TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Kwa sababu ya huyu mwamba niliielewa sana Mechanics, Mungu amlaze pema
 
Yan lile eneo la mchikichini mabondeni ni eneo bovu sana uhuni na uteja umejaa kule lakin kumesaidia watu wengi sana lile eneo kutokana na kuwepo kwa walimu wa mapindi mbalimbali mfano Hidden,Mbuga,Osama,Jerry,White,Muddy,Mtatuzi nk so kuna haja ya kwenda kurudisha tulicho kipata kule mchikichini.
R.I.P mkali wetu wa Physics
 
Baaada ya kupiga sana Mapindi ya O'level miaka hiyo kwa Moddy physics,nikarudi mkoani sasa nikawa naikung'uta physics kisawa sawa,,,,,,daaaah nikabatzwa jina wakawa wananiita 'ZE YOUNG COMMISSIONER' hakika aliturahisishia mambo huyu jamaaa,yaani unijua physics mpaka unaona uvivu kusoma pepa likikaribia tena kwa jeuri,unasoma kiswahi hatakama kesho kuna physics na kiswahili ila wewe una toboa na kiswahili

Nimefundisha watu.wengi sanaaa(nakumbuka nishawahi kuandika uzi humu wa kumsifu huyu jamaa),mpaka hata wakati nachukua degree yangu ya kwanza,mpaka watu wanauliza wewe Dimatteo mbona unafundisha tuzheni PHYSICS TU na unasoma mambo ya afya kwann usipige bios na chemia.....hahahahahahaha kumbe hawajui kuna mbegu nilipandikizwa ambayo isiyokufa.....HAKIKA HUYU MTU ALIFANYA MENGI YALIYO MEMA,R.I.P MAESTRO
 
Hakunifundisha lakini nilizitumia sana notes zake.Apumzike kwa amani
 
R.I.P mwamba vitini vyako vimetutoa sana
 
Rip legend... kwa sie tuliokuwa kajamba nani... Hawa ndo walikuwa walimu wetu na wale wa shuleni ndo walikuwa walimu wa Tuition..
Na wakijua unaenda mchikdown full kukuMaindi
 
Mimi nilisoma HKl but wana walikiwa wananipq habari zake tu.
 
Dec,2003 mudy anarudi marekani anatufundisha physics nyuma ya klabu ya yanga mchikichini kule . Electromagnetism, electronics kipindi hicho. Pumzika kwa amani commissioner
 

Ubarikiwe sana sana [emoji120][emoji120][emoji120]. Haya ndio mambo ya kukumbushana. Nimepata kitu hapa leo.
 
Hahaha nlikuwa namuziaga calculator scientific za kunjuga tu usomi wapi bwana sisi wengine wazee wa mitkasi tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
[emoji23][emoji1787]
We jamaa huwa unanichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…