Moja baada ya mambo yaliyomgharimu Tsishekedi baada ya kuchukua uongozi kutoka kwa Kabila, ni kuiamini Kenya, akaiacha Tanzania

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania.

Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya Congo Mashariki. In fact, Tanzania ni Godfather wa ulinzi na usalama wa ukanda huu. Kosa hilo hakulifanya Kabila mtoto, Kabila mkubwa alilifanya na gharama aliyolipa ni kubwa.

Burundi anajua kwamba anaishi na mbweha (Rwanda) jirani. Kwa hiyo ushirika wake na Tanzania ni mkubwa. Ukiongezea na reli ya thamani ya trilioni 5, Tanzania haitakubali nchi yoyote iitikise 🇧🇮Burundi, na ikitokea hivyo, zitapigwa mno. Burundi ni last born wetu. Reli ya Tanzania to Burundi, kwetu ni sawa na Panama au Suez Canal. Ukigusa utapigwa mno

Tsishekedi alitakiwa kupima na ni baba wa ukanda huu ndio aegemee, yeye kaenda Kenya, Kenya wakaongoza peace mission Congo, ikafeli vibaya, ikabidi iundwe mission nyingine, iko weak pia. Kama Kenya ilipambana na vibaka kutoka Somalia waliovamia shopping mall, lakini wakatokwa jasho!

M23 (Rwanda na Uganda) wanamkumbuka mwamba mmoja tu aliyewatwanga. Tanzania.

Umuofiaaa!
 
Kongo Rasharkin inapasa kuwa uwani petu, tusiruhusu maadui zetu wafanye uwanja wao wa michezo michafu.
 
Naam, Congo ikitwaliwa na Rwanda au Rwanda ikiwa na nguvu sana Congo itaharibu balance of power ya ukanda huu, na KAKA wakubwa wa ukanda huu hawatakubali. The next mission is to oust Kagame
 
Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania.

Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya Congo Mashariki. In fact, Tanzania ni Godfather wa ulinzi na usalama wa ukanda huu. Kosa hilo hakulifanya Kabila mtoto, Kabila mkubwa alilifanya na gharama aliyolipa ni kubwa.

Burundi anajua kwamba anaishi na mbweha (Rwanda) jirani. Kwa hiyo ushirika wake na Tanzania ni mkubwa. Ukiongezea na reli ya thamani ya trilioni 5, Tanzania haitakubali nchi yoyote iitikise 🇧🇮Burundi, na ikitokea hivyo, zitapigwa mno. Burundi ni last born wetu. Reli ya Tanzania to Burundi, kwetu ni sawa na Panama au Suez Canal. Ukigusa utapigwa mno

Tsishekedi alitakiwa kupima na ni baba wa ukanda huu ndio aegemee, yeye kaenda Kenya, Kenya wakaongoza peace mission Congo, ikafeli vibaya, ikabidi iundwe mission nyingine, iko weak pia. Kama Kenya ilipambana na vibaka kutoka Somalia waliovamia shopping mall, lakini wakatokwa jasho!

M23 (Rwanda na Uganda) wanamkumbuka mwamba mmoja tu aliyewatwanga. Tanzania.

Umuofiaaa!
Si marais wote wanafahamu geo politics, wengi wanaingia na akili za kiharakati, ubosi, prestige, ila wanayo yakuta huko ni tofauti
 
Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania.

Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya Congo Mashariki. In fact, Tanzania ni Godfather wa ulinzi na usalama wa ukanda huu. Kosa hilo hakulifanya Kabila mtoto, Kabila mkubwa alilifanya na gharama aliyolipa ni kubwa.

Burundi anajua kwamba anaishi na mbweha (Rwanda) jirani. Kwa hiyo ushirika wake na Tanzania ni mkubwa. Ukiongezea na reli ya thamani ya trilioni 5, Tanzania haitakubali nchi yoyote iitikise 🇧🇮Burundi, na ikitokea hivyo, zitapigwa mno. Burundi ni last born wetu. Reli ya Tanzania to Burundi, kwetu ni sawa na Panama au Suez Canal. Ukigusa utapigwa mno

Tsishekedi alitakiwa kupima na ni baba wa ukanda huu ndio aegemee, yeye kaenda Kenya, Kenya wakaongoza peace mission Congo, ikafeli vibaya, ikabidi iundwe mission nyingine, iko weak pia. Kama Kenya ilipambana na vibaka kutoka Somalia waliovamia shopping mall, lakini wakatokwa jasho!

M23 (Rwanda na Uganda) wanamkumbuka mwamba mmoja tu aliyewatwanga. Tanzania.

Umuofiaaa!
Leo umeandika vitu vya maana
 
Back
Top Bottom