Huyo labda anataka mtoto wake aje kuwa mkata mauno....Kwa hiyo wote tuwe kama akina Mondi? Unaita elimu utumwa cha ajabu watoto wako umewapeleka shule baada ya kuwaacha nyumbani,ukiumwa unaenda hospitalini sasa sijajua huko hospitalini unatibiwa na Mondi.
Hongera aisee..2011/2013 nilikuwa ninafundisha pale
🤣🤣🤣🤣Labda tulikuwa watukutu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Usichoelewa ni kwamba elimu ni huduma,siyo bidhaa Kama kama mahindi na mchele,thamani ya huduma haipimwi kwa unacholipa Bali kwa kile unachokipata,alirahisisha elimu iliyokua inaonekana ngumu kuwa rahisi na kwa Bei nafuu kiasi Cha kuwezesha watoto wengi wa kimasikini kuipata na kufanikiwa, watu Kama Hawa dunia nyingine ilipaswa watambulike Kama mashujaa wa taifa,wataalamu wengi Sana tunaojivunia nao leo hii wamepitia kwenye mikono yao,Aliuza huduma yake. Ni sawa Mangi kafariki kisa alikuwa anakuuzia mchele basi akifa umsomeshee wanae. Hivi ukoo wako wote waliokulea,kukusafisha mavi kukulinda wao hawana shida mpaka ukasomeshe watoto wa mangi kisa alikuuzia mchele ?Charity BEGINS at home.
ThanksHongera aisee..
Ndio huyoKuna sehemu kuna itwa kwa mkanda wile huku pugu au ndio huyo?
Wakina shilole ndiyo wanatambulikamtu muhimu ameondoka serikali hata haitambui,inatambua wezi wa kura
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakumbuka huyo mgote aliwahi kunifundisha maeneo ya ubungo dah notsi zake zilinichosha sio mchezo aisee,ila notsi za muddy zilikuwa zinaeleweka kirahisi.mgote complicator na ndo elimu ya advance bongo inataka.
mgote-kukariri
Muddy-kuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
"Ladies and gentlemen, let's end up here at this particular juncture for today"
Innalillah wa innaillah rrajiun.
Mwaka 2011 mwishoni mpaka 2013 mwanzoni niliwahi kufundisha pale mchikichini nikiwa na Muddy, Hidden, Baba Ngida pamoja na De Mtatuzi.
Muddy physics legend from Massachusetts Institute of technology MIT.RIP
De Mtatuzi amenifundisha sana pindi la Hesabu nikiwa form two na three mwaka 2001 - 2002 baadae akaniita nikawa ninafundisha naye.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hidden pamoja na Mtata de mtatuzi mapindi yao nilikuwa siwaelewi natoka kappa uongeaji wao kama anavyoimba King crazy GK ilikuwa inanivuruga sana
Mwalimu wa somo gani?RIP Mwalimu mwenzangu.
It's likely all jf teached by him. Akifufuka lazima nimpe huu uzi au proof haki. Yaani wote humu mumesoma science ila mimi tu.