Mohammed 'Mo' Dewji ametelekeza mashamba ya chai Rungwe, ajira zatoweka

Usiwe mjinga kama zezeta. Mali ya umma haikuuzwa without terms and conditions.
Na terms za kuuza hayo mashamba ni kuyaendeleza, kudumisha ajira na kukuza uchumi wa kilimo.
Usifiri wote ni mazezeta kama ulivyo.
Mkuu hivi unajiongelea sababu unaongea?

Mali ya umma tangu lini mkuu?

Mali ilikua yako,umeuza,umiliki wako unakoma hapo hapo

Hivi nyie wananchi masikini lini mtakua na akili ya transfer of property?

Ushauza shamba eti unarudi nyuma kumuelekeza cha kufanya,ulizia nini?

Hakuna cha "Terms and Conditions" tena,ungekua unalitaka sana usingeuza,

Ukishauza umelipwa ndio umiliki wako unakomea hapo hapo na mdomo wako unafungia hapo hapo

Mkataba wowote wa mauzo wenye "terms and conditions" ni directly hakuna mtu atanunua hilo shamba heri ubaki nalo uendeleze umatako wako nalo

Hakuna private company inakuja kununua mali halafu unaweka "terms and conditions" za uwezo wa wewe tena muuzaji kurudi nyuma kuja ku-dictate terms za uendeshaji wa hayo mashamba,hakuna ms3ng3 yeyote anakubali huo umatako

Kama unataka hiyo power ni heri usiuze,na ukitaka kuuza kwa kuweka hiyo power hakuna atakaenunua huo ujinga wa kijamaa
 
View attachment 3187568
View attachment 3187580

Kama ilivyo ada, nimetembelea kwetu Xmas hii ili kuona mandhari na uzuri wa Rungwe, kwetu.

Kilichonisikitisha ni Chivanjee Tea Estate kuanza kufa kwa kukosa matunzo.
Waziri wa Kilimo ndg Bashe aingilie kati haraka, MO aachilie mashamba ya chai kule Jivanjee Chivanjee Tea Estate, Tukuyu.
Mashamba yamekufa na yameotea vichaka.
Kazi na vibarua kwa wananchi wa karibu zimepotea.
Ulafi wa kumiliki ardhi na mashamba nchi nzima bila kuwa na uwezo wa kuyaendeleza ,tunaona kwa macho.
Upande wapili mashamba yanayo milikiwa na wakulima pale Kyimbila yako hali nzuri kabisa.

Nimeweka clip zote mbili, Jivanjee Tea Estate iliyotelekezwa na Mohammed Enteprises(MO), Wakulima Tea Estste inayoendelea kutunzwa na wananchi.

Mbunge wa sehemu hii ndg. Mwantona ni bubu, hajui hata kinachoendelea
Ngawira zimewekezwa kwenye soka kwa waamuzi, wachezaji pinzani ili kuwapa furaha wapenzi wa ile timu!
 
Mkuu hivi unajiongelea sababu unaongea?

Mali ya umma tangu lini mkuu?

Mali ilikua yako,umeuza,umiliki wako unakoma hapo hapo

Hivi nyie wananchi masikini lini mtakua na akili ya transfer of property?

Ushauza shamba eti unarudi nyuma kumuelekeza cha kufanya,ulizia nini?

Hakuna cha "Terms and Conditions" tena,ungekua unalitaka sana usingeuza,

Ukishauza umelipwa ndio umiliki wako unakomea hapo hapo na mdomo wako unafungia hapo hapo

Mkataba wowote wa mauzo wenye "terms and conditions" ni directly hakuna mtu atanunua hilo shamba heri ubaki nalo uendeleze umatako wako nalo

Hakuna private company inakuja kununua mali halafu unaweka "terms and conditions" za uwezo wa wewe tena muuzaji kurudi nyuma kuja ku-dictate terms za uendeshaji wa hayo mashamba,hakuna ms3ng3 yeyote anakubali huo umatako

Kama unataka hiyo power ni heri usiuze,na ukitaka kuuza kwa kuweka hiyo power hakuna atakaenunua huo ujinga wa kijamaa
Umasikini wa watanzania kama ninyi uko katika akili.
Mna mentality ya kutawaliwa na kutokuwa startegic economic forward thinkers.
Hamjiamini, na ni rectionaries wa situations ambamo mko subjective.
Halafu utakuta mtu kama wewe ni mkurugenzi wa uwekezaji.
Pathetic!
 
View attachment 3187568
View attachment 3187580

Kama ilivyo ada, nimetembelea kwetu Xmas hii ili kuona mandhari na uzuri wa Rungwe, kwetu.

Kilichonisikitisha ni Chivanjee Tea Estate kuanza kufa kwa kukosa matunzo.
Waziri wa Kilimo ndg Bashe aingilie kati haraka, MO aachilie mashamba ya chai kule Jivanjee Chivanjee Tea Estate, Tukuyu.
Mashamba yamekufa na yameotea vichaka.
Kazi na vibarua kwa wananchi wa karibu zimepotea.
Ulafi wa kumiliki ardhi na mashamba nchi nzima bila kuwa na uwezo wa kuyaendeleza ,tunaona kwa macho.
Upande wapili mashamba yanayo milikiwa na wakulima pale Kyimbila yako hali nzuri kabisa.

Nimeweka clip zote mbili, Jivanjee Tea Estate iliyotelekezwa na Mohammed Enteprises(MO), Wakulima Tea Estste inayoendelea kutunzwa na wananchi.

Mbunge wa sehemu hii ndg. Mwantona ni bubu, hajui hata kinachoendelea
Ameshachukulia mkopo
 
Tumieni simu nzuri zenye camera nzuri. Wala siyo ghali.
 
Back
Top Bottom