Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

Niumie nini wakati sisi ndio watawala!!!Anaumia mzee saidi na marafiki zake wa hizbu kaka
Nelson...
Wazee wetu ndiyo waliounda TANU.

Abdul Sykes na Dossa Aziz ndiyo waliomjulisha Nyerere kwa Karume.

Wazee wetu wote wakiunga mkono ASP.

Abbas Sykes ndiye akipeleka fedha kwa Karume Zanzibar akipanda majahazi kuweka usiri.

Karume akija Dar es Salaam anafikia nyumbani kwa Regional Commissioner Abbas Sykes Mtaa wa Shaban Robert.

Hii baada ya Tanganyika kupata uhuru.

Na inaaminika siku ya kupindua alikuwa kwa Abbas Sykes.

Si ya kuhadithiwa haya baadhi ya ndugu zetu wameyaona kwa macho yao.

Wewe nini ulichokuwanacho katika historia hii unikejeli mimi kwa ati marafiki zangu Hizbu.

Hao Hizbu ni umri wa kunizaa mimi si marafiki zangu na tunaunganishwa na udugu wetu wa Kiislam.

Narudia tena huna moja ulijualo katika historia yetu.

Ati unatawala unawacheka Wazanzibari kwa kutawala ingawa umeshindwa katika sanduku la kura mara sita?
 
Nelson...
Umejaa na joto la chuki ya Uislam lugha ni hizo "Walowezi wa Kiarabu," kama vile ni jambo la jinai.

Lete ushahidi wa jela za mateso na mauaji.

Kauwa Jaha Ubwa na Abdulaziz Twala ASP kindakindaki rafiki wa baba yangu.

Wanamapinduzi hawa.
Mauaji hayajasimama hadi leo.

Wewe unazungumza jambo usilolijua kabisa si kwa ndewe wala sikio.

Mimi nimeshiriki katika utafiti wa historia ya mapinduzi na tukaja na Kipumbwi na mengi ya Okello ambayo wewe umeyajua kwangu.
Mzee saidi sijajua chochote kutoka kwako wewe ni adui wa mapinduzi matukufu ya 1964 adui wa ASP na wewe ni mfuasi wa hizbu na una mahaba na walowezi wa kiarabu!!Na pia wewe una chuki binafsi na nyerere sababu aliwanyima vyeo wazee wako wa kariakoo!!!Mimi nimejifunza historia ya zanzbar toka kwa wazee wangu wa ASP na ni wengi sana siwezi kuwataja wote hapa!!!!Nilichojifunza kwako ni udini,kumpakazia mzee nyerere na mzee karume mabaya na kuwachukia watanganyika wenye nasaba za kikrsto waliogombania uhuru!!!!
 
Nelson...
Wazee wetu ndiyo waliounda TANU.
Abdul Sykes na Dossa Aziz ndiyo waliomjulisha Nyerere kwa Karume.

Wazee wetu wote wakiunga mkono ASP.

Abbas Sykes ndiye akipeleka fedha kwa Karume Zanzibar akipanda majahazi kuweka usiri.

Karume akija Dar es Salaam anafikia nyumbani kwa Regional Commissioner Abbas Sykes Mtaa wa Shaban Robert.

Hii baada ya Tanganyika kupata uhuru.

Na inaaminika siku ya kupindua alikuwa kwa Abbas Sykes.

Si ya kuhadithiwa haya baadhi ya ndugu zetu wameyaona kwa macho yao.

Wewe nini ulichokuwanacho katika historia hii unikejeli mimi kwa ati marafiki zangu Hizbu.

Hao Hizbu ni umri wa kunizaa mimi si marafiki zangu na tunaunganishwa na udugu wetu wa Kiislam.

Narudia tena huna moja ulijualo katika historia yetu.

Ati unatawala unawacheka Wazanzibari kwa kutawala ingawa umeshindwa katika sanduku la kura mara sita?
Mzee SAIDI wewe una ugomvi binafsi na hila na wazee wangu waliomuondoa kabaila wenu jamshidi!!!!Sisi ASP na CCM na serikali yetu tukufu ya SMZ hatuunganishwi na udini bali tunaungwanishwa na ubantu wetu!!!Dini zililetwa na wageni walowezi
 
Nyie si mliletwa kama mamuluki na walowezi wa kijerumani tanganyika????Au sio nyinyi mzee wangu????
 
