huko Marekani leo ni mwezi wa saba amejikita na kujiunga na Clabu ya masumbi (Boxing club) sasa anvyosema yeye kuwa anazipiga vizuri tu, sasa mie bila kushuhudia.....sijui niikubali au nisimamishe aendelee na masomo kwani kilichompeleka!!

Feel free mnakarbishwa
 
jamani hiyo round bado haijaisha?
 
Wewe unaetoa updates tuambie hali ya pambano ipoje, sio unapepesa macho hapa
 
Aliyeanzisha uzi ni bondia aliyekuwa anacheza pambano la utangulizi. Amepigwa wala hawezi kujua saa hizi ni saa ngapi!
 
Ameshinda matumla jamani,naskia kwa pointi nyingi tu

Duh basi dogo kakaza, natumai hizo habari ni za kweli. Ikiwa hivyo atleast boxing inaweza kuanza kupewa promo kama zamani
 

Ifungulie thread hii ishu utapata ushauri mwingi tu,ndo ushauri wangu wa kwanza.
 
matula kashinda kweli??? tupeni updates za kuaminika??? #informer yuko wapi??? kuja huku watu wanasubiri feedback yako!
 
Hivi huyo mchina ndio wale wanaoishi pale kariakoo!!!!
Hawez rudi tena uchinani huyo atapigwa bastola kaidhalilisha China.....
Hongera dogo Matumla Jr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…