kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,668
Wamaenda round ya mwisho
duh dogo kumbe mzima, hata kama atashindwa still ameonyesha kwamba anaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamaenda round ya mwisho
Wewe unaetoa updates tuambie hali ya pambano ipoje, sio unapepesa macho hapa
Ameshinda matumla jamani,naskia kwa pointi nyingi tu
Hongera waTanzania, Kama utamaduni wetu wa kushauriana naomba ushauri kwenu wote; hivi nina mdogo wangu miaka 22 huko Marekani leo ni mwezi wa saba amejikita na kujiunga na Clabu ya masumbi (Boxing club) sasa anvyosema yeye kuwa anazipiga vizuri tu, sasa mie bila kushuhudia.....sijui niikubali au nisimamishe aendelee na masomo kwani kilichompeleka!!
Feel free mnakarbishwa
Mashkurr...... ahsaaaaanntee!!!Ifungulie thread hii ishu utapata ushauri mwingi tu,ndo ushauri wangu wa kwanza.
matula kashinda kweli??? tupeni updates za kuaminika??? #informer yuko wapi??? kuja huku watu wanasubiri feedback yako!
Confirmed, ameshinda kwa point. Tujiandae kumuona USA kijana wetu jukwaa moja na Mayweather n Pacqiao