Mzee saidi sijajua chochote kutoka kwako wewe ni adui wa mapinduzi matukufu ya 1964 adui wa ASP na wewe ni mfuasi wa hizbu na una mahaba na walowezi wa kiarabu!!Na pia wewe una chuki binafsi na nyerere sababu aliwanyima vyeo wazee wako wa kariakoo!!!Mimi nimejifunza historia ya zanzbar toka kwa wazee wangu wa ASP na ni wengi sana siwezi kuwataja wote hapa!!!!Nilichojifunza kwako ni udini,kumpakazia mzee nyerere na mzee karume mabaya na kuwachukia watanganyika wenye nasaba za kikrsto waliogombania uhuru!!!!
Nelson...
Ungekuwa hujifunzi kutoka kwangu ungekaa mbali na mimi.
 
Unajua nyie mnachanganya mambo. Hizo ni propaganda za waliopindua kujastify mapinduzi. Lakini ukae ukijua Sultan hakua na nguvu Zanzibar na iliopinduliwa ilikua ni serekali iliochaguliwa kidemokrasia chini ya Waziri Mkuu Shamte ambae alikua ni muafrika sio muarabu. Halafu hao waarabu mnasema makatili mliweza vipi kuwapindua bila upinzani wowote,

Huyo shamte alikua kibaraka wa sultani na pia waliiba uchaguzi ili shinde ionekane kashinda harari kumbe uhuni mtupu kama chaguzi za kijani nw days.
 
Nelson...
Ungekuwa hujifunzi kutoka kwangu ungekaa mbali na mimi.
Sipo karibu na wewe hii ni mijadala ya kawaida tunachangia wote au hupendi tuchangie makala zako mzee wetu !!!!Au unaogopa hoja zetu sisi vijana wa ASP na SMZ mzee wangu??????

Usikwazike mzee wangu ukweli sio upande wa hizbu hata sisi ASP tunajua ukweli!!!!Sisi ASP hatuunganishwi na dini bali tunaungwanishwa na ubantu!!!Nyinyi hizbu endeleeni kuunganishwa na udini!!!!Namalizia kwa kusema kidumu chama cha mapinduzi na yadumu mapinduzi matukufu ya zanzbar!!!
 
Nyie si mliletwa kama mamuluki na walowezi wa kijerumani tanganyika????Au sio nyinyi mzee wangu????
Nelson...
Hakika babu yangu Samitungo Muyukwa aliingia Germany Ostafrika na Wajerumani.

Wala sioni aibu kwa historia hii.
Mungu alijaalia nilialikwa Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin kama mtafiti na nilifanya mhadhara mmoja hapo.

Naamini unaijua taasisi hii.

Nimeandika paper moja nikiwa hapo, "Tanzania: A Nation Without Heroes," naeleza vipi kalamu yangu ilivyoweza kubadili historia ya kupachika na kuweka historia ya kweli.

Babu yangu Salum Abdallah ni mmoja wa wazalendo aliyepambana na ukoloni wa Mwingereza hadi uhuru ukapatikana.

Wanasema hajapata kuhadhiri hapo mtu aliyetoa historia iliyowasisimua kama hii yangu.

Nyerere umemtaja.

Hakika nilimweleza kwa uhakika anaostahili kuwa hakuwa peke yake kulikuwa na nguvu kubwa ya Waislam waliomuunga mkono.

Nilikwenda ZMO baada ya kualikwa University of Iowa na Northwestern University zote za Marekani na ndiyo mwaka Dictionary of African Biography (DAB) Oxford University Press, New York ilichapwa.

Naamini unalijua hili kamusi la volumes sita.

Mohamed Said ni mmoja wa waandishi 500 kutoka kila pembe ya dunia waliokusanywa kuliandika.

Naijua vizuri historia ya Tanganyika na ya Zanzibar si kwa kusoma bali pia kwa kuwa wazee wangu ndiyo waliokuwa mstari wa mbele.

