TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Naam. Mkandawile nilimsikia. Mimi nilikuwa na Abdulla kwa Chemistry. Vipi unafanya kazi hospitali gani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Watu wanatudharaugu humu jukwaani ila wengi tupo mahospitalini tunawatibu na kuwahudumia watu.

Victoire atakuwa wa zamani sana kwenye game anakaribia kustaafu.
 
Commissioner

IMG_20201112_030153.jpg
 
R.I.P aisee inapain sana. Nimepiga pindi kwake za physics Advance na alikua anatoa mapepa tunashindana 5 bora wanapiga next exam bure... alinifanya nikapotea xul miezi 6 nakomaa mchikichini. hakika MUNGU akupumzishe kwa aman mtaalam.
 
Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:

Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.

Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeni dunian hyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hvi sasa.

Innallillah wainnallilah raajuni

Uzi kuhusu maisha na waalimu wa Mchinikichini


Simfahamu huyu jamaa wala sijawahi kumsikia.

Lakini nimesikitika sana maana na mimi ni mpenzi wa pyhsics na imenipeleka mbali.

Nasikitika kwa maana si ajabu huyu Muddy hakuwa na uwezo wa kujisomesha na kufika mbali lakini alikuwa na moyo wa kuwaendeleza wengine katika somo ambalo wengi wanalikimbia!

RIP Scientist Mudy Physics
 
R.I.P aisee inapain sana .... nimepiga pindi kwake za physics Advance na alikua anatoa mapepa tunashindana 5 bora wanapiga next exam bure... alinifanya nikapotea xul miezi 6 nakomaa mchikichini. hakika MUNGU akupumzishe kwa aman mtaalam.
Kwa nini mitihani walikuwa wanatulipisha, tuition fee kazi yake nini?

Nilikuwa sina upeo wa kuhoji vitu kama hivi enzi hizo. Daaaah!

Late nineties, Kazibure(RIP), So Much, Issa na Patrick, campus Magomeni Primary/Turiani, sijui wako wapi hawa wakuu.
 
Tatizo lake alikua hajui kuandaa notes. Alikua anakimbizwa sana na kina Saudi Mgote, Mtiga.
Commissioner alikuwa special for Junior & Amature, anakupa concept na anakufundsha nma ya kutactle problem, Mambo ya notes ndio maana Kuna vitabu Ving, UP, Nelkon, R.ManC, Chandy nk
 
Commissioner alikuwa special for Junior & Amature, anakupa concept na anakufundsha nma ya kutactle problem, Mambo ya notes ndio maana Kuna vitabu Ving, UP, Nelkon, R.ManC, Chandy nk
Alikua hajui kuandaa notes.
 
Ni confirmed nimeulizia wanasema alikuwa anasumbuliwa na kifua na kwikwi, maziko kesho mwandege saa 7 mchana, RIP.
Kwa post hii na nyingine iliyosema amekufa ghafla basi tuendelee kujikinga sana. R.I.P mwalimu wa vijana wetu. Hatutaki kusisitiza kujihami tunabaki kujimwambafai eti Tulisali. Ni kweli Mungu ametusaudia mno lakini msisitizo uendelee. Bado watu wanaangamia huko mtaani. Mungu tunusuru na 2nd Wave imeanza kwa kasi huko kwa wenzetu.
 
Back
Top Bottom