N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Nakumbuka nilisoma shule ya msingi Masebe miaka hiyo watoto wa mameneja wa hayo mashamba ya chivanjee na msekela walikuwa wanakuja shule kwa landrover 110 country...tukawa tunaenda kuangalia ndege ya mwekezaji ikitua Ngujubwaje ikitokea Kenya...kwamba mashamba yamebaki vichaka hii inasikitisha sana na mnada wa chai tumeuleta Tz kutoka Mombasa hafu chai inaharibikia porini!!Dah atafutwe mwekezaji mwingine kama imeshndikana