Kwa khiyana ilifutwa.
Alhamdulilah.

Nimeirejesha na kama hivi niko hapa naisomesha upya.
 
Basi mwakani tutakualika jukwaa kuu sherehe za mapinduzi matukufu zanzbar 1964!!!Karibu sana mzee wetu
 
Mzee SAIDI wewe una ugomvi binafsi na hila na wazee wangu waliomuondoa kabaila wenu jamshidi!!!!Sisi ASP na CCM na serikali yetu tukufu ya SMZ hatuunganishwi na udini bali tunaungwanishwa na ubantu wetu!!!Dini zililetwa na wageni walowezi
Dini zililetwa na wageni , mgongoni umeibeba biblia na chuki kwa waislamu.
Inakuwaje mnaunganishwa na ubantu baadaye mnauwana wenyewe kwa wenyewe ule Muungano wenu baadhi ya wakati huyeyuka?
 
Basi mwakani tutakualika jukwaa kuu sherehe za mapinduzi matukufu zanzbar 1964!!!Karibu sana mzee wetu
Nelson...
Watafute watu wa kufanyanao kejeli.
Mimi si katika kundi hilo nimealikwa Zanzibar mara kadhaa kutoa mihadhara:

Mwinyibaraka Foundation

ANbyha2i1-9BaXW24DJVZv8snhdIo99S0Wq5wwUrNowsu01y-0U-BqTIxCj-08Ek5nifb9q1WSFog2wDqIHH0vjRP-05QIefl9Val7yagQOCSVoJ5Dr0FlQe=s0-d

Sheikh Said Omar Abdallah
(Mwinyibaraka)​

137601498_876903189723727_7438410304813737604_n.jpg

Kushoto: Muhammad Yusuf Mkurugenzi wa Zanzibar Institute for Research and Public Policy ( ZIRPP) mwenyeji wangu kanialika kufanya pitio la kitabu cha Hashil Seif ''Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar.''
Zanzibar 2022

1655546172178-jpeg.2264696

1655547153862-png.2264705

Khamis Abdulla Ameir
Zanzibar 2022

Nelson,
Fanya maskhara na wengine si mimi.
Nafungua milango mingi sana visiwani na kukaribishwa kwa heshima.

1674060113965.jpeg

Salim Rashid tukifanya mahojiano kwa ajili ya kipindi cha televisheni
Zanzibar 2012
1674060310718.jpeg

Zanzibar 2018

Huyo shamte alikua kibaraka wa sultani na pia waliiba uchaguzi ili shinde ionekane kashinda harari kumbe uhuni mtupu kama chaguzi za kijani nw days.
Alipokuwa ASP alikuwa kibaraka wa nani ? Nyerere?
 
Sipo karibu na wewe hii ni mijadala ya kawaida tunachangia wote au hupendi tuchangie makala zako mzee wetu !!!!Au unaogopa hoja zetu sisi vijana wa ASP na SMZ mzee wangu??????

Usikwazike mzee wangu ukweli sio upande wa hizbu hata sisi ASP tunajua ukweli!!!!Sisi ASP hatuunganishwi na dini bali tunaungwanishwa na ubantu!!!Nyinyi hizbu endeleeni kuunganishwa na udini!!!!Namalizia kwa kusema kidumu chama cha mapinduzi na yadumu mapinduzi matukufu ya zanzbar!!!

Chini ya shujaa field marshall john Okello.
 
Mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa ni mapinduzi haramu kwa 100%. Kwanini? Sababu kuu ni hizi mbili tu.
1. Yaliondoa utawala harari wa kidemokrasia uliowekwa muda mchache kwa njia ya kura.

2. Yalilenga na yalifanikisha mauaji ya mamia kama sio maelfu ya raia wasiokuwa na hatia (wakiwemo watoto, wazee, wanawake) kwa misingi ya kibaguzi wa rangi ya ngozi zao (waarabu na mashombe wa kiarabu) au itikadi zao za kisiasa (wapinzani wa ASP)
 
Back
Top Bottom