TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Kwa hiyo wote tuwe kama akina Mondi? Unaita elimu utumwa cha ajabu watoto wako umewapeleka shule baada ya kuwaacha nyumbani,ukiumwa unaenda hospitalini sasa sijajua huko hospitalini unatibiwa na Mondi.
Huyo labda anataka mtoto wake aje kuwa mkata mauno....
Ndomana mitoto sahv wako kibroiler delicious

Ova
 
RIP Mwalimu mwenzangu.

It's likely all jf teached by him. Akifufuka lazima nimpe huu uzi au proof haki. Yaani wote humu mumesoma science ila mimi tu.
 
Mimi ni Kijana wa side mgote. Mudi nasikia aliwahi kutimuliwa Chuo us ila alikuwa anawakimbiza sana wazungu.
Au nilikuwa Chai za kuwatafuta wateja.
 
Aliuza huduma yake. Ni sawa Mangi kafariki kisa alikuwa anakuuzia mchele basi akifa umsomeshee wanae. Hivi ukoo wako wote waliokulea,kukusafisha mavi kukulinda wao hawana shida mpaka ukasomeshe watoto wa mangi kisa alikuuzia mchele ?Charity BEGINS at home.
Usichoelewa ni kwamba elimu ni huduma,siyo bidhaa Kama kama mahindi na mchele,thamani ya huduma haipimwi kwa unacholipa Bali kwa kile unachokipata,alirahisisha elimu iliyokua inaonekana ngumu kuwa rahisi na kwa Bei nafuu kiasi Cha kuwezesha watoto wengi wa kimasikini kuipata na kufanikiwa, watu Kama Hawa dunia nyingine ilipaswa watambulike Kama mashujaa wa taifa,wataalamu wengi Sana tunaojivunia nao leo hii wamepitia kwenye mikono yao,
 
Kwa zile shule za Dar za serikali mfano Azania,Benjamin,Jangwani,Tambaza wengi sana wanamfahamu marehemu jamaa anamchango mkubwa sana kwa vijana katika kutimiza ndoto zao za kufaulu Physics
 
Whenever you sit at the bench there is always a reaction force coming upward [emoji867]with mewRN [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"Ladies and gentlemen, let's end up here at this particular juncture for today"

Innalillah wa innaillah rrajiun.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hidden pamoja na Mtata de mtatuzi mapindi yao nilikuwa siwaelewi natoka kappa uongeaji wao kama anavyoimba King crazy GK ilikuwa inanivuruga sana
Mwaka 2011 mwishoni mpaka 2013 mwanzoni niliwahi kufundisha pale mchikichini nikiwa na Muddy, Hidden, Baba Ngida pamoja na De Mtatuzi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hidden pamoja na Mtata de mtatuzi mapindi yao nilikuwa siwaelewi natoka kappa uongeaji wao kama anavyoimba King crazy GK ilikuwa inanivuruga sana
De Mtatuzi amenifundisha sana pindi la Hesabu nikiwa form two na three mwaka 2001 - 2002 baadae akaniita nikawa ninafundisha naye.
 
Back
Top Bottom